Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Tv kubwa nchi 65 .Umenichekesha.Mimi nikajua labda una kiwanda hata cha kutengeneza vifungashio na umeajiri watu 30.Sasa TV nayo ya kulingia jamani.
Ndio ni kichekesho lakini ni maisha mazuri tofauti na yale tuliyokuwa tunaishi huko
Sijamaanisha ni maendeleo makubwa ingekuwa nasifia maendele ninhekuwa hata na kiwanda cha samaki pale mwanza, au kiwanda cha kuchambua pamba
Mchizi karudi hana kitu kaja kuanza maisha, kaacha mpaka mtoto
Kuna wanaorudi na visukari tu na stress kibao
Naridhika sababu maisha yanasonga bila vurugu mpaka sasa
Mambo mengine ni taratibu za nilivyojipangia siwezi sema miradi yangu inayonipa kuishi my be baadae naweza kusema mradi wangu kama kutakuwa na umuhimu huo
Nilichoongea ni mfano tu, kwani hata watoto kwnin usicheke mbona vitoto viwili tu, nilidhani una watoto hata kumi?!!
Sababu chochote unauwezo wa kukosoa mkuu hata kiwe kimekamilika,ila ukiamua unaweza kukosoa
Jamaa yangu alistajabu hali aliyonikuta nayo(ndio hivyo tu)
 
Sina hasira hata kidogo ndugu yangu. Uwe Ujerumani au Tanzania au Japani, mfano ulioutoa una-relation gani na hoja ya mwanzisha thread? Ku-save vs matumizi ni tatizo lililopo kila sehemu na sioni kipya!
 
Mkuu kwa namna wanavyoficha atathubutu kukwambia shughuli anayoifanya huko?

Ni rahisi kujua earnings za mtu aliye US kwa walau kujua shughuli anazofanya...

Mimi nadhani wengi wa waliopigika inatokana na kufanya shughuli zenye kipato kidogo kuendekeza starehe na kutotaka kujiendeleza...

US ni mahali ukiwa na akili ya maisha na bidii, unatoboa na ukibweteka ukitegemea kuflip burgers utaishia kupata pesa ya kucover bills tu...
 
Na haya ndiyo maisha ya wabongo wengi waishio huko
 
W
Ahahaha mkuu ukweli lazima usemwe ili mbadirike muwajali wazazi wenu,acha kujifariji na hoja za kipumbavu!
Wengi wanarudi wamechoka sio uongo,nina mjomba wangu sasa hivi ni marehemu na alienda akiwa msomi wa Cpa,alikiri kuwa wengi wanawadanganya kuwa maisha ni mazuri sana!Uhalisia hauko hivyo ndo maana mmoja wa mabondia maarufu kutoka ukrine katika wale mapacha(Krichko)ni,daktari bingwa wa magonjwa hela haitoshi kaamua kuwa bondia!sasa wewe utoke bongo ndo utoboe ndo maana mnarudi sura zimekosa nuru!Labda upelekwe na serikali hata uwe mtunza bustani.
 
Kwani nyie omba omba mpka mpewe misaada? Wabongo mna vituko sana
 
Sasa unga wanaovuta hapa Bongo ni wazungu ?
Ndio culture shock niliyoikuta huku yaani Berlin mtu anavuta cocaine na anafanya kazi fresh. Kuna mavitu kama ketamine na kadhalika. Nilishangaa sana nilienda huko two weeks ago nilialikwa. Aisee huku Ulaya ukiwa haujielewi ni rahisi kupotea mazima. Kwenye Maclub watu wanaenda vyooni kutumia madawa. Kuna wengine ni malecturer, majaji na ma Engineer wakubwa tu. Sasa unakuta waafrika wamejitahidi wamepata kazi nzuri wanaingia kwenye mfumo huu. Hawa wazungu wakifia kwenye kiapartment ni kawaida kwao. Mwisho unakuta miaka inaenda haujajenga back home 🏠 unaishi kwenye apartment ulaya.
 
Hiyo reasoning ni ya msomi wa master, watanzania wana wadudu kichwani trust me, na hapo bado anasema Marekani ina maisha magumu kuliko Ujerumani. Sijui hiyo case study kafanyia wapi?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe utakuwa na matatizo ya akili!

Aliyesema Marekani ina maisha magumu kuliko Germany nani?

Hivi kweli Umesoma Mada au Umekurupuka baada ya kuona maneno yamekuchoma?
 
Hiyo reasoning ni ya msomi wa master, watanzania wana wadudu kichwani trust me, na hapo bado anasema Marekani ina maisha magumu kuliko Ujerumani. Sijui hiyo case study kafanyia wapi?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Marekani ya leo unaweza ukafanya kazi zaidi ya tatu na ukashindwa make ends meet. Do your own research. Ukiumwa ulipelekwa hospitali na ambulance ni dola 10000. Kama hauna bima ya afya inayoweza kucover matibabu yako unawekwa kwa life support lakini hautibiwi. Leta uthibitisho kubwa niliyoyasema ni ya uongo !!
 
Hata hapa Dar watu wanatumia madawa ya kulevya na ni ma Dr,mawaziri maenigneer n.k
 
Ushauri mzuri
 
Sasa kama ndivyo!,unawezaje kuishi huko?,Kwanini wasirudi Bongo nchi yenye Maziwa na Asali?
 
Hiyo reasoning ni ya msomi wa master, watanzania wana wadudu kichwani trust me, na hapo bado anasema Marekani ina maisha magumu kuliko Ujerumani. Sijui hiyo case study kafanyia wapi?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Marekani kutoboa ni vigumu watu wanadanganywa. Marekani ya 2023 sio kama ya zamani. Kuna mambo mengi sana ningeweza kuongea lakini ukikaa na kufanya research utagundua.
 
Kinachoniuma ni namna naona watanzania wenzetu ambavyo wanataabika huko nje wakati wenzao Tina maisha mazuri tu hapa nyumbani
Wewe utakuwa mchawi , wewe amba hata umeme na maji shida umamuonea huruma mtu aliyeko marekani?
Wewe ambae ukistaafu unakaa siku chache unapata depression unakufa halafu unasema unamuonea huruma mtu aliyeko marekani kuwa serious bwana, mimi nipo bongo ila nitakuwa mnafki nikisema sitaki kwenda marekani nikipata fursa au channel ya maisha, napenda watoto wangu wapate elimu bora sio kutongozwa na malecture wetu vyuo vya bongo halafi mtoto akimaliza chuo anatangatanga tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…