Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCMSina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC
OK.Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC
Mtaishia kuwaombea wazungu lkn hawawasaidii chochoteMungu wabariki Wazungu
Hata kama zilipendwa kwani zinasema uongo? Hizi habari ni latest na zinahusu kile kikao cha mabunge ya dunia, kakojoe ulale dada.Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCM
Ila mkuu kama na wewe unatarajia ipo siku utaolewa na kuzaa watoto utamtesa sana mume wako kwa unavyo pandisha sukari ghafla CCM ikiguswa😁😁😁Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCM
Uchawa na ushoga vinaenda sambamba!Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCM
Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC%5B/UDuuh%20
German colonial rule in Africa (from the late 19th century until World War I) involved severe violence, forced labor, land dispossession, and large-scale massacres. [1, 2, 3]Mungu wabariki Wazungu
no impact wakati kuna kibibi kimejifungia ndani kinatoka kwa kujificha kwenda kuangalia pesa alizoiba na kumpa chivayo kwa siri! wanasema yupo EDA ya uongo na kweli!Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCM
Samia hayuko sawa yule.no impact wakati kuna kibibi kimejifungia ndani kinatoka kwa kujificha kwenda kuangalia pesa alizoiba na kumpa chivayo kwa siri! wanasema yupo EDA ya uongo na kweli!
Kwa hiyo hapo ndo mnapofurahishwa na wazungu. Mmeridhiika wenyeweno impact wakati kuna kibibi kimejifungia ndani kinatoka kwa kujificha kwenda kuangalia pesa alizoiba na kumpa chivayo kwa siri! wanasema yupo EDA ya uongo na kweli!
Machawa wa wazungu hamwishi kuimba 'Mungu Wabariki Wazungu ' lkn Samia anaendelea tu kutafuna kodiUchawa na ushoga vinaenda sambamba!
Afadhali yangu mie, kuliko nyie Mzungu akipiga chafyq tu huko nyie mbio kuja kuanzisha thread na mapambio juu eti 'Mungu Wabariki Wazungu '.Ila mkuu kama na wewe unatarajia ipo siku utaolewa na kuzaa watoto utamtesa sana mume wako kwa unavyo pandisha sukari ghafla CCM ikiguswa😁😁😁
Habari za kweli! Zina impact gani ikiwa Samia na genge lake wanaendelea kutawala?Hata kama zilipendwa kwani zinasema uongo? Hizi habari ni latest na zinahusu kile kikao cha mabunge ya dunia, kakojoe ulale dada.
Ebu tuwekane sawa. Kaongea kama BUNDESTAG au maoni yake binafsi?Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.
Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.
View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC
Bora kuwa chawa wa wazungu kuliko kuwa chawa wa mzanzibar... tena form four failure!.Machawa wa wazungu hamwishi kuimba 'Mungu Wabariki Wazungu ' lkn Samia anaendelea tu kutafuna kodi
Mi sijui. Mtafute umuulize.Ebu tuwekane sawa. Kaongea kama BUNDESTAG au maoni yake binafsi?