Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Hayo yooote yanajulikana na yashakuwa historia. Sasa ndo tuendelee kushabikia wazungu itasaidiaje kuhakikisha Mama hatoboi 2030?
 
Haya wewe mwenye akili zinazokutosha sana, hebu tuthibitishie hapa kuwa Samia sie anayetawala
 
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amewabana manyumbu mpaka wote Sasa wamekuwa mahayawani.........hujui yupi yupo ulaya, yupi yupo nanjilinji; wote wanaongea ujinga ujinga tu.

😂😂😂😂
Mbona umeandika ujinga sana kama mtu aliyepanic
 
Haya wewe mwenye akili zinazokutosha sana, hebu tuthibitishie hapa kuwa Samia sie anayetawala
Nakuthibitishia bila ya shaka yoyote kwamba Samia ni jambazi anayesubiri tu kuwajibishwa; hana tawala yoyote.

Kujifanya kwako kuwa hulijui hili hakuondoi ukweli huo.
 
Nakuthibitishia bila ya shaka yoyote kwamba Samia ni jambazi anayesubiri tu kuwajibishwa; hana tawala yoyote.

Kujifanya kwako kuwa hulijui hili hakuondoi ukweli huo.
Hayo maneno ya kwenye Khanga tu kutoka kwa Kiongozi wenu Mange Kimambi. Otherwise thibitisha na sio blah blah
 
Hayo maneno ya kwenye Khanga tu kutoka kwa Kiongozi wenu Mange Kimambi. Otherwise thibitisha na sio blah blah
Mtafute Samia atakuthibitishia hata bila ya kutumia maneno yoyote. Nenda tu kamtafute na umwangalie bila ya maluweluwe mengi ambayo huwa yanakuingia akilini na kushindwa kujuwa anavyohangaishwa na damu ya waTanzania aliyoimwaga.
Wewe unajirusharusha hapa ukidhani unampunguzia mzigo, wakati michango yenyewe unayoweka humu JF ni uchafu mtupu, usioweza kumshawishi mtu yeyote mwenye akili timamu na kumwangalia Samia kuwa mtawala, wakati ni jambazi linalosubiri kuwajibishwa tu!
 
Povu lote hilo la nini ati!
We thibitisha tu kwamba Samia hatawali Tanzania kama ulivyosema awali na sio kukimbilia eti tukamuulize. Kwani yeye kasema hatawali!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…