Waikatae kama walivyoikataa ya mto mara..kwani ripoti gani hujaisikia karume mateja yamechoma kariakoo umeme unataka uambiwe ccm wamechoma ndiyo ujue ni ya ukweli?
Angalau prof mmoja kaamua kumuuma mwenzake...ila tusubiri ripoti nyingine ili tujiridhishe kabisa.Proved unakwitwa huku sasa kimeumana. Profesa dhidi ya Profesa ukituambia tuheshimu taaluma.
Tuliheshimu taaluma siku zote tukiomba wenye meno waumane.
Hapa sasa menyewe kwa menyewe 😂😂.
Hivi hii ripoti ilishawekwa wazi ili watu waisome?DKT.MUSUKUMA AJIUZULU
Mhe. Joseph Musukuma amejiuzulu nafasi yake ya ubalozi wa mazingira baada ya kutokuridhishwa kwake na ripoti ya uchafuzi mto Mara.Amelishauri bunge liikatae ripoti kwa sababu ni proffesorial rubish, "magugu Maji hayauwi samaki,wala hayazalishi mafuta"
Angalau prof mmoja kaamua kumuuma mwenzake...ila tusubiri ripoti nyingine ili tujiridhishe kabisa.
Prof manyele amewaaibisha Wanazuoni.Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo.
Chanzo: Nipashe
Pia soma
- Madai ya sumu Mto Mara kutoka migodini, wananchi wazuiwa kutumia maji, kula samaki, uvuvi, Serikali yatoa tamko
- Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini
Bunge la Jamii Forum ndilo lililoikataa wao wanatafuta pa kutokea. Kuna mbunge wa kukataa ripoti ya seriakali hapo? Repoti ya Osollo ilikuwa hivihivi ulimsikia nani anasema No?Hahahaaaa........ Kazi imeanza.
Nilisema hapa bunge la chama kimoja huwa ni matata sana!
kama wana u serious huo mbona wengi watajikuta nje huku mchafukoge na kina sie 😀Bunge likiwa serious,JAFO ANATOLEWA MCHANA KWEUPE.
Leta ushahidi mkuuJafo alichukua rushwa kubwa sn
Leteni ushahidiInasemekana kapokea karibu 300 Milioni.
Ukiwa na akili timamu ni kawaida kuwa na hisia. Ukiumwa unaweza kuhisi ni Malaria kutegemea movements zako.tatizo hapa si kuchafuka kwa mto mara, ila wa Tanzania wengi mna majibu yenu ambayo tayari mmeisha yapigia mstari, haya basi kwanza andaeni data za uongo kama alivyo fanya jiwe kwenye makinikia, ndiyo mumtie hatian yuho 'mtuhumiwa' wenu, vinginevyo mtachezeshwa root reggae ……………..
Kutoka serikalini yaani mgodi ule kwasasa serikali ndio mmiliki Mana ndo mwenye hisa asilimia 60 ,yaani serikali imemuhonga waziri wake .........umagufulification ndio ulipelekea hivyo Mana hiyo kuhusu mgodi ule serikali ndokila kituInasemekana kapokea karibu 300 Milioni.
Hahaaa!!hakuna lolotee, hii hali inatokana na uhuru anaoutoa mh.rais, kwani kipindi cha awamu ya 5, nani alithibutu hata kukosoa?!!leo eti mbunge wa ccm anasema bunge kutoonyeshwa live, walikuwa gizani!!kitu ambacho kilikuwa ni dhabi, siasa za kiafrika bila unafika hutoboi!!!Hahahaaaa........ Kazi imeanza.
Nilisema hapa bunge la chama kimoja huwa ni matata sana!
Hii ripoti tunaweza kuipata huku mitaani? Anayeweza kuipata, tunaomba aitume.Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti, UNESCO watanishangaa mimi mtaalamu wa eneo hili," Prof. Muhongo.
Chanzo: Nipashe
Pia soma
- Madai ya sumu Mto Mara kutoka migodini, wananchi wazuiwa kutumia maji, kula samaki, uvuvi, Serikali yatoa tamko
- Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini
Kwani huyo Nape leo alikuwa na akili ya nani tofauti na wakati ule?Hahaaa!!hakuna lolotee, hii hali inatokana na uhuru anaoutoa mh.rais, kwani kipindi cha awamu ya 5, nani alithibutu hata kukosoa?!!leo eti mbunge wa ccm anasema bunge kutoonyeshwa live, walikuwa gizani!!kitu ambacho kilikuwa ni dhabi, siasa za kiafrika bila unafika hutoboi!!!