Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

hivi mbona mbowe naye anaiba sana tu mbona huwaga hamsemi kuwa ni kama samak na shombo hebu muulizeni hela million miamoja aliyopewa na sabodo kujenga ofisi aliipeleka wapi mpaka leo mpo ufipa? acheni kunanga watu hali na nyie mnaliwa kimyakimya
nyokoo zako; hapa tunaongelea mambo ya msingi wewe unaleta ujinga. Shut you fu@:<$%^&*** mouth !!!
 
Ndo unachowaza. Je we mkeo au mumeo akiwa serious utakuwa wapi? Why always negativity. Hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho kupokea Rushwa ya kijinga.
Kwani ilisha kuwa aibu Kwa mwana chukua chako mapema 🤔 kufanya jambo la aibu,lakijinga😜
 
Hii ilipaswa kuwa habari MPASUKO, 😆😁
 
Kwa akili yako ya kuweza kusoma na kuandika unaona hiyo report iko sawa kwa hiyo tuamini
 
Kikao cha wabunge wa CCM (Party Caucas) kilichoketi mchana huu, kimeazimia kwamba ripoti ya kamati iliyoundwa kuchunguza uchafuzi wa mto Mara isitumike wala kuchapishwa kokote, baada ya kuonekana imejaa upotoshaji huku azimio lingine ni kutaka kuundwa kwa tume huru ya uchunguzi. https://t.co/WNn9z0eVCt
 
Kwahiyo maprofeso wenu walisema uongo?,kama ni uongo nani aliunda hii tume ya uongo? Je atawajibiswaje na waadhirika wa kadhia hii
 
PCCB waliingilie kati suala hili.
Kuna kila dzlili ryshwa imerembea na rushwa huwa inaonekana kwa matokeo tu.
Si rahisi kuona pesa ilivyotembea lakini tunaona matokeo ya rushwa hiyo.
Ripoti fake.
 
PUMBAVU Tz politicians na huyo prof. wa mikojo na vinyesi
 
Hii ripoti pamoja na ripoti ya makinikia zilizoandaliwa na maprofesa wa UDSM zinaonyesha wazi kuwa inawezekana hata wahitimu wa hii fani ya madini na miamba wanafundishwa ujinga.
 
atenguliwe, ushahidi wa kutosha upatikane apelekwe mahakama ya mafisadi, sheria ichukue mkondo wake. No one is above the law.


YESU NI BWANA
Jama si tulikubaliana kila moja ale kwa urefu wa kamba yake?
 
Kama mapolofesa wenyewe ama pulofeseli aka propesa , njaaa yao ni kubwa kuliko hata wenye njaa wenyewe unategemea kuna ripoti ya maana ingetoka hapo? kuna vitu vinatia aibu sana , yani watu kama hawa ingekua china ungeskia wamepotea.

Kuna vitu vinaleta ukakasi sana , inawezekanaje samaki wafe kwa kinyesi cha mifugo wakati ndio chakula chao, kuna watau wanajikuta wanaakili sana kuzidi wengine kisa eti wanaitwa wasomi, njaa ni kitu kibaya sana na ndio imetufikisha hapa tulipo, na sasa mafuta nayo yamepanda iundwe tume tu ya wasomi na yenyewe ituletee majibu kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…