Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Haya ni kwakuwa Simba kashinda. Ngoja tusubiri siku nyingine mgungwe kwa style hii ndio tutajua mnachosimamiq.
 
Simba wapumbavu wanawarushia mashabiki viti kisa nini
Mpumbavu NI wewe Kwa sababu mashabiki wa Simba walikuwa wanajibu mashambulizi walioanzisha waarabu. Kwani shabiki wa waarabu aliyekuwa ameshika bendera alikuwa anazozana na shabiki wa Simba kila mtu Kwa lugha yake, hatimae mwarabu akachomoa mti kumpiga mswahili, na hapo ndipo vurugi zilipoanza. Hapo Nani NI mchokozi?
 
Kuna mechi ya bravo na Constantine iliongezwa dk 4 zikaenda mpaka saba
 
Mechi ya Bravos na Constantine iliongezwa dakika 4 lakini refa kaongeza zake 3 na sekunde 24. Hapa utopoloni huwaoni.
 
Binafsi Wachambuzi Mimi hua naona ni wa Mchongo tu mkuu.
 
Kaangalie muda uliotumika kati ya Bravos na Constantine...hapa ndo utaelewa kuwa CAF washaupata muarobaini wa waarabu...Hawa wajinga usipokuwa makini unaweza kuchezesha tu dk 60 au 70....nyingine zote ni kupoteza muda tu...Sasa marefa nao wameamua wawakabie kwa juu Ili somo liwaingie
 
Kasongo muda hautakusaidia tumesha kwala point tatu
 

Attachments

  • IMG-20241215-WA0008.jpg
    63.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…