Labda tutapeleka Tumbili, Ngedere na Nyani kutoka Serengeti.Mexico ni soko kubwa la Marekani kuliko china ... Dola Bilion 300 Kwa mwaka ...
Trump alichofanya amepiga Tarrif China halafu kawashushia nchi zingine nusu tariff 20% ... Kiakili anaandaa nchi zingine zipeleke bidhaa Marekani na sio kutoka china.
India naona atatake over...
Acha kulialia muafrica wewe angalia kama fursa ya kupeleke bidhaa Gani china!
Sidhani kama kuna mtu anabisha hili, atakuwa mwehu tu.Tech ni ubunifu
China anacopy na kupaste sana
Unatumia nguvu kubwa kuwaelemisha hao wajinga, atakayeteseka ktk hili ni China. Ananufaika zaidi kibiashara na US kuliko taifa jingine lolote lile. Uchumi wa China umepaa sana baada ya US na washirika wake kwenda kuwekeza China, isingekuwa hivyo mpaka leo mchina yamkini angekuwa na uchumi kama Russia n.k.Soko la Africa linampa china Dola bilion 160 tu. Wakati Marekani kama soko Moja tu Kwa china linampa Dola bilion 500.
Nyie waafrica umasikini umewajaa mnaagiza yeboyebo na ndoto za plastic hamna uwezo wa kureplace soko la Marekani Kwa mchina.
Domestic Consumer Spending yaaani soko la ndani la china ( akiuza bidhaa zake ndani ) ni Dola Trilion 6
Wakati soko la ndani la Marekani, Marekani akiuza bidhaa zake ndani ni Dola Trilion 7.
Marekani anaingiza Dola bilion 160 kutoka china Kwa mwaka wakati soko lake Moja la mexico anaingiza Dola bilion 300+
Kumbuka hizo nchi mbili Moja Ina idadi kubwa ya watu china ( milion 900+)
US ni nusu ya hiyo milion 900. Kimahesabu china ndio ana stress. Idadi ya raia milion 900 Kuihudumia sio mchezo. Ajira zilizokuwa zinatolewa na mnyororo wa Makampuni ya Marekani kuwepo china ni Kubwa sana. Nina rafiki mchina hivi ninavyoandika anasema hali ya ajira inaenda kuwa mbaya sana kwao. Anataka ahamie nchi nyingine. Viwanda ni vingi bidhaa hawana pa kuuza
a chin
Too lateTrump anataka viwanda virudi U.S sio kumtengeneza muhindi hapo Asia.
Sio hesabu hiyo kwamba 1+1=2, Au Archmedes Principle hiyo...Busara inasema ukijihisi unajua kila kila ujue ujue ukilaza unagonga hodiMkuu hujui kitu nyamaza
USA ameanza kwa kuondoa tariff kwenye vifaa vya TEHAMA kama computer na simu...Hii imeandikwa kishabiki zaidi kuliko facts;
Ni kweli uhusiano wa kibiara katika ya USA na China hauko balanced [dola bilioni 440 kwa dola bilioni 145], lakini haina maana USA ana added advantage kulipoteza soko la MCHINA, Kuna makampuni mengine ya MAREKANI including Apple wana outsource baadhi ya spear kutoka China kwa sababu ya skills na cost, watchina wako highly skilled, efficient, qualuty, quantity na gharama nafuu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Hii supply Chain ina athari kubwa pia kwenye uzalishaji wa baadhi ya makampuni makubwa Marekani na ajira za Wamarekani.
Pili China ni ya pili baada ya Japan kwa kuwekeza/kuikopesha Marekani kupitia bonds/treasury bills hivyo Kuna athari ikiwa wata weaponize hili wanaweza kuathiri uchumi wa USA.
Tatu Marekani alivyoliendea hili sii kiungwana, ni kama kichaa maana ni zaidi ya nchi 90 duniani, lakini pia Mchina ameonesha restraint na maturity.... Kuna baadhi ya nchi including za Ulaya bado hawako tayari kumpa kisogo Mchina.
Rejea ziara ya Waziri Mkuu wa Hispania lakini pia Mkutano wa pili wa EU leaders na China utakaofanyika July jijini Beijing.
My Take; Hii vita ya kiuchumi tunaweza kushuhudia yafuatayo:-
1. Kushuka kwa imani ya mataifa mengi dhidi ya USA hali ambayo itashusha hadhi ya DOLLA na Utawala wa uchumi wa USA duniani.
2. Nchi nyingi hawatakubali kuwa USA kama sole trade partner na badala yake watafanya diversification including kuboresha mahusiano na China.
3. Tunaweza kushuhudia USA akitengwa zaidi duniani hali ambayo itapelekea kuanza kwa safari ya kuhitimika kwa ukiranja wa Marekani duniani... kumbuka mpaka nchi washirika wameanza kujiuliza ikiwa F-35 hazina kill switch, Canada wameachana na mpango wa kuzinunua na nyingine wanafikia plan B, Canada anavutika zaidi kujiweka karibu zaidi na Ulaya kuliko Marekani, nchi za Ulaya wanaongeza defence budgets kuondokana na overdepence kwa USA.
Yote haya ni hasi zaidi kwa USA kuliko kwa China na Nchi zingine duniani....
Amani usiamini baada ya hii vita kuisha ya kiuchumi hali haitakuwa kama ilivyokuwa zamani...
Huyo Trump wako amesha tema bungo huko.Unatumia nguvu kubwa kuwaelemisha hao wajinga, atakayeteseka ktk hili ni China. Ananufaika zaidi kibiashara na US kuliko taifa jingine lolote lile. Uchumi wa China umepaa sana baada ya US na washirika wake kwenda kuwekeza China, isingekuwa hivyo mpaka leo mchina yamkini angekuwa na uchumi kama Russia n.k.
Marekani anauza bidhaaa izi tanzania:-Marekani anatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?
Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
Marwkani ina watu wangapi? Comsuming rate yao ikoje?Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, Lengo ni kumtia adabu China kwa kumbania soko, Marekani ndio soko linalomtajirisha China kuzidi soko lolote hapa Duniani
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kulifaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.
Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Marekani kaona China anatajirika sana kupitia soko lake, hii ni mikakati ya kumdhibiti mchina kwa kuziwezesha nchi nyingine ziteke baadhi ya masoko yaliyokamatwa na China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
China imekuwa ikishikilia soko la bidhaa zake nchini Marekani kwa wastani wa takriban dola bilioni 500 kila mwaka (shilingi trilioni elfu moja na bilioni 300). Hivyo basi, kama China itapoteza baadhi ya masokko ya Marekani kwasababu ya Ushuru, soko likapungua hata kwa dola bilioni 200, hilo litakuwa pigo kubwa kwa China.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko kubwa zaidi duniani.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
trump ni kichwa kibovu sanaMarekani anamtegemea m China kupata cheap labor na cheap products.
Hizo tariffs zikiwa in effect vitu vitapanda bei mara tatu na Marekani watu watashindwa kununua.
Na hata kuhamisha production kutoka China si kitu cha kufanya mara moja.
Wamarekani wakipata arosto ya kukosa bidhaa za bei chee kutoka China kwa mwezi mmoja tu, kutatokea machafuko makubwa Marekani.
Ndiyo maana Stock Markets za Marekani zimeanguka Mpaka Trump kaondoa ujinga wake wa tariffs za ajabu dunia nzima, kabakisha 10% tu na tariff kubwa kabakiza China, na huko China atapunguza mwenyewe.
Ndiyo maana Trump kaanza kuomba kupigiwa simu wayajenge na Mchina.
Wakati Mchina kasema ukimwaga ugali namwaga mboga wala sikupigii simu.
Jibu Zuri sana. Big upKwani iPhone ni kitu cha lazima kuwa nacho?
Sasa ivi ishu nyingi zinafanyika kwa kutumia technology hasa AI na Robots kwa iyo tegemea kupata bidhaaa kwa bei nafuuu kama China pia anavyofanyaSijaongelea cheapness ya quality, naongelea cheapness ya cost of production inayooelekea bei kuwa cheap.
Ukienda Walmart na Amazon.com kuna vitu vinauzwa bei rahisi sana kwa Mmarekani, kwa sababu vinatengenezwa China. Vingetengenezwa Marekani labda vingeuzwa mara tano au zaidi.
Tupe mrejesho mkuuKwani iPhone ni kitu cha lazima kuwa nacho?
Marekani anatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?
Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
Sasa ivi ishu nyingi zinafanyika kwa kutumia technology hasa AI na Robots kwa iyo tegemea kupata bidhaaa kwa bei nafuuu kama China pia anavyofanya
Kama marekani alifanya haya ili kumshusha China basi hakukuwa na namna China angeweza kuepuka hicho kikombe.Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, Lengo ni kumtia adabu China kwa kumbania soko, Marekani ndio soko linalomtajirisha China kuzidi soko lolote hapa Duniani
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kulifaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.
Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Marekani kaona China anatajirika sana kupitia soko lake, hii ni mikakati ya kumdhibiti mchina kwa kuziwezesha nchi nyingine ziteke baadhi ya masoko yaliyokamatwa na China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
China imekuwa ikishikilia soko la bidhaa zake nchini Marekani kwa wastani wa takriban dola bilioni 500 kila mwaka (shilingi trilioni elfu moja na bilioni 300). Hivyo basi, kama China itapoteza baadhi ya masokko ya Marekani kwasababu ya Ushuru, soko likapungua hata kwa dola bilioni 200, hilo litakuwa pigo kubwa kwa China.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko kubwa zaidi duniani.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
Shida ya wahindi hawapo shapu na wana akili fupi, sijui shida ni vile wa wanavyotombana na kuzaliana ndugu kwa ndugu.Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.