Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 727
- 1,633
Hii imeandikwa kishabiki zaidi kuliko facts;
Ni kweli uhusiano wa kibiara katika ya USA na China hauko balanced [dola bilioni 440 kwa dola bilioni 145], lakini haina maana USA ana added advantage kulipoteza soko la MCHINA, Kuna makampuni mengine ya MAREKANI including Apple wana outsource baadhi ya spear kutoka China kwa sababu ya skills na cost, watchina wako highly skilled, efficient, qualuty, quantity na gharama nafuu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Hii supply Chain ina athari kubwa pia kwenye uzalishaji wa baadhi ya makampuni makubwa Marekani na ajira za Wamarekani.
Pili China ni ya pili baada ya Japan kwa kuwekeza/kuikopesha Marekani kupitia bonds/treasury bills hivyo Kuna athari ikiwa wata weaponize hili wanaweza kuathiri uchumi wa USA.
Tatu Marekani alivyoliendea hili sii kiungwana, ni kama kichaa maana ni zaidi ya nchi 90 duniani, lakini pia Mchina ameonesha restraint na maturity.... Kuna baadhi ya nchi including za Ulaya bado hawako tayari kumpa kisogo Mchina.
Rejea ziara ya Waziri Mkuu wa Hispania lakini pia Mkutano wa pili wa EU leaders na China utakaofanyika July jijini Beijing.
My Take; Hii vita ya kiuchumi tunaweza kushuhudia yafuatayo:-
1. Kushuka kwa imani ya mataifa mengi dhidi ya USA hali ambayo itashusha hadhi ya DOLLA na Utawala wa uchumi wa USA duniani.
2. Nchi nyingi hawatakubali kuwa USA kama sole trade partner na badala yake watafanya diversification including kuboresha mahusiano na China.
3. Tunaweza kushuhudia USA akitengwa zaidi duniani hali ambayo itapelekea kuanza kwa safari ya kuhitimika kwa ukiranja wa Marekani duniani... kumbuka mpaka nchi washirika wameanza kujiuliza ikiwa F-35 hazina kill switch, Canada wameachana na mpango wa kuzinunua na nyingine wanafikia plan B, Canada anavutika zaidi kujiweka karibu zaidi na Ulaya kuliko Marekani, nchi za Ulaya wanaongeza defence budgets kuondokana na overdepence kwa USA.
Yote haya ni hasi zaidi kwa USA kuliko kwa China na Nchi zingine duniani....
Amani usiamini baada ya hii vita kuisha ya kiuchumi hali haitakuwa kama ilivyokuwa zamani...
Nasikia Tz inauza tunguli marekani nao ushuru juu
Usa akitaka hayo yatokea lazima ahakikishe thaman ya dollar inakuwa ndogo mno kitu ambacho hata sisi kitatufaidisha na ila kwa usa itawagharim maana hamna tsjiri atskubali dollar kushushwa thamanKwani malengo ya hizi tariffs ni zipi kama si kurudisha viwanda US na kuchochea uwepo wa ajira na export, sasa India achukue mikoba si itakuwa ni nje ya malengo.
Wawekezaji wenyewe hawapo tayari kuondoa viwanda kutoka China, hapo ndipo Trump anapopata ugumu kwenye hii sera yake.
Hilo haliitaji mjadala mbona tutaona iphone made in us ikiuzwa 4000usdUSA ameanza kwa kuondoa tariff kwenye vifaa vya TEHAMA kama computer na simu...
Ulimwengu hauko kama tulivyokuwa tunafikiri... iPhone completely made in America πΊπΈ inaweza kuwa na bei ambayo haitaweza kushindana sokoni...
Haya mambo hayataki ushabiki
Mkuu kitimoto kipo?.Teke la pumbu
Acha tupunguziwe uchafuMarekani anatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?
Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
πKitimoto kipoMkuu kitimoto kipo?.
Unachekesha, mfano kati ya KENYA na TZ nani anamhitaji mwenzake kwa biashara ya Mahindi?Marekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.
Watu waliokwishazoea kununua cheap products za kutika China huko Walmart na Amazon.com ukiwauzia vitu hivyo mara tatu ya bei ya sasa wanaweza hata kumuua Trump.
Unaishi nchi gani mkuu?
Parts manufactured in China, assembled in India/Mexico, sold in USA!Kampuni nyingi za Ulaya na Marekani zimeanza kukimbilia India na Mexico ili kukwepa rungu la Kodi. Hii pia ni habari njema kwa Tanzania na Afrika. Wachina ni washenzi sana.
Ulisema mkuu kuhusu huyu idiot DTTrump atashusha kitenesi hizi zote ni tishatisha zake aweze kuoata as many concessions as possible kutoka China.
Ila Mchina naye kashamjulia anamkazia hapo hapo.
Trump atashusha tu tariffs, hawezi kuendelea hivi stock markets zikianguka na chumi za dunia zikielekea kwenye recession.
It is clear there was no strategic thinking going into this.
It was a sheer egomaniac move.
Wachina si mchezo hawatishwi na MTU yeyote.Marekani anamtegemea m China kupata cheap labor na cheap products.
Hizo tariffs zikiwa in effect vitu vitapanda bei mara tatu na Marekani watu watashindwa kununua.
Na hata kuhamisha production kutoka China si kitu cha kufanya mara moja.
Wamarekani wakipata arosto ya kukosa bidhaa za bei chee kutoka China kwa mwezi mmoja tu, kutatokea machafuko makubwa Marekani.
Ndiyo maana Stock Markets za Marekani zimeanguka Mpaka Trump kaondoa ujinga wake wa tariffs za ajabu dunia nzima, kabakisha 10% tu na tariff kubwa kabakiza China, na huko China atapunguza mwenyewe.
Ndiyo maana Trump kaanza kuomba kupigiwa simu wayajenge na Mchina.
Wakati Mchina kasema ukimwaga ugali namwaga mboga wala sikupigii simu.
πKila mtu humu ni gwiji wa uchumi, siasa na michezo.
ππππ
ππKampuni ngapi ? Hiyo habari njema kwenu ki vipi ? Mna huo uwezo wa kuzioffer kampuni za kimarekani faida ya kila kitu inazopata China ?
Au unafikiri viwanda vinasimikwa tu kama mshale
ππHao engineers wanachojali ni mishahara tu,
kiwanda kikihama nchi na wao wanahama
Kume- kucha ππUr knowledge on geoeconomics is quite limited, yet daily I see you talking confidently as if you know
You have no clue what you are talking about regarding trade. I've seen you spew false information on the subject several times
Piganeni tumjue mshindi ππLet me remind you that delusions are misinterpretations of reality that creates your false beliefs
And with those false beliefs you are creating false news, false evidences, and false reality with the very little amount of evidence that you have
Thats you when it comes to geoeconomics issues
ππTunajitahidi ukifungua grocery wote watafungua grocery. Ukijenga fremu kila mtu atajenga fremu hadi vikosi vya jeshi Navy, Lugalo na Gongolamboto wamejenga fremu. Tanzania hatujabaki nyuma copy & paste.
Yeah sure , Kila mtu ama taifa lazima li- copy na ku- paste hakuna kitu kipya!!Theories ni zilezile toka karne hizo; anayeweza kuzielekeza upande wake ndio mbabe.
Ingelikuwa ananakili kiboya angekwisha shtakiwa WTO