Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Si lazima ila kina tim cook wanatqka wateja kwa bei ambayo wataimuduKwani iPhone ni kitu cha lazima kuwa nacho?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hua PANANIFURAHISHA SANA HAPA, UMESAHAU NA KUNA WALE WABOBEZI WA MASUALA YA MITAMBO YA KIVITA YA HUKO MIDDLE EASTKila mtu humu ni gwiji wa uchumi, siasa na michezo.
😂😂😂😂
great America again and America first inafanya kaziyake
Theories ni zilezile toka karne hizo; anayeweza kuzielekeza upande wake ndio mbabe.Tech ni ubunifu
China anacopy na kupaste sana
Hujui lolote, kuhusiana na vita za uchumi. Kaa kimyaVita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, lengo kuu ni kuwatia adabu wachina.
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kufaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.
Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko tamu duniani.
Marekani kaona China anatajirika sana kupitia soko lake, kinachofanywa ni kumdhibiti mchina kwa kuziwezesha nchi nyingine kuteka masoko ya bidhaa za China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
Usitarajie kwenye nchi za ubepari -ambapo matajiri wanaielekeza serikali - mifumo iruhusu bidhaa ziwe rahisi.Naona watu wengi wanajadili zaidi "kuzalisha" bila kuangalia hivi uzalishaji ili uwe na tija unatakiwa uweje.
Jee Marekani kuwa na uchumi wenye nguvu duniani walikuwa wanazalisha nini Kwa wingi kilichowafanya wawe matajiri?
Soko la uchina na Marekani linajengwa kwa wingi wa watu ama uwezo wao wa kununua bidhaa na uwezo huo wa kununua bidhaa hutokana na nini?
Sababu zinayofanya bidhaa kuzalishwa kwa gharama kubwa Marekani kuliko china zinaweza kuondolewaje ili bidhaa hizo zikizalishwa marekani ziwe na bei sawa kama zikizalishwa China?
Sasa maswali ni mengi na majibu yake si rahisi wala hakuna jibu la moja kwa moja!
Waxhina wanajaza.vitu fake ili wauzw every now and then huko USA, Walmart na Dollarama zimejaa fekeeo thingsMarekani-ni-taifa-lenye-watu-wenye-akili-
kubwa-na-maarifa-ya-hali-ya-juu-na-mipango-endelevu-kwa-maslahi-ya-taifa-na-watu-wao.
Huruma hakuwaonea penguins awaonee wa tz 😀😀 (joke)
Ulitaka upeleke bidhaa bure bila ushuru?
Tanzania mnatoza asilimia ngapi kwa bidhaa ya Us.
Mimi nadhani tujitahidi kujadili kiuhalisia. Ndiyo maana nimeuliza kwani Marekani kilichoifanya iwe tajiri ni kutokana na kuzalisha bidhaa kwa wingi na kuuza nje?Usitarajie kwenye nchi za ubepari -ambapo matajiri wanaielekeza serikali - mifumo iruhusu bidhaa ziwe rahisi.
Hata hii kampeni ya kuondoa viwanda China utaona wanataja Vietnam, Malaysia, n k
Slogan ya white supremacists! Mchina hajali ujinga wao. Yeye anakamilisha tenda na kukunja mshiko tu.
Mwaka 1980 ama 2025? China ashampita Usa siku nyingi tu kwa Publication za Kisayansi. Top scientist wengi wakubwa sasa hivi ni wachina.Tech ni ubunifu
China anacopy na kupaste sana
South East Asia ndio soko la kwanza la China kwa Hela,Marekani ndio soko kuu la China linalomtajirisha, huku kwengine ni ndondo cup
Itakusaidia nini nikiwa hivyo?Watanzania Tunatozaa ???Kwan we ni mkenya au mmarekani?
Wewe mwingereza nionyeshe Wapi nimemuongelea?Naona kiingereza ni changamoto kwako. Haujamuelewa Lin Jian
Ww jamaa unajifanya mjuaji lakini ni kalaza mmoja mkubwa wala huna uwelewa wowote kuhusu masusuala ya kibiashara duniani.Marekani ndio soko kuu la China linalomtajirisha, huku kwengine ni ndondo cup