Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Soko lingine analouza kwa kiasi hiko cha $140B ni lipi?. Inaonekana wazi kuwa hata US yenyewe haiko tayari kulikosa hilo soko la Uchina.
Trade deficit kwa US haikwepeki maana industrial power yake haifikii ile ya Uchina.
a chinChina bado ni mtengenezaji na mtundu wa bidhaa rahisi na wakati mwingine zilizo bora sana na kwa Bei nafuu. Nchi zingine Bei ya bidhaa zao ni ghali sana. Pili, China Ina soko la ndani la watu bilioni 1:4, asilimia karibu 20 ya watu wote duniani iko china., jumlisha na soko la Africa na Asia China Ina soko la asilimia karibu 50 ya watu duniani. Angalau China wana ubavu wa kumkoromea Mmarekani. Sisi wamatumbi wa bongo tungemlamba miguu tu.
Ndio muda mzuri wa Kununua hisa Sasa . . Bulls tunazama soko likiwa chini. Siku tariff zikitolewa Tesla inaamia kama Simba aliejeruhiwaTesla hata Wamarekani wameanza kampeni ya kuzisusa kutokana na ujinga wa Elon Musk.
Tesla sales tumble 13% as Musk backlash, competition and aging lineup turn off buyers
Tesla sales fell in the first three months of the year in another sign that Elon Muskβs once high-flying electric car company is struggling to attract buyers.apnews.com
Hao na NAFTA yao wanafanya biashara at a gun point huku US ndiye mnufaika mkubwa.Mexico ni soko kubwa la Marekani kuliko china ... Dola Bilion 300 Kwa mwaka ...
Trump alichofanya amepiga Tarrif China halafu kawashushia nchi zingine nusu tariff 20% ... Kiakili anaandaa nchi zingine zipeleke bidhaa Marekani na sio kutoka china.
India naona atatake over...
Acha kulialia muafrica wewe angalia kama fursa ya kupeleke bidhaa Gani china!
Bila taarifa sahihi utashikilia loss sana na vile Bwana mkubwa hatabiriki.Ndio muda mzuri wa Kununua hisa Sasa . . Bulls tunazama soko likiwa chini. Siku tariff zikitolewa Tesla inaamia kama Simba aliejeruhiwa
Yes, dow Jones ilishuka Ile mbaya mno from 42000 to 36000 ndani ya muda mchache mno, hapa inaweza ikawa game ya kuwatoa hela na wengine wanachukua Mana hapa Kuna marginal trading account za futures wenye ku swing on the fence waliunguza akaunti.Marekani anamtegemea m China kupata cheap labor na cheap products.
Hizo tariffs zikiwa in effect vitu vitapanda bei mara tatu na Marekani watu watashindwa kununua.
Na hata kuhamisha production kutoka China si kitu cha kufanya mara moja.
Wamarekani wakipata arosto ya kukosa bidhaa za bei chee kutoka China kwa mwezi mmoja tu, kutatokea machafuko makubwa Marekani.
Ndiyo maana Stock Markets za Marekani zimeanguka Mpaka Trump kaondoa ujinga wake wa tariffs za ajabu dunia nzima, kabakisha 10% tu na tariff kubwa kabakiza China, na huko China atapunguza mwenyewe.
Ndiyo maana Trump kaanza kuomba kupigiwa simu wayajenge na Mchina.
Wakati Mchina kasema ukimwaga ugali namwaga mboga wala sikupigii simu.
Kwani malengo ya hizi tariffs ni zipi kama si kurudisha viwanda US na kuchochea uwepo wa ajira na export, sasa India achukue mikoba si itakuwa ni nje ya malengo.Trump alichofanya amepiga Tarrif China halafu kawashushia nchi zingine nusu tariff 20% ... Kiakili anaandaa nchi zingine zipeleke bidhaa Marekani na sio kutoka china.
India naona atatake over...
Mawazo ya 50 years ago mnayodanganywa na mabeberu, angalia gari zake anazotoa sasa then compare na za beberu labda akili itarudi, high speed ya mchina beberu hawezi hata kujaribu sasa, China is your dad na mabeberu wanajuaTech ni ubunifu
China anacopy na kupaste sana
Fursa ipi kwa mtanganyika mlala hoi?Kuna kitu hamkielewi... Laiti mngekielewa basi ingekua ni fursa kwenu
Maisha yanamtaka mtu mwenye macho mengi or mwenye jicho 1 linalozunguka kama dishi la kutazama matrilion ya kilometers
Marekani katuwekea ushuru wa 10% kwenye pamba tunayomuuzia, kwanini tusiipeleke China ambako hatutotozwa ushuru?Fursa ipi kwa mtanganyika mlala hoi?
Kwa hiyo kuuza pamba ghafi china unaona ni fursa? Kufanya hivyo si unaongeza ajira kwa wachina?Marekani katuwekea ushuru wa 10% kwenye pamba tunayomuuzia, kwanini tusiipeleke China ambako hatutotozwa ushuru?
Sasa kama hamuwezi kuichakata si bora muokoe kidogo kilichokua kinapotelea Marekani?Kwa hiyo kuuza pamba ghafi china unaona ni fursa? Kufanya hivyo si unaongeza ajira kwa wachina?
Tukiwauzia pamba yetu, wanai process na kutengeneza boxer ambazo watatuzia mara 1000 ya bei waliyonunulia pamba yetu.
Sasa bwashee hiyo ni fursa kwa mtz au kwa mchina?
I like this.
Kwa walioona, utawala wa Trump una lugha mbaya sana ya dharau, ubabe na udhalilishaji kwa mataifa mengine na viongozi wao.
Kwa walioshuhudia udhalilishaji aliofanyiwa Zelenskyy pale White House na kejeli zinazoendelea kutolewa na Trump, Musk, Vance na Hegseth dhidi ya EU, Canada, Mexico, na Denmark wataelewa (wakipenda). Dunia imeshuhudia.
Kwa China, Trump ameamsha zimwi la Mao Zedong! Xi aliingia madarakani kuhakikisha China inasimama kama super power, isidharauliwe na Marekani kwa vile tu imekubali uchumi wa soko na biashara huria (free trade).
Xi ni muumin wa Mao kiasi chake. China imeshatahadharisha utawala wa Trump kuwa HAITAKI DHARAU. Trump atasubiri sana simu ya Xi. Xi hana kikwazo cha opinion polls. Wala Hana uchaguzi unaomkabili. Tuone. Who will blink first.
Unazani hiyo ni kuhamisha ni kazi ya siku moja?Makampuni ya Marekani yanatumia China kuzalisha bidhaa.
If they take away manufacturing from China, China itaumia zaidi
Kwahio unaumia aseeHii thread inajadiliwa kishabiki sn Wale Pro Arab,Russia,Iran,Hezbollah, Hamas na Hauthi ndio wanaoishabikia China na kuiponda US.. usishangae hao hao kabla ya kulala wanameza ARV ambazo Donor from US..
KMbona hizo nchi hazikuuza huko hata kabla ya kuwekewa 10%?
Trump alitegemea china kabla ya leo awe ameomba deal, leo naye kaongeza tariff hadi 125% na kasema baada ya hapa hataongeza tena tariff maana namba kufikia hadi sasa hazimake sense tena ni kama no business at all.
China hataki kupiga magoti maana demands za marekani haziishi. Demand zake zinabadilika.
Kila mtu humu ni gwiji wa uchumi, siasa na michezo.
ππππ