PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Ili kutatua tatizo ni vizur tuwazuie serkali kuuza nchi kwa waarabu

Waarabu ndio wameleta vita vya wenyewe kwa wenyewe sudan baada ya kuuziwa raslimali zote na.bashir

Ukibisha nakukata kofi sawa. 😡
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Muue, mteke, mlawiti na kupoteza watu wasio na hatia alafu Viongozi wa dini wakae kimya?

Viongozi wa dini wakikaa kimya juu ya Matendo yenu ya udhalimu na kishetani kutakuwa na umuhimu wowote wa kuwa na dini?

Mnabadilisha kura za watu kuwapa viongozi wasiowataka, mnaweka kura za uongo alafu mnataka Viongozi wa dini wakae kimya?

Nyie CCM ni mashetani tu na kiuhalisia hamstahili kuendelea kuwepo duniani
 
Unakemeaje hayo Kwa kujiegeneza kwenye siasa za chama au Kiongozi wa Chama Fulani?

Unatoa ujumbe gani?
 
Siku hizi umekua mstaaarabu sana !!!! Acha upupu umwagwe tujikune.
Walio kalia viti kabla ya kipenga kupulizwa wanyanyuke haraka sana tuanze upya🏃🏃🏃
 
Ila hao hao viongozi wa kisiasa wakifanya vizuri mnataka viongozi wa dini watumie majukwaa yao kuimba mapambio kusifu na kuabudu.

Iko hivi, kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu, iwe wa mmoja mmoja, kundi fulani au jamii kwa ujumla. Sasa wanaona kila kukicga kundi la maccm linauwa, kujeruhi, kupoteza na kumwaga damu za waumini wao kwa nini wasikaripie na kulaani vitendo viovu?
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
[URL
Dini na haki hauwezi kuvitenganisha!
Na kuhubiri haki bila kuitenda na ufu!
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Mtanyooka tu mbwa nyinyi. Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu kitakacho watokea hamtokuja kukisahau. Endeleeni tu kuua na kujeruhi raia wasio na hatia; kisa tu wamewakosoa. Adhabu yenu iko njiani.

Mnatamani kila mtu ageuke kuwa CHAWA siyo! Huu upuuzi hauwezekani hata kidogo. Mbona mkiombewa na hao viongozi wa dini, mkisifiwa na kutukuzwa, hatuwaoni mkilalamika?
 
Mtanyooka tu mbwa nyinyi. Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu kitakacho watokea hamtokuja kukisahau. Endeleeni tu kuua na kujeruhi raia wasio na hatia; kisa tu wamewakosoa. Adhabu yenu iko njiani.
Kina nani watanyooka? Kipi kitawatokea?
 
Ila hao hao viongozi wa kisiasa wakifanya vizuri mnataka viongozi wa dini watumie majukwaa yao kuimba mapambio kusifu na kuabudu.

Iko hivi, kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu, iwe wa mmoja mmoja, kundi fulani au jamii kwa ujumla. Sasa wanaona kila kukicga kundi la maccm linauwa, kujeruhi, kupoteza na kumwaga damu za waumini wao kwa nini wasikaripie na kulaani vitendo viovu?
Hakuna mwanasiasa amewahi omba kusifiwa na Kiongozi wa dini.
 
Back
Top Bottom