PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Sema kunahatarisha Wizi wa CCM, siyo Mshikimano wa Kitaifa;

Kushikimana sisi mbona tumeshikamana si ndiyo maana mnaogopa au siyo?

Imagine Mzanzibari unatoka zako huko ulikotoka unakuja kuuza hifadhi na bandari za Tanganyika kwa Wajomba zako Waarabu, tukae tu kimya? Pumbaf
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Historia ya kanisa kulitenga na siasa zinazohusu waumini wao ni kujidanganya. Kama ungekuwa mkweli katika hili ungeanza kukemea viongozi wa kisiasa hasa watawala kutumia majukwa ya dini kutoa au kuzungumzia sisa. Mfano:
Pasaka,
Idi
Au hafla ya kusimikwa Askofu,ama sherehe za kidini, waziri mkuu anahutubu, Rais au waziri kwa niaba.
Lakini unatakiwa kujua kanisa lina watu, serikali haina watu bali watu wana serikali.
Mfano serikali inakemea wizi wa mali za umma, kanisa linakemea wizi wa kura, yote ni matukio ya wizi ambayo mwisho wake ni motoni , fikiria kiongozi wa serikali anafanya tukio la wizi labda wa kura, unadhani asikemewe na kanisa wakati ni muumini wa kanisa?
Lazima ujue pia viongozi wa serikala ni waumini wa dini,ndiyo maana hula viapo kwa mwenyezi Mungu.
 
Achana na Palestine,hapa Bongo Huwa wanawapa kichapo harafu mnamwachia Yesu 😆😆

Huoni Pakistan inavyowatembezea kichapo India?

Huoni USA na Israel qanavyohangaika na Hamas tuj Hadi kamasi zinawatoka?

Kinukisheni tuone mtakavyochezea kichapo nitakuwa upande wa washindi 😆😆
Haya ni maneno ya shehe ubwabwa kabisa..Matumizi ya akili ni madogo sana. Elimu Elimu Elimu.
Uovu utaendelea kukemewa. Kama mmeamua kushikamana na uovu basi mtaambiwa tu. Hakuna mtu anayeweza kulizuia kanisa kukemea uovu. Huyu mtu hayupo.
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Hao waliosema hivyo ndiyo wajinga Pro, maana tangu dini inaanza kuwepo duniani haikuwahi kutenganishwa na siasa.

Nabii Musa alikuwa kiongozi wa dini na utawala (siasa).

Nabii Samwel alikuwa ndiye Kiongozi wa dini na pia Kiongozi wa taifa la Israel (siasa).

Na ni hivyo hivyo kwa Nabii Daudi (mwandishi wa Zaburi),
Nabii Suleiman (mwandishi wa Mithali, nk), na wengine kadhaa.

Hiyo dini mnayotaka isijihusishe kabisa na siasa ili muwe mnateka na kuua wananchi wasio na hatia bila kukosolewa, itakuwa siyo dini, itafutieni jina lingine..
 
Hapana sio kweli,hoja ni Viongozi wa dini wasijigeuze Wanasiasa maana hakuna Wanasiasa viongozi wa Dini.
Kwani viongozi wa dini si wanakemea maovu yanayofanywa na wanasiasa ambao ni waumini wao kama vile wanasiasa wanavyowapa maelekezo viongozi wa dini kwenye mikoa na maeneo ya utawala?
 
💉💉💉💉
Viongozi wa dini tunawaona wanaongelea haki, labda unawaona wanaegemea vyama fulani kwakuwa kuna chama fulani kinaongelea haki. Ni hivi, mabadiliko yakifika yamefika, hata mfanye hila kiasi gani, hamna uwezo wa kuzuia mabadiliko
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

🚮🚮🚮
 
Acheni kuua Watanganyika. Hutawasikia Viongozi wa Dini wakisema chochote.
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Hata Yohana mbatizaji
Aliuwawa kwa kemea uovu wa watawala
Asilimia kubwa ya manabii walikemea watawala wadhalimu na waovu

Ukiona watawala wanaanza kuchukua viongozi wa Dini wanaotetea haki wako mwishoni

Kioo kikuonyesha uchafu wako
Hamna haja ya kupasua kioo , nenda kaoge
Ni mwendaazimu pekee anayepasua kioo kwa kumwonyesha uchafu wake
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Ila walipo sapoti kupigania uhuru walikua wema...? kmmk
 
Baadhi ya wanasiasa huwatumia pia baadhi ya viongozi wa dini na baadhi yao hao wanasiasa huenda mbali na hudiriki hata kutumia madhabahu kupenyeza ajenda zao za kisiasa.
Na baadhi hujaribu kutumia dini zao kuomba kuungwa mkono na waumini wa dini zao hasa wakizidiwa HOJA huleta itikadi za KIDINI na KIKABILA.

Viongozi wa dini wana wajibu wa KUKEMEA MAOVU na KUSIMAMIA HAKI,USAWA NA UKWELI.

Viongozi wa dini wakisifia na kuwa machawa chawa kama mitume na manabii wakisema anaupiga mwingi wakihuburi amani bila HAKI na kusifia uchawa uchawa katika nyumba zao za ibada wakifanya SIASA ZA KICHAWA inakuwa haina nongwa.

Ila viongozi wa dini wakikemea UKIUKWAJI wa HAKI wakitetea haki ,wakipinga maovu wanaonekana wabaya..inatakiwa waseme tu anaupiga mwingi???
WATU WAKIUMUZWA wakiuwawa,haki zikikiukwa,katiba ikikanyagwa,nchi ikipigwa mnada ..hata wao wenyewe wakianza kuuliwa na kuumizwa WAKAE KIMYA waseme tu anaupiga mwingi??
?????? ????
Wasippsema wao MBINGU zitasema Mungu ataingilia kati atakomesha maovu mana kilio cha damu zilizomwagika kimefika mbinguni ,
Mungu ndio huwapa binadamu mamlaka kuwainua na Mungu huyo huyo huwashusha chini wenye kiburi na hata kuukomesha maovu yao na ukatili wao na hata kuwa angamiza WAOVU..kama alivyokomesha babeli Nebuchadnezer MENE MENE TEKELI NA PERESI.
 
Attachments

  • images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    10 KB · Views: 23
Gwajima ni kiongozi wa dini au mwanasiasa? hebu anzieni huko huko kwanza
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Viongozi wa dini wanatoka wapi na wanaishi wapi na ni kwaajili ya nini na ya nani

Kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Mkisifiwa hamuwasemi lakini mkikengeuka wakuwasema hamtaki na kuwaumiza, vile vile kuiba kura ni dhambi

Je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini

Kunyamaza ni kusalimu amri majukumu ya kijamii ama ya kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Bibi yako anavimba bichwa kila siku kwa kusifiwa uongo, au umekuwa kiziwi na kipofu huoni?
Taja uongo mmja tuu anaosifiwa nao na Je umewahi waulize wanaomsifia nikwemo Mimi kuhusu huo uongo?
 
Back
Top Bottom