PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kuanzia kipindi cha utawala wa kirumi enzi za Yesu kristu na Mtume Mohamed dini haijawa kuwa mbali na siasa au kwa migongano au kutumika kulinda maslahi ya wanasiasa. Tuliona kipindi cha hicho akina pilato nk. kipndi cha ukoloni wa afrika dini kwa kivuri cha wamissionari ilitumika kusafisha njia ya kutawala. kipindi cha kutafuta uhuru pia dini zilitumika sana kuwaondoa watawala. baada ya kupata uhuru dini hususani ya kikristo imeendelea kuwa karibu na watawala. Kifupi yanayotokea sasa ni vigumu kutenganisha siasa na dini. Tumeona DRC na Kenya na South Afrika wakati wa Desmond TUTU. Karl Marx alisema "Religion and state are intergral part of the Superstructure to maintain the economic status quo" for relations of production. Hivyo dini ina jukumu maalum kwenye utawala hutatenganisha na siasa hata siku moja.
 
Hii nchi kiwake tu haiwezekani kuongozwa na kikundi cha watu wachache wasio na uwezo.
Hicho kikundi Cha wasio na uwezo na wanaongoza ni kina nani?

Kikundi chenye watu wengi wenye uwezo ni wepi hao?

Mwisho kama unashabikia kiwake ,mtawawweza waislamu nyie?

Mwisho mnataka kutuharibia sie ambao hatuhusik na hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu.
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Wakisifia sio siasa wakiwaambia ukweli kukosoa mnasema siasa hivi nyie mnajikuta kina nani msiambiwe ukweli?
 
Muue, mteke, mlawiti na kupoteza watu wasio na hatia alafu Viongozi wa dini wakae kimya?

Viongozi wa dini wakikaa kimya juu ya Matendo yenu ya udhalimu na kishetani kutakuwa na umuhimu wowote wa kuwa na dini?

Mnabadilisha kura za watu kuwapa viongozi wasiowataka, mnaweka kura za uongo alafu mnataka Viongozi wa dini wakae kimya?

Nyie CCM ni mashetani tu na kiuhalisia hamstahili kuendelea kuwepo duniani
Umenifilisi mkuu
 
Wanasiasa ndiyo wazuiwe kufanya maovu!

Karibia ghasia na machafuko yote duniani ni wanasiasa siyo viongozi wa dini.
 
Siku hizi ufatiliaje na usimamizi wa rasilimali za nchi haupo tena, viongozi wapo bize kutafuta wakosoaji wa serikali kama vile wao ndio wanaokwamisha maendeleo ya taifa, nchi inaliwa tu hii.
 
Sawaa mkisha wazuia na sisi waumini wao tusinihusishe na siasa
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

Siasa ikizingua dini huingia
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj%5B/URL


View:
kuanzia kipindi cha utawala wa kirumi enzi za Yesu kristu na Mtume Mohamed dini haijawa kuwa mbali na siasa au kwa migongano au kutumika kulinda maslahi ya wanasiasa. Tuliona kipindi cha hicho akina pilato nk. kipndi cha ukoloni wa afrika dini kwa kivuri cha wamissionari ilitumika kusafisha njia ya kutawala. kipindi cha kutafuta uhuru pia dini zilitumika sana kuwaondoa watawala. baada ya kupata uhuru dini hususani ya kikristo imeendelea kuwa karibu na watawala. Kifupi yanayotokea sasa ni vigumu kutenganisha siasa na dini. Tumeona DRC na Kenya na South Afrika wakati wa Desmond TUTU. Karl Marx alisema "Religion is an integral part of the state and at large the Superstructure".
stupid Analysis! Politics has become evil ! They are not turning into politics , but they are doing their job to spread good news and accuse the devil!
Sometimes you need to eat with the devil to know what is happening and have good strategies to accuse him!
 
Hicho kikundi Cha wasio na uwezo na wanaongoza ni kina nani?

Kikundi chenye watu wengi wenye uwezo ni wepi hao?

Mwisho kama unashabikia kiwake ,mtawawweza waislamu nyie?

Mwisho mnataka kutuharibia sie ambao hatuhusik na hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu.
Kwani waislam ndiyo akina nani dunia hii? Ni watu mahiri sana kwenye mapambano au ni mihemuko tu?Mbona mmeshindwa kuitetea palestina?
Huu ujinga unaoendelea ndiyo unaona utaleta amani?
Ukweli utasemwa tu. Wewe boya umekuwa unawakejeli watu wanaofanyiwa uovu na vyombo vya dola halafu unajitokeza kusema wanaohubiri haki wataleta vurugu. Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia kiungo gani mwilini?
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Walioko kwenye dini ni haohao walioko kwenye siasa
 
Kwani waislam ndiyo akina nani dunia hii? Ni watu mahiri sana kwenye mapambano ni mihemuko tu?Mbona mmeshindwa kuitetea palestina?
Huu ujinga unaoendelea ndiyo unaona utaleta amani?
Ukweli utasemwa tu. Wewe boya umekuwa unawakejeli watu wanaofanyiwa uovu na vyombo vya dola halafu unajitokeza kusema wanaohubiri haki wataleta vurugu. Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia kiungo gani mwilini?
Achana na Palestine,hapa Bongo Huwa wanawapa kichapo harafu mnamwachia Yesu 😆😆

Huoni Pakistan inavyowatembezea kichapo India?

Huoni USA na Israel qanavyohangaika na Hamas tuj Hadi kamasi zinawatoka?

Kinukisheni tuone mtakavyochezea kichapo nitakuwa upande wa washindi 😆😆
 
Wanasiasa ndiyo wazuiwe kufanya maovu!

Karibia ghasia na machafuko yote duniani ni wanasiasa siyo viongozi wa dini.
Kuna njia za kuwazuia sio kutumia dini hapo huwezi zuia ila utachochea.
 
Back
Top Bottom