PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Viongozi wa madhehebu ya dini ya kikiristo wamekuwa ni deeply partisan and tribalistic, ni watu hatari kuliko wanasiasa, eti wao ndyo daraja la waumini kuiona pepo :CaptFailFish:
Tjmia hiko kichwa kufukiri na sio kutenganisha hayo masikio.
 
Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.

Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.

Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.

Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.

Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.

“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.

Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.

“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.

Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.

Source: Eatv
WAPI WAMESEMA HIVO? NMESOMA MWANZO MWISHO, SIJAONA KAULI KAMA HIYO HAPO KWNEYE CHAPISHO.

ACHA UCCM WAKIJUHA
 
Je,hawaruhusiwi kutoa ushauri wanapoona mambo hayapo sawa kwani kiroho pia wana jicho la ziada?
Unatoaje ushauri wakati wankondoo wake ni wafuasi wa vyama tofauti? ni busara kuwa neutral, ushauri wowote unawakeara na kuwanufaisha baadhi ya waumini na wasio waumini
 
Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.

Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.

Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.

Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.

Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.

“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.

Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.

“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.

Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.

Source: Eatv
mimi nilishasema wasabato ndio wakristo wa kweli hawa kina kitime ni ulafi wa madaraka ndio unawasumbua
 
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Hawa siyo wale Grace Kingalame waliosafiri dunia nzima bila pass wala visa kweli!!
 
Sitanii, viongozi wa dini si miungu ni binadamu wenye uwezo wa kawaida au chini ya viwango na wanakosea sana, changamoto ni kuwa waumini wanwaabudu viongozi wa dini badala ya kumwabudu Mungu
wanataka kutuletea machafuko kwa ulafi wao hawaridhiki na pesa zote zile wanataka madaraka pia, tuwe makini nao hata rwanda kanisa lilihusika sana kenye kuchochea vurugu
 
Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.

Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.

Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.

Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.

Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.

“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.

Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.

“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.

Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.

Source: Eatv
Kwa nini waiombee nchi?
 
Sitanii, viongozi wa dini si miungu ni binadamu wenye uwezo wa kawaida au chini ya viwango na wanakosea sana, changamoto ni kuwa waumini wanwaabudu viongozi wa dini badala ya kumwabudu Mungu
Mimi nimekuuliza uliposema kiongozi ndio Daraja la muumini kumuona Mungu.
 
Unatoaje ushauri wakati wankondoo wake ni wafuasi wa vyama tofauti? ni busara kuwa neutral, ushauri wowote unawakeara na kuwanufaisha baadhi ya waumini na wasio waumini
Kukiwa na wafuasi wenye itikadi tofauti za kisiasa ndio huwezi kutoa ushauri?
 
Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.

Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.

Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.

Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.

Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.

“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.

Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.

“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.

Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.

Source: Eatv
Hao viongozi wa dini hawaishi kisiwani, tena wengi wao wamesoma kuliko nyie, viongozi wa dini wamezaliwa miongoni mwetu ni binadamu kama sisi ndugu zao wanatekwa na kuumizwa

Tanzania watu wanapotezwa na kupotea kama kuku mamlaka ziko kimyaa kwakufupi kwasasa hakuna aliye salama

CCM wanaongoza nchi kwakutumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Kunyamaza siyo amani bali kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini

Silence surrenders public responsibilities
 
Hapa tu kwa kuongelea hili jambo wameshachanganya dini na siasa😏
Uko sahihi 100% wangekaa kimya na kushughulika na masuala yao ya kiroho tu tungewaelewa hawataki kuchanganya dini na siasa.
Walivyo wajinga wanasema wao watu wa dini ndo kimbilio kukishatokea shida...wanamaanisha wanataka viongozi wengine wa dini wanaokemea ukiukwaji wa haki wakae kimya ili shida itokee. ndipo wao wawe kimbilio. Sasa hii ni akili au matope...,badala ya kukemea sasa ili shida isitokee, unataka ili itokee kwanza. Wajinga kabisa
 
kwa hyo watu wauliwe watekwe.wakikemea wanaingilia siasa?
 
..Na magenge ya viongozi wa Dini wanaolamba viatu vya watawala[ Ccm ] unadhani yamechipuka yenyewe tu, hayana mkono wa watawala?
Ndio hayana Kwa sababu sio dhambi kumsifia Kiongozi
 
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.

Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.

Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.

Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.

La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.

View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj

..unajua unaweza kuwa unapiga kura halafu unaenda zako nyumbani, baadae unasikia mpinzani ametangazwa.

..Sasa usipochunguza mpinzani ametangazwa mshindi katika mazingira gani utabaki na imani kuwa mambo yote ni shwari.

..unaweza hata kuwa ulishangilia ukiwa nyumbani kwako kuwa mpinzani ametangazwa. Lakini usijue ushindi huo umeambatana na wananchi kuumizwa.

..ukweli ni kwamba wananchi wamekuwa wakipitia ktk matatizo makubwa mpaka kufikia hatua ya mpinzani kutangazwa mshindi ktk eneo lao.
 
Waumini wao ni wanasiasa lazima waonywe....tusijifiche kwenye shamba la karanga jamani. Dhambi hukemewa popote itakapokuwa hata kama ni mahala pabaya tuvumiliane...watu wanatakiwa waache dhambi...wakija Misikitini au Makanisani wasijifanye kuinamisha vichwa chini kumbe wahuni tu
 
Back
Top Bottom