ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #141
Kukemea kipi wakati wanampigania mtu wao Lisu? Mbona hawaoni matamshi ya kihaini ya huyo muumini wao na homeboy wa Kitima?Yaani wanahesabika wachochezi kwa kukemea Mauaji,Utekaji,Udikteta,Wizi,Uvunjaji wa Haki za binadamu,nk?
Acheni ujinga,waache mara Moja wanahatarisha Usalama wa Nchi.