je haki inapoharibika kwa waumini na wananchi hawaruhusiwi kusema. Mstari wa dini na siasa ni finyu sana. Hata kauli ya wasabato kutoa ushauri huo ni siasa.Je,hawaruhusiwi kutoa ushauri wanapoona mambo hayapo sawa kwani kiroho pia wana jicho la ziada?
Haipaswi kuwazuia wanaotoa maoni kusema,yeyote yule awe muumini,mwananchi au kionhozi wa dini yoyote ile anaruhusiwa kutoa maoni ili mradi havunji Sheriaje haki inapoharibika kwa waumini na wananchi hawaruhusiwi kusema. Mstari wa dini na siasa ni finyu sana. Hata kauli ya wasabato kutoa ushauri huo ni siasa.
wasabato na mashahidi wa yehova siku zote huwa wanasubiri watu wengine wawapiganie, chakula kikiwekwa mezani wa kwanza kula.Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Viongozi wa madhehebu ya dini ya kikiristo wamekuwa ni deeply partisan and tribalistic, ni watu hatari kuliko wanasiasa, eti wao ndyo daraja la waumini kuiona pepo![]()
😛 Tuzo ya Nobel alipata Tutu na Mandela, kwa sababu ya kupambana na kuumaliza utawala wa apartheid (ila mfumu wa apartheid bado upo kwa baadhi ya nyanja za kiuchumi), apartheid ni zaidi ya ushetani, infact even Satan hates apartheid.Kina Desmond Tutu walipata Nobel Peace Prize kwa kupinga dhulma za watawala na kutetea watu
Ndicho wanachofanya Maaskofu na Mapadre wa Tanzania
Waliompa Askofu Tutu Nobel wajinga ?

Amani tunda la haki mdude akifa atakufa wakoHaitakiwi kabisa maana italeta uvunjifu wa amani.
Kwanza mwanasiasa yeyote akifa sina Cha kusikitika Wala kupoteza.Amani tunda la haki mdude akifa atakufa wako
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Kwanza ni aibu Kwa Kanisa Katoliki Kugeuka kuwa watumwa wa Chadema au laa tujue ni tawi lao.Mlianza wenyewe kuwaita Ikulu.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
Wote hao,GwajiBoy hana tofauti na hao wa TEC anatumia jukwaa la dini kujinadi.Bila shaka ujumbe wako umemlenga mwanaCCM Josephat Gwajima...
Wao wanaujua ukweli gani kushinda mamlaka Zenye vyombo vya Dola?Hakuna anayeweza kuwazuia kusema ukweli!
(Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. Rum 12:15)Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Wote hao,GwajiBoy hana tofauti na hao wa TEC anatumia jukwaa la dini kujinadi.
Ni vyema akaacha ni kosa la kimaadili na kimantiki.
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Yaani wanahesabika wachochezi kwa kukemea Mauaji,Utekaji,Udikteta,Wizi,Uvunjaji wa Haki za binadamu,nk?Wao wanaujua ukweli gani kushinda mamlaka Zenye vyombo vya Dola?
Hakuna ukweli Kwa kuchochea chuki za kidini,wadhibitiwe.