ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
💉💉💉💉🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Muue, mteke, mlawiti na kupoteza watu wasio na hatia alafu Viongozi wa dini wakae kimya?Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Unakemeaje hayo Kwa kujiegeneza kwenye siasa za chama au Kiongozi wa Chama Fulani?Muue, mteke, mlawiti na kupoteza watu wasio na hatia alafu Viongozi wa dini wakae kimya?
Viongozi wa dini wakikaa kimya juu ya Matendo yenu ya udhalimu na kishetani kutakuwa na umuhimu wowote wa kuwa na dini?
Mnabadilisha kura za watu kuwapa viongozi wasiowataka, mnaweka kura za uongo alafu mnataka Viongozi wa dini wakae kimya?
Nyie CCM ni mashetani tu na kiuhalisia hamstahili kuendelea kuwepo duniani
Huko ndiko hatutakiwi kwenda maana tutaanza kulipuana dailyImani ndio haichanganywi na siasa
Dini na Siasa ni kitu kile kile waulize Pakistan, India, Iran, UK, Kenya, Russia nk
Dunia ni kijiji bwashee 😁Huko ndiko hatutakiwi kwenda maana tutaanza kulipuana daily
Wamejiegemezaje?Unakemeaje hayo Kwa kujiegeneza kwenye siasa za chama au Kiongozi wa Chama Fulani?
Unatoa ujumbe gani?
Dini na haki hauwezi kuvitenganisha!Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
[URL
Mtanyooka tu mbwa nyinyi. Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu kitakacho watokea hamtokuja kukisahau. Endeleeni tu kuua na kujeruhi raia wasio na hatia; kisa tu wamewakosoa. Adhabu yenu iko njiani.Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala hakileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Kina nani watanyooka? Kipi kitawatokea?Mtanyooka tu mbwa nyinyi. Na mkiendelea kukaza mafuvu yenu kitakacho watokea hamtokuja kukisahau. Endeleeni tu kuua na kujeruhi raia wasio na hatia; kisa tu wamewakosoa. Adhabu yenu iko njiani.
Duniani Kuna Haki? Kama dini inatoa Haki Mahakama ni za kazi gani?Dini na haki hauwezi kuvitenganisha!
Na kuhubiri haki bila kuitenda na ufu!
Hakuna mwanasiasa amewahi omba kusifiwa na Kiongozi wa dini.Ila hao hao viongozi wa kisiasa wakifanya vizuri mnataka viongozi wa dini watumie majukwaa yao kuimba mapambio kusifu na kuabudu.
Iko hivi, kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu, iwe wa mmoja mmoja, kundi fulani au jamii kwa ujumla. Sasa wanaona kila kukicga kundi la maccm linauwa, kujeruhi, kupoteza na kumwaga damu za waumini wao kwa nini wasikaripie na kulaani vitendo viovu?