General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Labda walioporwa wana mahusiano na wakubwa !! Yaani wenzetu !! Au ??!Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.
MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.
Nawasilisha.
Hata marekani alifunguaga Guantanamo bay!!Hakuna mtu aliporwa, hao ni wapiga dili haramu na wakwepa kodi kwa mgongo wa vigogo waliokuwa nyuma yao na walipata kile walichostahili kupata, ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kuyasema Haya.
Mambo mengine ni mazito yangewekwa hadharani kuna watu husingewaheshimu tena,
Pia kila nchi unayoijua wewe sio kila jambo linapatiwa ufumbuzi mahakamani, zipo njia mbadala ambazo zimetumika kwa watu wengi tu ulimwenguni yakiwemo mauaji, kunyang'anya mali n.k
Na yale maburungutu yaliyokuwa yanabebwa kwenye masandarusi kutoka benki enzi za JK yalikuwa ya nani ??!Hawo wahuni ni Mwendazke na genge lake. Unadhani yale mabulungutu aliyokuwa anagawa ovyo kwenye ziara zake yalikuwa yanatoka wapi?
Tena Jambarika kabisaMarehemu alikuwa jambazi
Alisema mtanikumbuka kwa yale mazuri tuu !!Jambazi Magufuli hata shetani hawezi kumkumbuka!
Kama ni kweli basi Ile hotel ya Jiwe ya ghorofa pale Chato ipigwe mnada hiyo hela walipweHizo hela anazorudisha anazitoa wapi?.
Na hizo hela zilizoporwa zilikwenda wapi?.
Kumpora mtu jasho lake ukiwa huna ushahidi ni laana mbaya sana kwa taifa zima, ni dhuluma na Mungu anaangalia moyoni haangali ule unyenyekevu wa kinafiki wa kupiga magoti kanisani kila Jumapili.Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.
MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.
Nawasilisha.
Unaandika haya ukiwa sio mhanga wa dhuluma, ni hadithi umezisikia vijiweni ukazileta humu kama zilivyo.Hakuna mtu aliporwa, hao ni wapiga dili haramu na wakwepa kodi kwa mgongo wa vigogo waliokuwa nyuma yao na walipata kile walichostahili kupata, ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kuyasema Haya.
Mambo mengine ni mazito yangewekwa hadharani kuna watu husingewaheshimu tena,
Pia kila nchi unayoijua wewe sio kila jambo linapatiwa ufumbuzi mahakamani, zipo njia mbadala ambazo zimetumika kwa watu wengi tu ulimwenguni yakiwemo mauaji, kunyang'anya mali n.k
Kwenye hio list ya wasioamini na mimi niongezeni haponiongeze na mimi tuwe wawili kwenye kuamini mwishoni kuwa walionewa.
Hizi ni akili mbaya sana za kivivu na kijamaa. Akili za kumwona kila mwenye fedha amezipata kwa njia haramu.Bado mnaendelea kuaminisha watu kua mlikua sawa na mlionewa, nyie mlikwepa Kodi majizi makubwa nyie, na kusababisha wanyonge kuendelea kukosa dawa, madawati, zahanati, maji na mengineyo, mlipotemeshwa fedha bado mmeendelea kutetea wizi wenu ili muonekane mlikua sawa, mtahukimiwa mbaya kabisa washenzi nyie
Ongezea: wanaokunywa maji na ng'ombe, mbuzi na punda kisingizio ukameMbona huwaonei huruma hawa masikini wa vijijini wanaopigwa na TOZO??
tunamtakia kila la keri na kazi iendelee.Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu na uharibifu uliofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Mwendazake.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa yupo mfanyabiashara mmoja aliyeporwa jumla ya Tsh 3.5 bilion na kumpelekea kufilisika kibiashara. Mh mama Samia hataki kuongoza nchi yenye watu waliopondeka mioyo kutokana na kunyanyaswa na serikali iliyopita. Ndio maana anafanya jitihada zote kuhakikisha anatibu majeraha na makovu yote yaliyosababishwa na serikali iliyopita ili nchi isonge mbele bila kinyongo.
MAONI YANGU
Namkubali sana Mh mama Samia kwa ujasiri wake huu ijapokuwa kuna baadhi ya wanaCCM hawapendi kuona watanzania wenzao wakiishi maisha bora katika nchi hii. Sote ni mashahidi jinsi wafanyabishara walivyokuwa wakiporwa fedha na akina Sabaya na Makonda (wateule wa Mwendazake) bila kuchukuliwa hatua zozote, hadi baadhi ya wafanyabiashara wakaamua kuikimbia nchi. Ukweli wa jambo hili umeanza kudhihirika wazi baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwafungulia mashataka wahalifu hawa wawili waliokuwa vipenzi wa Mwnedazake.
Nawasilisha.
Pia alikuwa Mkabila na Mkanda pia alikuwa na chuki na ndugu zetu Wachaga huku Chawa wake wakimuaminisha kuwa Matajiri wa Kichaga ndio wanaoichangia CHADEMA.yule hakuwa rais bali alikuwa jambazi
Kauli yako ya mwisho tu umeonyesha wazi unatokea wapi hapa Tanzania, nyie ni majambazi makubwa pumbavu sana, rejesheni pesa za wananchi majizi nyie, kalieni Siasa zenu za ugomvi zisizo na tijaKwani sasa hivi wananchi wanakaa chini? hospitalini hakuna dawa? maji yanapatikana?
Acha upoyoyo wewe ndezi!
Lakini wakati mwingine adhabu zisione huruma wala aibu.Hizo hela anazorudisha anazitoa wapi?.
Na hizo hela zilizoporwa zilikwenda wapi?.
Hizi nazo akili? Ama kweli Lumumba wamekunyanganya akili zote kichwa kimebaki cha kufugia nywele tu! Endeleeni na ujinga wenu lakini awamu hii lazima mle ma.vi maana mlizoea vya kunyonga enzi za mwendazake sasa lazima akili ziwarudie mbwa nyie! π³ π πHakina nani hao tuwajue,tujue na biashara gani walikuwa wakifanya, maana naona kuna mpango wa kufisadi ela za walalaoi, Maana sijawahi kumsikia Backeresa au Mo au Mengi kabla ya kifo wakilalamika kuhusu kupolwa fedha zao kwenye account zao,na ndio wafanyabiara wakubwa nchi hii,ila kelele hizi unazisikia kwa Wachaga na Chadema.
Kwani mimi hapa natetea nini? Si natetea majambazi waliopora hela za wafanyabiashara warudishe au umeni-quote vibaya kiongozi?Kauli yako ya mwisho tu umeonyesha wazi unatokea wapi hapa Tanzania, nyie ni majambazi makubwa pumbavu sana, rejesheni pesa za wananchi majizi nyie, kalieni Siasa zenu za ugomvi zisizo na tija