Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.

Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..
Utawala wa sheria lazima ufuatwe.Katiba inatoa mamlaka ya kutia mtuhumiwa hatiani na kuhukumu mikononi mwa mahakama tu.Hao mamlaka ya kutesa na kudhalilisha waliyatoa wapi?
 
Askari wachukuliwe hatua kali na yule tapeli naye achunguzwe vizuri na mtandao wake.
Jamaa lina kitambi halafu linaendesha Prado kali kutokana na utapeli.
 
Wanalindana sana, ila kikisanuka huwa wanafukuzwa
Unakuta wanampiga babu hata haiwezi kabisa,ukiuliza vipi wanakwambia sijui kakanyaga bustani ndo wanampa kichapo.

Wajinga sana hawa watu
 
Ghafla nimemkumbuka yule mbwa aliyepigwa risasi, kosa lake aliitwa Immigration.

Nadhani ilikuwa kwenye miaka ya tisini hivi.
 
Mbona barua iliyosainiwa na huyo Makakala haina sehemu inasema wamesimamishwa kazi? Tunataka kujua ukweli haiwezekani barua inayosambaa kwa waandishi wa habari aseme vingine na alipozungumza na milard aseme kingine.

Wasituletee janja janja aidha miladi anatudanganya au Uhamiaji wanatudanganya.
 
Ni kweli wanayafanya hayo je udhaifu uko wapi? Ni dhahiri sheria zetu ndizo zenye shida
Ila hao jamaa wa uhamiaji nao mafala tu.. Mtu kama huyo mnaenda kumficha porini huko mnamfanya mtakacho mpaka ayachukie maisha.. Sasa wao wanakimbilia kurecord video
 
Watupe majina na picha na sisi tulipize, wamesahau hii nchi ni yetu sote.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Inawezekana ni

tea.jpg
 
Hii danganya raia, hakuna Askari anayeweza kuwajibishwa kwa kumwajibisha mwalifu aliyevamia kambini duniani kote. Hao nadhani watapandishwa cheo
 
Hii kijeshi wanasema imeisha hiyooo, wanasubiria mwingine aingie kwenye kumi na nane zao wamnyongoroshe..........ile video ilirushwa strategically maana juzi tu mitandao ililalamika uhalifu umezidi.
Hasa vuta picha hiyo ni uhamiaji,ukiingia kwenye kumi na nane za polisi je? Na ukijifanya una haki huko mitaa ya jw je?
Mkipiga kelele wanadamka hasa msiwaambie Tena uhalifu umezidi maana watawaonyesha uhalifu unavyodhitiwa
Alex tulishtuka kumwona anaendesha shangingi tukajiuliza huyu kaajiriwa serikalini kwa elimu gani? Kumbe tapeli wa mjini.

Mzazi mkanye mwanao dola inatabia yakuwafurahisha adhara huku unaumia
 
Back
Top Bottom