Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala wa sheria lazima ufuatwe.Katiba inatoa mamlaka ya kutia mtuhumiwa hatiani na kuhukumu mikononi mwa mahakama tu.Hao mamlaka ya kutesa na kudhalilisha waliyatoa wapi?Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.
Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..
Unakuta wanampiga babu hata haiwezi kabisa,ukiuliza vipi wanakwambia sijui kakanyaga bustani ndo wanampa kichapo.Wanalindana sana, ila kikisanuka huwa wanafukuzwa
Bora wasimamishwe kazi. Ile waliomfanyia yule kijana ulikuwa ni uhamiramia. Nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria .
Ila hao jamaa wa uhamiaji nao mafala tu.. Mtu kama huyo mnaenda kumficha porini huko mnamfanya mtakacho mpaka ayachukie maisha.. Sasa wao wanakimbilia kurecord videoNi kweli wanayafanya hayo je udhaifu uko wapi? Ni dhahiri sheria zetu ndizo zenye shida
Sioni sababu ya kufanya uchunguzi,video inatosha. Walinzi hao waende wakalime nao wakajifunze utapeli mitaani waone dhamani ya kazi yao.
Inawezekana niWatupe majina na picha na sisi tulipize, wamesahau hii nchi ni yetu sote.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mkuu, sikuhizi umekuwa nahekima sana.Walizidisha mihemko ....ile sio sawa kabisa ....acha wapumzike wajutie makosa yao
Walilenga kupewa uteuzi MkuuMtu kama huyo mnaenda kumficha porini huko mnamfanya mtakacho mpaka ayachukie maisha.. Sasa wao wanakimbilia kurecord video