Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

Iko hivi, kwenye hizi kazi za kuteuliwa au kazi za serikalini, kila mtu anaangalia jinsi ya kutumia fursa vizuri, sasa sometimes hio fursa inaweza ku-backfire kama ilivyotokea kwa wale askari halafu ikawa fursa kwa yule Boss wa Uhamiaji kujiuza kwenye media kuwa anatenda haki na ni msikilizaji mzuri....hicho tu.

The Gambler "Secret to survive is knowing what to throw away and what to keep, because every hand is a winner and every hand is a looser, the best you can hope for is to die in your sleep"
Elli Mshana umenifurahisha sana, umeweka vizuri sana yaliyokuwa yanatamalaki awamu ya tano. Ndio maana uliona kula mahindi, kugawa hela, kutumbua. Matamko kadha wa kadha, kuna mmoja alikuwa anavusha raia kwa kuwabeba mgongoni wakati wa mafuriko. yaani kila aina ya vituko tuliona. Yote ilikuwa ni kupata fursa ya kuonekana.
 
Kosa lao ni video waliochukua wakati wakimsulubu huyo waliomuita tapeli. Ingekuwa kimya kimya wala wasingeletewa huu msala wa sasa hivi.
Kikubwa ni kuwa Mitandao imepiga kelele. Sasa mkuu wa Idara kaona bora achukue hatua asije tumbuliwa. Mfano tukio hilo hilo, mitandao ingesifia wala asingechukua hatua hizo. Kwa kifupi ni fursa tu zinaangaliwa.
 
Ila huyo tapeli alikuwa anaharibu sifa za hili jeshi la abakazi(wanawake )
 
Elli Mshana umenifurahisha sana, umeweka vizuri sana yaliyokuwa yanatamalaki awamu ya tano. Ndio maana uliona kula mahindi, kugawa hela, kutumbua. Matamko kadha wa kadha, kuna mmoja alikuwa anavusha raia kwa kuwabeba mgongoni wakati wa mafuriko. yaani kila aina ya vituko tuliona. Yote ilikuwa ni kupata fursa ya kuonekana.
Hahahaa sasa hili suala la kumpigia kura ya tuzo yule mwanamuziki wa CCM mmeamuaje? Mbona mko kimya?
 
Maafisa wengine wapumbavu tu, unafanya vipi tukio kama lile? tena unalirecord kabisa.
Nafikili alie record hakuwa askari alikuwa ni raia tu.

Otherwise, angekuwa ni askari wala isingerushwa kwenye mitandao au la sivyo wameamua kuchomeana.
 
Mimi ningekua mkubwa wa hao askari nisingewafukuza kazi in fact hata kuwasimamisha ingekua ni kakomedi tu kisha ningewahamisha mkoa waendelee na kazi.

Na ningewaambia tu "Next time mtu kama huyu hamchukui video"

Nisingeongea open hivyo ila ingekua speech yenye huo ujumbe.
 
Habari wakuu,

Nimeona Ndugu Alex Rafael aliepigwa na Askali wa Idara ya Uhamiaji akiepelekea kusimamishwa kwa askali hao walio shiriki tukio hilo la kumpiga...
Hakuna aliye juu ya sheria,unaonekana wewe ni darasa la saba kushabikia matumizi ya nguvu bila akili.
 
Habari wakuu,

Nimeona Ndugu Alex Rafael aliepigwa na Askali wa Idara ya Uhamiaji akiepelekea kusimamishwa kwa askali hao walio shiriki tukio hilo la kumpiga...

Mkuu hao askari wa uhamiaji hawawezi kumchukulia sheria mkononi kwa kumpiga wakati kuna vyombo vilivyowekwa kwa ajili ya kushughulikia tuhuma zinazomkabili,ilitakiwa akamatwe na kupelekwa kwenye vyombo husika ili hatua za uchunguzi/ushahidi na kupelekwa mahakamani.
 
Hahahhaha dah, nakumbuka last time ile campaign dah hadi Mwendazake akakosa akapata Rais wa Ghana Nana Akafour
Najua Shujaa ile ilimuuma sana, unajua kwa mtu aliye na hulka ya kupenda kusifiwa, akikataliwa vile anaweza pasuka. Kuna jamaa zangu MATAGA waliteseka sana kuhamasishana kwenye whatsapp.
 
Hivi mama Kamishna kweli hajui udalali uliopo hapo Kurasini kwenye hizo flem hasa zinazohusiana na Stationaries!?...
Stationery haina wingi (plural).

Ni makosa kuandika au kusema stationeries
 
Najua Shujaa ile ilimuuma sana, unajua kwa mtu aliye na hulka ya kupenda kusifiwa, akikataliwa vile anaweza pasuka. Kuna jamaa zangu MATAGA waliteseka sana kuhamasishana kwenye whatsapp.
Wacha this time tuwafanyie surprise nyingine tena, dadeeeki
 
Kama tapeli kwenye hao askari wapo sahihi hiyo ilikuwa chai tu matapeli wasikie kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom