Mafisadi sio watu wa kuwachekea na sasa wameingia jikoni, kazi tunayo!! Mpaka uchunguzi wa waliotajwa na CAG unamalizika na hatua kuchukuliwa dhidi yao, makaburi mengi yatajaa mizoga!!
kama ile ya Lwajabe
 
Simba/yanga
Miziki miziki bongo fleva umbea
Kwa ufupi tu watu washatolewa
McheZoni

Ova
 
Kifo ni kifo tu,hakuna conspiracy theory,it's natural death,some thing must kill a man,tuache porojo za vijiweni,
Ishu kubwa ni gharama za maisha kupanda,ufisadi serikalini,mambo ya ushoga na Hz minor issues,zinatumika na wanapropagsnda wa ccm kutusahaulisha issues muhimu
 
Kufa mtu ni minor issue ! basi Mungu akuzidishie mkuu
 
Ni vifo vya aina gani kwanza tujue kama ni Natural au Man made!
Hiki cha Godfrey lawrence, siongei jambo, naumia kweli, namfahamu alikuwa mtu mwema kweli kweli,mpole, mwadilifu, nadhani tatizo hapo ni UADILIFU.
Tunaomba serekali iurudishe mwili toka kameroni kwani Tupo msibani toka Jumatano ya matawi mpaka leo hii.
 
Wanakufa watu wa familia moja tena kwa mpigo....ahadi ikifika haina dawa.....

Allah atupe mwisho mwema ,aaamin[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…