Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

Bado wanakuja wengine wengi tu na wanaingia kingi kirahisi huko mitaani.
 
Ni kama mzaha ila ndo uhalisia
 
Mi mwanangu nitamfua mwenyewe kwenye haya mambo yangu akishamaliza tu form four..

Kwanza picha linaanza mpaka anafika secondary tayar kuna mazaga ambayo nafanya atakua tayari kashayajua nusu..

Na mti akijifanya kunishauri nampiga pipe
 
Asante sana, nitakuja nijaribu kuelezea.
 
kuna uhusiano mkubwa sana kati ya thought na financial freedom

YESU NI MWOKOZI
Uhusiano unaweza kuwepo lakini siyo mkubwa.

Freedom of thought ni likitu likubwa lisilo na mwisho, mfano wa bahari, halafu Financial freedom ni ka kipande kadogo tu, yaani kama samaki tu katika bahari.

Yaani labda niongezee hivi,
Financial freedom ni matokeo ya kumaster somo tu, somo la financial education.

Freedom of thought inaweza kuinvolve faculty yeyote ile kwny ulimwengu huu.
 
Nabisha na kukataaa
Sasa tulikomaa nini na BS, Chandy, Medicine chuo halafu elimu yotee nifugie kuku.

Sema system imefeli, then tunajipa moyo tuuu.!!!

#YNWA
System gani iliyofeli?

Lengo la formal education ni kuajiriwa. Kama graduates wengi sana waliofaulu hawapati ajira, hilo kweli ni tatizo.
 
Kutokana na tulipianzia mjadala na jinsi ulivyoeleza hapa. Hio freedom of thought lazima ukaipate chuo kikuu ? Maana vyuo vyenyewe vinachagua tuvitu tuchache twa kumfundisha mtu. Kama ishu ni kupata mawanda mapana, elimu ya hivyo si imejaa mitandaoni ni kujipa muda na bando unasoma unachokitaka.
Wewe unaposema unaenda kupata freedom of thought akusaidie nini ? Naona umekwepa kujibu maswali yangu, inawezaje kuniaminisha kuwa una hio freedom of thought wakati unaepa maswali ?
 
Muende nyie huko hospital mkapate tiba, mnaolalama ajira ngumu na kujutia muda uliopotea mkiwa masomoniii, mie niko swafiii kabisaaa.

Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ya wasomi wa Tanzania ni vipofu hawawezi kuona fursa wamekariri.

Unakuta jitu limepata degree lkn ni kipofu haoni fursa zinazomzunguka

Yy alitegemea akimaliza shule basi kazi hiyo hapo!!??

Fck them
 
Muende nyie huko hospital mkapate tiba, mnaolalama ajira ngumu na kujutia muda uliopotea mkiwa masomoniii, mie niko swafiii kabisaaa.

Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda hospitali mkuuu. Eti unashika vyeti unafurahia hata kama havijakusaidia kupata ajira. Umesema mwenyewe mkuu kuwa unafurahia usinibadilishie kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…