Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Tena wao (Wakristo) sheria ya talaka inawabana mno, huwezi kumuacha mkeo kwa kosa jingine lolote isipokuwa la uzinifu tu, kwa Waisilamu hiyo hakuna, kama mmechokana basi talaka inaswihi ili kila mmoja akatafute ahueni huko mbele ya safari.
Kanisa hata kosa la uasherati alivinji ndoa ndio maana siku hizi wanatafuta haki mahakamani
 
Nani huyo aliyejibu hivyo??
Ni mwanamke wa kiislamu. Tena ilikuwa hivi.
Tupo kwenye basi tunatoka Arusha sasa njiani basi likasimama kupisha watu waliokuwa wamebeba mwili wa ustadhi wanaupeleke mkisikitini kuuswalia na wapo wanaume tu.
Ndiyo mtu mmoja akauliza, kwanini wanawake hawaruhusiwi kwenda kuzika? Likatoka hilo jibu
 
Ndoa za kiislamu ni za kimchongo wala hazina mashiko, unaoa leo unaacha kesho…. huna cha kupoteza.

zipo pia ndo za kiislam zinadumu mpaka kifo, kama ambavyo zipo pia ndoa za kikristo ambazo zona muda mfupi tu...mifano tunayo.

Zipo pia ndoa nyingi za kikristo zilishavunjika siku nyingi ila watu wanaishi tu kutimiza maandiko na kulea watoto lakini wote wamebaki wazinifu tu kwa mwanaume kuchakata vimada nje na mama kuchakatwa nje na wakifika ndani kila mtu na chumba chake.
 
Wakirisito muache kujipaisha katika ndoa [emoji817] wanaotolewa pesa milioni na kuendelea hawazi 15 walio salia hela hile hile tu ya sh 500,000 700,000 300,000 kama waisilamu mbona tuko wote mitaani tunajuana hata vipato vyenu avipishani na via waisilamu,mnacho wazidi waisilamu ni kujibana kushona suti tu[emoji23]
 
Siku hizi hata kwa waisilamu sio mahari tena bali mali imekuwa biashara huna hela uozeshwi
 
Kweli kabisa baadhi ya wakirisito upenda sana kujipaisha aliyakuwa maisha yao tuna yajua vipato vyao pia safi sana umawapa mgimi za uso
 
Hii nimeipenda watu waepuke zinaa ,hivi na kuachana ikoje ,ama ndio Ile kuwa muishi ndani mwezi bila kusemeshana ndio urudi kuwa bado nahitaji kumpati talaka.

Kuna mmoja alishatoa kadi akadai minimum iwe 100k mchango
Kuachana ni talaka tatu ambazo talaka mbili zinakuwa ni REJEA yaani unaweza ukamuacha na kumrejea mkeo ila talaka ya tatu ndio huwa mwisho kwa maaana huwezi kumrejea tena aliyekuwa mkeo mpaka pale atakapoolewa na mtu mwingine kisha akatalikiwa tena kama ulivyomtaliki then ndio unaruhusiwa kumuoa tena kwa MAHARI mpya.

Talaka ya kwanza unampa mkeo then kisheria anatakiwa akae humohumo ndani kwako katika kipindi cha eda yake huku ukiendelea kumuhudumia kama kawaida ila bila ya kumuingilia kimwili ila pindi ukimuingilia ndani ya kipindi hicho cha eda basi inahesabika umemrejea mkeo then ukimpa talaka ya pili vivyo hivyo unaweza kumrejea ndani ya kipindi hicho cha eda ila ukimpa ya tatu ndio inakuwa ntolee
 
Inategemea pia na familia inataka nini na uwezo wapo wakristo wanafunga ndoa simple zaidi ya waislamu ndoa inafungiwa ofisi ya usharika watu wanaondoka kimya kimya swala la muda kwenye ndoa au mazishi inategemea unajiweza au hujiwezi huwezi subirisha watu msiba wiki mbili alafu huna cha kuwalisha utaomboleza mwenyewe.

Hizi mambo za wavaa kobasi kujidai mambo simple ni kukosa fedha za uendeshaji wa sherehe nina jamaa yangu alioa mwaka 2005 ila alipomaliza sherehe aliuza kigari chake wakawa wanatembea kwa mguu siku moja nikamwambia kwann usingefunga ndoa simple kama dini yenu inavyotaka akanijibu hakuna dini inataka ndoa ya kimya tatizo uwezo. Ila mwamba now karudi kwenye reli yalikua mambo ya kupita tu
 
talaka ya tatu ndio huwa mwisho kwa maaana huwezi kumrejea tena aliyekuwa mkeo mpaka pale atakapoolewa na mtu mwingine kisha akatalikiwa tena kama ulivyomtaliki then ndio unaruhusiwa kumuoa tena kwa MAHARI mpya.
Muhammad aliweka Sheria ukitoa talaka , huyo mwanamke hawezi kurudi kwako mpaka apigwe machine na mwanamume mwingine ndio arudi kwako mtoa talaka
-Yani mwanamke anaadhbiwa akiwa amepewa talaka kwa kwenda kwa mwanume mwingine apigwe pipe kwanza

Kisa kilicho leta hiyo Sheria
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari
 
Wakati Princess Diana alivyofariki pamoja na Dodi Fayed, Malkia wa Uingereza alipata tabu sana wakati wa kusubiri mazishi ya Princess Diana.

Upande wa pili, familia ya Dodi Fayed walizika mapema sana.

Malkia akawa na shauku ya kujua inakuwaje Waislamu wazike mapema, na wao wacheleweshe?

Akajibiwa kwamba, kimazingira, Uislamu umetapakaa kutoka sehemu zenye jangwa ambapo mwili unaharibika mapema, ndiyo maana wanazika mapema kuepuka magonjwa.
 
Unaandikaga tu utoko Kama ulivyokujaa kichwani
 
Nina rafiki yangu ni fundi simu pale kariakoo,kama miezi 3 nyuma kamuaa mkewe tena hawajaona ila wamezaa watoto 2.
Yule fundi tunapozungumza mpaka muda huu yupo segerea.Hebu angalia upande wa watoto wapo yatima kwa kukosa mama na Baba yao yupo jela.

"SASA HAPO NI BORA MZAZI MFE WOTE WATOTO WABAKI YATIMA AU BORA MTENGANE MLEE FAMILIA???""
 
Hakna Sheria ya Kikristu inoruhusu wanandoa kuachana sababu ya uzinzi elwa Hilo kwanza! Kutoa roho ya mtu inaruhusiwa? Ustaarabu mzur Ni ndoa zidumu hakna blah blah mmezaa watoto so wanahtaj malezi yenu nyote baba na mama
 
Hakna Sheria ya Kikristu inoruhusu wanandoa kuachana sababu ya uzinzi elwa Hilo kwanza!
Embu tusaidie kufafanua ili andiko

Mathayo 5:32 BHN
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, ...
 
Huyo rafiki yako alijitesa tu nafsi yake kwa complications kama wanavyofanya baadhi ya Waislam ku complicate. Ukweli ni kuwa katika Uislam hakuna complications katika mambo ya ndoa. Ni taratibu za kishariah zinafuatwa ndoa inafungwa haraka bila complications tunazojiwekea wenyewe.

Pia mazishi katika Uislam yanatakiwa yaharakishwe, haijalishi uwezo. Wanakufa wafalme katika nchi za Kiislam ambao ni matajiri kweli kweli na wanazikwa siku hiyo hiyo. Unataka kuniambia hawajiwezi. La! Bali ndio utaratibu wa kiislam.

Jami` at-Tirmidhi 1075
Ali bin Abi Talib narrated that:
The Messenger of Allah said to him: "O Ali! Three are not to be delayed: Salat when it is due, the funeral when it is presented, and (marriage) for the single woman when someone compatible is found."

حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ، حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ وَهْبٍ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ الْجُهَنِيِّ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ عُمَرَ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ لَهُ ‏ "‏ يَا عَلِيُّ ثَلاَثٌ لاَ تُؤَخِّرْهَا الصَّلاَةُ إِذَا آنَتْ وَالْجَنَازَةُ إِذَا حَضَرَتْ وَالأَيِّمُ إِذَا وَجَدْتَ لَهَا كُفْؤًا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ وَمَا أَرَى إِسْنَادَهُ بِمُتَّصِلٍ ‏.‏

Grade:Sahih (Darussalam)
Reference: Jami` at-Tirmidhi 1075
In-book reference: Book 10, Hadith 111
English translation: Vol. 2, Book 5, Hadith 1075
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…