Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Wengi wanafundishwa kwa kukariri tu lakini si kwa kuandika kwenye madrasa. Kuna shule wanasoma Arabic kama somo ila sijajua kama wakitoka huko wanaweza kuwa wataalamu wa lugha hiyo. Halafu lugha yoyote ili kuijua vizuri inahitaji kuifanyia mazoezi kwa kwa kuongea, shida inakuja, wanaongea na nani?Mkuu, huko Madrasa watoto wanafundishwa kwa mfumo wa lugha kama zilivyo lugha nyingine. Kwa maana ya kwamba a b c d & a e i o u.
Wanafundishwa vyema kabisa, ndio maana mwanafunzi bora anayezingatia mafunzo ana uwezo wa kukifahamu Kiarabu kwa ufasaha.
Ungalimpa msahafuKuna sheikh niliwahi kumpa gazeti la kiarabu anitafsirie akashindwa.
Asilimia kuwa hawajui. Wamekariri tu Quran.OK, achana na kujichanganya kwangu, jibu swali; kijana aliyesoma madrasa na akaiva, anaweza kwenda Uarabuni na akaongea Kiarabu vizuri? Or, wewe kama bwana Malaria, unaweza kutumia simu yako hiyo ikiwa kwenye lugha ya Kiarabu?
Alikuwa kilaza mtoro wa madrasa huyo.Haiwezekani.Kuna sheikh niliwahi kumpa gazeti la kiarabu anitafsirie akashindwa.
Wengi wanafundishwa kwa kukariri tu lakini si kwa kuandika kwenye madrasa. Kuna shule wanasoma Arabic kama somo ila sijajua kama wakitoka huko wanaweza kuwa wataalamu wa lugha hiyo. Halafu lugha yoyote ili kuijua vizuri inahitaji kuifanyia mazoezi kwa kwa kuongea, shida inakuja, wanaongea na nani?
Vijijini huko watu wanajipachika majina ya sheikh kumbe hawajui kitu chochote.Sheikh gani sasa huyo hata kusoma na kuelewa Kiarabu hawezi! Huyo itakuwa sheikh jina tu.
Si ilishushwa kwa mtume na watu wanaoongea lugha hiyo. Sasa ulitegemea iwe ya kiswahili. Vitabu vyote vya dini viliandikwa kwa lugha zao . Kilichotakiwa ni viongozi kufanya juhudi za kufundisha Quran kwa lugha zinazotumiwa na watu mbalimbaliKwanini Quran ishushwe imeandikwa kiarabu?
Basi, hata huko mbinguni watakuwa wanazungumza kiarabu pia
Oneni jinga hili, wewe ulishawahi kufa?Sana. Ukifa unafikiri utaongea luga gani?
Hata hapa mjini wengi hawajui. Wamekariri Quran nzima lakini hawajui kusoma.Vijijini huko watu wanajipachika majina ya sheikh kumbe hawajui kitu chochote.
Aya inaeleza wazi waislamu wote watakwenda motoni, kwa nini tuhitaji maelezo ya wanazuoni? Au umeshasahau Qur'an ni kitabu kilichokamilika kisicho na shaka yoyote?"Na hapana yeyote miongoni mwenu ila ataifikia (Moto wa Jahannam); hilo ni jambo lililokadiriwa na Bwana wako, ni lazima."
Tafsiri na Maelezo:
"Na hapana yeyote miongoni mwenu ila ataifikia": Hii inaeleza kwamba kila mtu atapita au kufikia Jahannam (Moto wa Jehanamu), lakini haimaanishi kwamba kila mtu ataingia ndani yake. Aya hii inatafsiriwa na wanazuoni kuwa kila mmoja atapita juu ya Sirat (daraja lililo juu ya Jahannam) siku ya Kiyama, ili kuonyesha nguvu ya hukumu ya Mungu na haki yake.
Kingereza ni lugha ya kufundishia secondary mpaka chuo kikuu, kwa hiyo ni rahisi watu wengi kukijua. Kiarabu sio. Ila wakristo wanatumia biblia za kiswahili na hata za lugha za makabila mbalimbali. Waislamu badala kujikita kufunisha Quran kwa kiswahili wao wanamezeshwa bila kujua maana yake. Mtu kahifadhi Quran nzima bila kujua maana yake, huyo ana tofauti gani na ambaye hajahifadhi?Basi,nataka hata sisi waislamu wa Tanzania tuongee kiarabu broken ili tuwafunge midomo mahasidi.
Malaria anazingua , unasema lugha za makafiri, kwani hakuna waislamu huko, hii hoja ya lugha za makafiri aombe radhiTupo upenuni mwa nyumba tunajadili tukujibu nini uridhike!
Si unamezeshwa vifungu na tafsiri yake. Mwambie akusomee uone kama anaweza. Ni wachache sana wanaweza hususani waliosoma ArabicKwamba anakuwa amekariri tu surat ila haijui tafsiri au maana yake?!
Ila wengi huwa naona wakinukuu aya ya Quran wanatoa na tafsiri yake kwa Kiswahili.
Tafsiri ya Sheikh ni mzee au mtu anayeheshimika kwenye jamii siyo lazima awe na elimu ya dini.Vijijini huko watu wanajipachika majina ya sheikh kumbe hawajui kitu chochote.