Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Wengi wanafundishwa kwa kukariri tu lakini si kwa kuandika kwenye madrasa. Kuna shule wanasoma Arabic kama somo ila sijajua kama wakitoka huko wanaweza kuwa wataalamu wa lugha hiyo. Halafu lugha yoyote ili kuijua vizuri inahitaji kuifanyia mazoezi kwa kwa kuongea, shida inakuja, wanaongea na nani?Mkuu, huko Madrasa watoto wanafundishwa kwa mfumo wa lugha kama zilivyo lugha nyingine. Kwa maana ya kwamba a b c d & a e i o u.
Wanafundishwa vyema kabisa, ndio maana mwanafunzi bora anayezingatia mafunzo ana uwezo wa kukifahamu Kiarabu kwa ufasaha.