Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Umeokoka?Uislam ni mwema kwenye kila kinachohusu maisha yetu ya kila siku, si ndoa tu.
Kuhusu hilo la Yesu, alayhi salaam, elewa kwamba huwezi kuwa Muislam bila kumuamini Yesu, alayhi salaam. Hakuna Muislam asiyemuamini Yesu.
na kuachana ndo kuzuri, mnakua mnaishi kwa adabu kama kweli ndoa unaitaka unaishi kwa adabu..Ni kweli wako vizuri na ndoa zao zipo simpo sana hamna mbwembwe za ukumbini labda utake wewe ila ndo wana ongoza ndoa kuvunjika.
Upande wangu Nina mifano hai mingi tu nimeshuhuduia watu wakiachana wakristo ghalama ya mahari kubwa inasaidia ndoa kudumu ukifikiria huyo ulie mtolea hiyo mahari unajikuta unamvumilia tu kitu ambacho wao hawana ni uvumilivu.
Mkishazinguana talaka sasa embu jiulize swal huyo ulie muacha nani amuoe wakati umeshamtumia vya kutosha.
Kuna wale ndugu zetu watanzania wazee wa kukaza mishipa ya shingo kisa ndoa iliyo vunjika ya Kikristo.. ungesikia Takbiiiiiiiiiiirrrrriii!!!!! Ila KWa kuwa umesema kuvunjika ndoa hakuna dini wametulia wanna tafuta sababu......Kuna kaka yangu ni mkatoliki kufa mtu. Alioa muimba kwaya, gharama jumla ilikuwa almost 8.5M kuanzia mahali mpaka sherrhe. Baada ya miezi 6 ndoa ikavunjika. Nikasema hiiiii bagoshaaaaa.
Nb:Ndoa kuvunjika Haina dini
Nakuhusia usiishi ivi mambo ya imani yana mlango mpana sana ingekua ni kweli ayo mambo yapo basi kila siku watu wangekuwa wanakufa uko mtaani, propaganda zimewaharibu na uislam upo against mauaji ya ivo na kaa ukijua wanaofanya ivo wapo nje ya uislam, uislam unaamlisha amani na upendo ukiujua vizuri utabadilika tu na kuufuataTatizo watalebani mnapaniki mapema Sana... wacha nikalike mawigi yangu usije ukanichinja bureeee maana hapo ukisema takbiriiii Sina kichwa
Asante kwa maelezo mazuri Kaka, barikiwa.Nakuhusia usiishi ivi mambo ya imani yana mlango mpana sana ingekua ni kweli ayo mambo yapo basi kila siku watu wangekuwa wanakufa uko mtaani, propaganda zimewaharibu na uislam upo against mauaji ya ivo na kaa ukijua wanaofanya ivo wapo nje ya uislam, uislam unaamlisha amani na upendo ukiujua vizuri utabadilika tu na kuufuata
Yani wanaofanya mauaji kama kujilipua au kulipua makanisa hawapo sahihi hata kidogo uislam haujafundisha ivo
Ivo ni vikundi tu vyakiharifu kama vile
-Mafia
-Narcos
- lile kundi la congo na makundi mengine yakiharifu
Baadhi ya mambo yaliyokatazwa kwenye vita za jihad:-
-wasiiliwe watoto, wanawake, wazee na viongozi wa dini
-yasibolewe majengo ya ibada
- wasiuliwe wanajeshi walio retreat
- usijiue nafsi yako (kujitoa muhanga)
- usiue kwa moto
Izo ni baadhi ya sheria zilitumiwa kwenye jihadi
Na zamani vita ilikua ni njia yakawaida sana kusimamisha dola
Fanya research kuhusu mafundisho ya kweli ya uislam utoe ujinga uliojazwa
Kuhusu ndoa ni dini imeruhusu watu kuachana kwasababu binadamu kwa binadam mapenzi huisha usilazimishe kuishi na mtu amba huna mapenzi nae kabisa kwa sababu ya uvumilivu mtu kafanya uasherati, au mapenzi yameisha achaneni kwa wema hata kama ni mmekaa mwezi mmoja tu kwenye ndoa fateni sheria za dini imeamrisha nini kuhusu taraka sio mnaachana tu kama kuku apo mnakua nje ya uislam
Kwaiyo wanaokosea ni wengi ila usiihukum dini kwa upumbavu wa watu ndo maana msingi mkuu wa dini ni elimu kwanza
😂😂😂😂 Mbona uzinzi!Wifi anakutamia mema huyo. Tumpe raha wifi yetu apate kupiga vigelegele bwana. Wee huoni kuwa ni jambo jema wote tunakuwa tumeachana na uzinzi
Nawewe Umeanza Dua la Alhad aliotuaminisha watanzania Mange hataweza Tena kutype Tena vidole vitatetemeka😂😂😂na wewe umeniruki mie?Umeanza kutetemeka vidole mpaka unashindwa kutype!
Mange ndio nani wewe kapuku?Nawewe Umeanza Dua la Alhad aliotuaminisha watanzania Mange hataweza Tena kutype Tena vidole vitatetemeka😂😂😂na wewe umeniruki mie?
Huko mwisho ndo umeongea kweli tupu.HOJA niliyokuelewa ni Moja tu kuwa Maisha bila Yesu ni Bure kabisa.
1. Ndoa ni gharama sana ukiwa umependa kweli Mahali hata iwe M 10 huoni kama ni chochote.
2. Ndoa za WAISLAMU ni za muda wa Mwezi mmoja Tu. OGOPA sana vitu VYA Bure Bure. No free lunch in America.
3. Hakuna Binadamu anayeridhia kutoka MOYONI mme wake kuwa na wake wa nne.
Ndoa ni watu wawili kuwa mwili mmoja. Nyama Katika nyama mfupa Katika mfupa.
4. Mohamed alioa katoto ka miaka SITA Alikapiga MITI kakiwa na miaka 9 HUO NDIO UISLAMU.
N:B USILINGANISHE UKRISTU NA MAMBO YA DINI. UKRISTO SIO DINI.
Naona unapata tabu sana. Islamophobia ina wana chama wengi sana kumbe.Of course, tofauti Ni kubwa darling....yeye ana uhakika wa kupigwa mashine asubuhi mchana na jioni kwa gharama ya uji tu na baadae kuachwa kurudi kudanga.
Bora umemaliza kabisaaaaa.Sasa kifurushi Cha mwezi Unataka kiwe sh ngapi?maana baada ya ramadhani hizo ndoa huwa zinavunjika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli kabisaaaa.kuna kipindi nilikua naangalia kwenye tv mwanamke analilia ndoa kwa mahari ya juzuu na msaafu aisee hapo ndonilipotambua vyarahisi havina thamani....chunga imani yako kijana
Bibi wee kwa uongo hakuna anayekufikia wallah.Uislam ni mwema kwenye kila kinachohusu maisha yetu ya kila siku, si ndoa tu.
Kuhusu hilo la Yesu, alayhi salaam, elewa kwamba huwezi kuwa Muislam bila kumuamini Yesu, alayhi salaam. Hakuna Muislam asiyemuamini Yesu.
Malezi gani ya kuwafunza watoto wadogo mambo ya kikubwaa?? Nimeishi na waislamu sanaa, sijaona hayo malezi.Ila hawa wenzetu hata kwenye malezi kuna namna wametupiga gepu.
Hata waislam wanakerwa sana na ndoa za christ. Maana kinamaa wanahusika katika mchakato wa michango yaani kero, mtu ndoa ya 10Min na kuku wamechina. Yaani nilipata gharama kubwa sana bila sababu hasa hizi ndoa za kumtaka mwanaume akuoeSio wewe tu, hili ni janga
ikifika kwenye ndoa kila mtu anatamani angekua muislam
Unamjua huyo wewe jibu jibu tuBibi wee kwa uongo hakuna anayekufikia wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa utofauti ni Mkubwa aliolewa ameolewa tu iwe Kwa uji ama Nini haifanani na anaedanga kusubiria harusi ya milioni 30Ila kuna utofauti mkubwa kati ya aliye olewa na uji na wewe unaye danga
Mwenzio kifurushi chake kimeisha we unacheka?Bora umemaliza kabisaaaaa.
Sina hamu na ndoa za kiislamu kabisaa, yaan nachokaa mno.
Binamu angu, mtoto wa shangazi alijichanganyaa kwa muislamu, miezi 6 mtu anarudi homeeee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaga hadi bas.