Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Ujerumani wanaongea Kiingereza?
Get your facts straight wacha kuongea kama zuzu, Kila mtu anasoma English as a secondary language hapa kwetu, ni sawa tu na nyingine zote ambazo English sio lugha ya kwanza!
Ujerumani wanaongea Kijerumani. Point yako ni ipi sasa!
 
View attachment 3095829

Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
  • n.k.

View: https://x.com/visegrad24/status/1834677580542193790

Kwa hili Kenya wana Rais asee
 
Yote maisha
Sisi tuko kwenye mchakato wa kujipanga kuwaleta wajerumani wafanye kazi hapa
 
Tukiacha lugha,tujiulize,Je watawala wetu,watunga sera wetu,viongozi wetu na watoa maamuzi ,wametengeneza mazingira yapi ya Watanzania kupata hizi fursa,
Kisha baada ya hapo waweke mambo mezani,watanzania wengi watapigania hizo fursa, na wazungumzaji wazuri wa kiingereza kutoka Tanzania watamiminika,leteni fursa kwanza.
 
Huu ni utumwa wa mawazo.
Huu ni ukoloni/utumwa mamboleo.
========
Itoshe, huu ni ufukara wa mawazo.
========
Uzuri Watanzania hawafikirii na mafuvu tupu. Sio watumwa wa mawazo na ni wakemeaji wakubwa, tena namba moja wa ukoloni mamboleo
 
Nenda pale foreign kama muandishi wa habari unayetaka kujua tuna Watz wangapi Ujeremani kama wana takwimu sahihi na watakupa.
Hamna kitu haooo
Hii nliambiwaga na mzungu mmoja kama mwezi umepita
Inaonekana kama tz serikali wanawaminyia watu fursa hizi

Ova
 
Huu ni utumwa wa mawazo.
Huu ni ukoloni/utumwa mamboleo.
========
Itoshe, huu ni ufukara wa mawazo.
========
Uzuri Watanzania hawafikirii na mafuvu tupu. Sio watumwa wa mawazo na ni wakemeaji wakubwa, tena namba moja wa ukoloni mamboleo
Sawa,ila wakata mauno wanazidi

Ova
 
View attachment 3095829

Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,

Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
  • n.k.

View: https://x.com/visegrad24/status/1834677580542193790

Huku kwetu Mama ananunua magoli ya Yanga na Simba kwa bei ghali. Ndio maana hamruhusiwi hata kuandamana bila ruhusa ya mama.
 
Ujerumani pia imepanga kuwafukuza Wanaijeria elfu kumi na tano na kuwarudisha nyumbani Wasiria Wairaq na Waafghanistan.
Kwa hiyo hawa ni mbadala wa watakao ondolewa?
Wajerumani wengi wakorofi na hata ukiingia dukani hujui lugha ukisonta kitu anaongea kikwao anakuambia mpaka useme hujasema bado 😄 🤣
 
Sasa mkiondoka na account zikasoma, mkasaidia ndugu zetu nao wakatoboa hawa makada watawatawala akina nani? Hawa machawa nao watawatambia akina nani?
 
Tuendelee kuwa chawa, majirani wanatoboa, nilicheka eti walimu wazuri wa Kiswahili ni Wakenya dah
 
Sasa huko Ujerumani utapeleka waongea Kiswahili tu! Wakenya wanaongea Kiswahili na English kwa hiyo soko lao ni kubwa. Siyo wale wa "Ene Kwesheni!"
Nilipokuwa nasoma shahada ya Kiswahili nilitumia vitabu vingi vilivyoandikwa na Wakenya.
 
new slave trade mode
Hakuna cha New Slave Trade. Hii ni fursa kwa Vijana wa Kenya na hapa Ruto apewe Maua yake. Tatizo la kwetu Bongo tuko busy na Ziara zisizo na Tija na kuandaa matamasha bila kufilikila namna ya kuwasaidia vijana wa Kitanzania. Pamoja na mapungufu ya vijana wetu kukosa sifa za kushindana kwenye Labour Market na kutokuwa agressive kama wenzao wa Kenya na hata Uganda wapo waGanda na Wakenya wengi huko UK wakifanya kazi za Professional ambazo wa Tanzania wanaweza kuzifanya pia kama za Nursing , Teaching, Air Traffic Control Technicians etc but Language nayo ni Kikwazo ila pia Viongozi wetu hawasaidii kuwatafutia Fursa kwenye hizo ziara nyingi wanazofanya huko Nje. Hata kufundisha Kiswahili huko Rwanda wako wa Kenya wengi ni Walimu. Hata watangazi wengi wa Idhaa za Kiswahili kama BBC , DW even CCTN wapo wa Kenya wengi than Tanzanians ambako tunajinasibu kuwa Chimbuko la Kiswahili. Problem ni uwezo mdogo wa Kuchambua mambo mengi na makubwa ya Kimataifa na siyo kuongea Kiswahili au kujua Lugha tu, bali pia uwezo Kichwani wa kujua na kujadili mada kubwa za masuala ya Kimataifa. Sisi siasa uchwala na Simba na Yanga zimedumaza Vijana wetu kichwani. Bravo Dr Ruto for being a Leader with Vision for your People.
 
Sawa,ila wakata mauno wanazidi

Ova
Huko mnapofanya ulinganishi wa Maendeleo, wanaendelea kwa sababu wana embrace mawazo mapya na mbadala.

Mfano wa haraka na mzuri tu niku iweka Breakdance kwenye Olympics, kwanini na sisi tusi elevate kukata mauno? 🤯

Wewe fikiria Afrika iwatume vijana angalau 500 give or take 10 per nchi wakakate viuno Ndombolo style kwenye olympics? hivi kuna mtu atatushinda?

Hilo mbali, hakuna mbadala mwingine wa ajira? Yaani tunafikiri mpaka mwisho wa mafuvu halafu tunawaza ukoloni mamboleo?
 
Back
Top Bottom