100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Utafikiri tu unajua hata maana ya Centrifuges!!! Unajifanya mjuaji kumbe hewa kabisa!!
CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi...Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
Haya mambo na discuss na wewe hapa nilishaandika mwaka uliopita...Kwa hiyo kwa sasa urutubishaji upo asilimia ngapi?
Kuna mambo hayana maana kuongopa
CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi...Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
Ayatollah Ali Khamenei angekuwa anasoma Comment angeshangaa kabisa kwa sifa unazowapa na zingine hawana kabisa lakini wewe unawapa!,,CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi...Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
Ninekuult urutubishaji upo asilimia ngapi? Hizo wanarutubisha wapi? Hivi unafahamu kuwa kabla ya mashambulizi walikua na asilimia ngapi?Haya mambo na discuss na wewe hapa nilishaandika mwaka uliopita...
Elewa kwamba Iran inaendelea na projects zake kama kawaida. Na kwa siri. Na wamesema hawawezi kuacha kurutubisha urani.
Wewe unavyoelewa unafikiri centrifuges zilipigwa?
CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi...Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
Ayatollah Ali Khamenei angekuwa anasoma Comment angeshangaa kabisa kwa sifa unazowapa na zingine hawana kabisa lakini wewe unawapa!,,CIA wamesema hawajafanikiwa kuharibu mitambo ya urutubishaji tuwe waelewa ndugu,kama wamearibu ni centrifuges za zamani sana kama Ir-1 na Ir-2 ambazo ziliwekwa huku juu kama gheresha, Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi...Regime change alishakataliwa na Trump wasimuue Khamein. Mbona miaka na miaka wanasema WAO HAWATAKI IRANI IWE NA NYUKLIA NA NDO WALICHOFANYA KWENDA NDANI IRAN KUUA MAJINA YA WALIO KWENYE LIST WALIYOPEWA. NA KULIPUA MITAMBO YA NYUKLIA. SASA WANAWEZA WAKAA NA KUNYWA MAZIWA NA ASALI. 😁
Hawa watu ndiyo maana Mimi daima nawaita Wajinga maana hawatumii akili zao vizuri!!Ninekuult urutubishaji upo asilimia ngapi? Hizo wanarutubisha wapi? Hivi unafahamu kuwa kabla ya mashambulizi walikua na asilimia ngapi?
CIA gani waliosema mashambulizi hayakuharibu?
Hawa CIA au wengine?
CIA director says Iran's nuclear sites 'severely damaged'
At a Nato summit, President Trump again maintains the raid "obliterated" Iran's nuclear facilities.share.google
CIA chief told lawmakers Iran nuclear program set back years with strikes on metal conversion site
CIA Director John Ratcliffe has told skeptical U.S. lawmakers that American military strikes destroyed Iran’s lone metal conversion facility and delivered a monumental setback to Tehran’s nuclear program that will take years to overcome.apnews.com
Kuna uongo hauna maana.Hawa watu ndiyo maana Mimi daima hawajitambui Wajinga maana hawa Tumia akili zao vizuri!!
Ninekuult urutubishaji upo asilimia ngapi? Hizo wanarutubisha wapi? Hivi unafahamu kuwa kabla ya mashambulizi walikua na asilimia ngapi?
CIA gani waliosema mashambulizi hayakuharibu?
Hawa CIA au wengine?
CIA director says Iran's nuclear sites 'severely damaged'
At a Nato summit, President Trump again maintains the raid "obliterated" Iran's nuclear facilities.share.google
CIA chief told lawmakers Iran nuclear program set back years with strikes on metal conversion site
CIA Director John Ratcliffe has told skeptical U.S. lawmakers that American military strikes destroyed Iran’s lone metal conversion facility and delivered a monumental setback to Tehran’s nuclear program that will take years to overcome.apnews.com
Tulia hapo nikupe elimu hakuna ukijuacho...Hawa watu ndiyo maana Mimi daima hawajitambui Wajinga maana hawa Tumia akili zao vizuri!!
Israel ndio imepotea, umeona tena wana kiherehere cha kusema wanataka kuishambulia Iran, unafahamu Iran ndio iliipiga Israel kwa mara ya mwisho na Israel hakujibu na vita ikawa imesimamishwa?Ayatollah Ali Khamenei angekuwa anasoma Comment angeshangaa kabisa kwa sifa unazowapa na zingine hawana kabisa lakini wewe unawapa!,,
Binafsi siwashangani kwa maana si mara ya kwanza ninyi kutoa sifa kwa watu ambao hata sifa hizo walikuwa hawana!! . Niliwashuhudia Mkiwapa sifa na kuwaramba miguu Hezbollah na Houthi Mimi Nilijua magaidi hao hawakamatiki kwa sifa lukuki mlizokuwa mnawapa.
Cha kufurahisha mpaka leo hii hata sijui walipotelea wapi baada ya kuchabangwa na Majeshi ya Israel.
Israel pale alipuyanga.Israel ndio imepotea, umeona tena wana kiherehere cha kusema wanataka kuishambulia Iran, unafahamu Iran ndio iliipiga Israel kwa mara ya mwisho na Israel hakujibu na vita ikawa imesimamishwa?
Kwanini sasa kiherehere kimemuisha? anamtanguliza US, kwa sababu abnaelewa battle likianza yeye ndiye anapokea kichapo...
Hakuna mtu aliamini Iran angeitandika Israel kiasi kile licha ya nchi za magharibi na US kumsaidia, ni kitu kinachowatesa US kuona wameaibika na sasa wana kinyongo, Iran ilifanya US ionekane ni overrated... and not professional bali wa kawaida...
Hamas wapo, Hezbollah wapo, Houthis wapo, cha ajabu zaidi ni vikundi havimiliki hata air force lakini vinaitesa Israel.
Waliambiwa na nchi za magharibi ya kwamba watalindwa na mifumo yao ya anga tofauti tofauti...
Soma cnn ya June 26,2025 walielezea vizuri taarifa ulivyo tuwekee wewe ilikuwa habari za awali tu soma hata kichwa cha habari kwenye hiyo habari utaelewa!!!View attachment 3549723
Severely damaged hizo leaks za uranium zilitokea? mbona kuna mambo ambayo yanakanusha habari za uongo kirahisi sana.
Hivi unaelewa madhara ambayo yangetokea hizo centrifuges zenye uranium zingepatwa na shambulizi?
Japan mwaka 2011, Fukushima nuclear disaster iliyotokana na tetemeko la ardhi ilipelekea wakaazi 100,000 kuhamishwa maeneo hayo na ya karibu.
Hivyo vinu vya Iran kama vilipigwa mbona hatujasikia rate ya leakage yake ni level ipi?
Kuna mto nimeusahau jina huo mwaka hapo Japan walikataza watu kufanya kai za uvuvi, walisafisha huo mto kwa miaka 10, hadi 2021 ndipo wakaruhusiwa kuendelea na shughuli za kawaida...
Elewa kwamba mashambulizi hayo hayakuharibu underground facilities na pengine zilikuwa zimehamishwa hizo centrifuges...
Osirak ilipopigwa leakage ya radiation ilitokea , pale Syria Al-Kibar ilipigwa 2007 kabla nulcear fission haijaanza hivyo hakukuwa na leakage unaelewa kiongozi?
Elewa kwamba Iran bado wana rutubisha nuclear yao, elewa wana reactors sehemu tofauti, kudhani B-2 iliharibu nuclear facilities zilizopo deep underground ni kujilisha upepo...
Kuhusu asilimia waliyo fikia, kumbuka Iran wamekataa inspectors kufika kwenye vinu vyao, lakini elewa wanaendelea...
Mwanzo ulisema CIA wamesema, sasa hivi unasema sources mbalimbaliSeverely damaged hizo leaks za uranium zilitokea? mbona kuna mambo ambayo yanakanusha habari za uongo kirahisi sana.
Madhara hutegemea na muuda wa plant, pia hutegemea kama materials yaliondolewa kabla ya shambulizi. Iran walisema walishaondoa materials kabla ya shambuliziHivi unaelewa madhara ambayo yangetokea hizo centrifuges zenye uranium zingepatwa na shambulizi?
Leakage hutegemea muundo wa plant. Lakini kubwa zaidi mashambulizi yalilenga kuharibu enrichment facilities na sio active reactors. .Hivyo vinu vya Iran kama vilipigwa mbona hatujasikia rate ya leakage yake ni level ipi?
Iran wanarutubisha nuclear yao? Au wanarutubisha uranium? Uraniuma ilirutubishwa kwa 60%, unafikiri kwa sasa si ingekua tayari wamefika level inayotakiwa ya kuunda weapons?Elewa kwamba Iran bado wana rutubisha nuclear yao, elewa wana reactors sehemu tofauti, kudhani B-2 iliharibu nuclear facilities zilizopo deep underground ni kujilisha upepo...
Kama ingekua wanaendelea kurutubisha basi kusingekua hata na haya mazungumzo ya sasa, konachogombaniwa ni ile ambayo ipo tayari kwa 60% hizo kilo 400. Sababu wakibaki nazo wanaweza kufanya maintenance ya facilities zao kwenye hizo nuclear plants na wakaanza urutubishajiKuhusu asilimia waliyo fikia, kumbuka Iran wamekataa inspectors kufika kwenye vinu vyao, lakini elewa wanaendelea...
Kila siku wanapigwa kama Ngoma wala hatuoni wanajibu mapigo kama ulivyokuwa unawapamba!!Hamas wapo, Hezbollah wapo, Houthis wapo, cha ajabu zaidi ni vikundi havimiliki hata air force lakini vinaitesa Israel.
Umetoa elimu nzuri sana lakini kwa huyo BUMUNDA hawezi kukuelewa kabisa!!Mwanzo ulisema CIA wamesema, sasa hivi unasema sources mbalimbali
Madhara hutegemea na muuda wa plant, pia hutegemea kama materials yaliondolewa kabla ya shambulizi. Iran walisema walishaondoa materials kabla ya shambulizi
Lengo mojawapo la yale mashambulizi ilikua ni kuharibu miundombinu ya hizi plants
Leakage hutegemea muundo wa plant. Lakini kubwa zaidi mashambulizi yalilenga kuharibu enrichment facilities na sio active reactors. .
Pia kama nilichokuambia Iran walihamisha materials kabla ya mashambulizi kufanyika
Iran wanarutubisha nuclear yao? Au wanarutubisha uranium? Uraniuma ilirutubishwa kwa 60%, unafikiri kwa sasa si ingekua tayari wamefika level inayotakiwa ya kuunda weapons?
Kama ingekua wanaendelea kurutubisha basi kusingekua hata na haya mazungumzo ya sasa, konachogombaniwa ni ile ambayo ipo tayari kwa 60% hizo kilo 400. Sababu wakibaki nazo wanaweza kufanya maintenance ya facilities zao kwenye hizo nuclear plants na wakaanza urutubishaji