mawakili wa jamuhuri waliomba kuwasilisha ushahidi mpya, lakini sheria ilizuia jambo hilo. Kamwe haitawezekana pia kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa kujiamulia tu kuita mashahidi kadiri ya mapenzi yake, bali inapaswa iwe ni kwa kuzingatia sheria inasemaje.Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Anaweza kuwa shahidi mfano ukimpeleka mtu mahakamani kwa kosa la kumkufuru mungu/ defamation kwa mungu.Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Betty Penrose v. god (1969)Shughuli ya kumleta Mungu mahakamani ndio ngumu sasa
Akili ndogo! Kwani kwenye katiba kuna mahali imemuongelea Mungu? Au Rais wa Tanzania ni mungu? Katiba inaposema kila mtu yuko chini ya sheria ilimaanisha nini?Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Rais ana kazi nyingi sana za kutekekeza ilani na dira ya 2050Akili ndogo! Kwani kwenye katiba kuna mahali imemuongelea Mungu? Au Rais wa Tanzania ni mungu? Katiba inaposema kila mtu yuko chini ya sheria ilimaanisha nini?
Mbona Mkapa alienda mahakamani na kutoa ushahidi? Ugumu uko wapi wahusika waliotajwa na mtuhumiwa kwenda kumtolea ushahidi? Hofu iko wapi?
Loh! Kumbe huyo Kituga ni mwendwazimu wa kiwango hiki!!Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Wakilli katuga alishajua hiki kihoja mapema na dawa yake alishaiandaaAkili ndogo! Kwani kwenye katiba kuna mahali imemuongelea Mungu? Au Rais wa Tanzania ni mungu? Katiba inaposema kila mtu yuko chini ya sheria ilimaanisha nini?
Mbona Mkapa alienda mahakamani na kutoa ushahidi? Ugumu uko wapi wahusika waliotajwa na mtuhumiwa kwenda kumtolea ushahidi? Hofu iko wapi?
kichwa butu kilichoathiriwa na kukata viunomawakili wa jamuhuri waliomba kuwasilisha ushahidi mpya, lakini sheria ilizuia jambo hilo. Kamwe haitawezekana pia kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa kujiamulia tu kuita mashahidi kadiri ya mapenzi yake, bali inapaswa iwe ni kwa kuzingatia sheria inasemaje.
wakili Nassoro Katuga ameeleza vizuri sana jambo hilo kwa kifupi 🐒
Mwambieni mamayenu aende mahakamaniRais ana kazi nyingi sana za kutekekeza ilani na dira ya 2050
Mnajisumbua tu kuwaelewesha Hawa wafia chama wanawezaje kufuatilia mambo kama hayo....ndo maana maCCM yana take advantage sana kupitia vijana wajinga kama hawaBetty Penrose v. god (1969)
Kwani raisi wa nchi ni Mungu?. Huyu katuga kapanic vibaya.Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Nchi hii watu wamekuwa machawa kiasi cha kumuona Rais kama untouchable aka MunguHiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Hii ni movie sio uhalisiaAngalia hii movie Frank vs. God (2014)
Mungu hateuliwi na wanadam, nchi zinaHiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Hiyo sio excuse , bado anawajibika kwa sheria na katiba za nchi. Kuna mtu alikuaa na kazi nyingi kama mkapa?Rais ana kazi nyingi sana za kutekekeza ilani na dira ya 2050