Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Mungu atakuja siku ya hukumu huko akhera. Kama katuga ajue hilo na asijione kama mjanja na kujitapa huku akijua anachosimamia sio anachoamini
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 5
Mungu hateuliwi na wanadam, nchi zina

Hiyo sio excuse , bado anawajibika kwa sheria na katiba za nchi. Kuna mtu alikuaa na kazi nyingi kama mkapa?
Mkapa alienda baada ya kustaafu.
 
weka na ile akiwa na magwanda ya khaki
 

Mtu Aliyemshtaki Mungu​



Seneta wa jimbo la Nebraska , Ernie Chambers , alitangaza kwamba angemshtaki Mungu , "Je, unaweza kushtaki kitu ambacho huenda hakipo ? " baadhi ya watu waliuliza.

Hili halikuwa na umuhimu wowote kwa Chambers alipoanza kesi yake mwaka wa 2007. Aliomba amri ya serikali ya " kukomesha shughuli zenye madhara na kutoa vitisho vya kigaidi . "

Chambers alisema mshtakiwa alihusika na " mafuriko ya kutisha na njaa kali ." Pia alimlaumu kwa " ukame mbaya , vimbunga vya kutisha , na magonjwa . "

Chambers alitangaza kwamba alikuwa na mamlaka ya kumshtaki Mungu kwa sababu Mungu alikuwa kila mahali. Kwa hivyo angeweza kuchukuliwa kuwa mkazi wa Nebraska .


Chambers alikasirika sana na akaamua kutoa tamko kwa kumshtaki Mungu. Alisema , " ... huwezi kuzuia kufungua kesi . Mtu yeyote anaweza kumshtaki mtu yeyote anayemchagua , hata Mungu. "

Meza tupu ilitengwa kwa ajili ya Mungu na wakili wake , ambao wote wawili hawakufika . Jaji alitupilia mbali kesi hiyo kwa sababu Chumba cha Mahakama kilishindwa kuorodhesha anwani ya Mungu . Kwa hivyo, Mungu hangeweza kuitwa .

Hii haikuwa mara ya kwanza Mungu kushtakiwa mahakamani . Mnamo 2007 , muuaji wa Kiromania alijaribu kumshtaki Mungu kwa sababu Mungu " hakumlinda kutokana na ushawishi wa Ibilisi . "

Mungu si kiumbe pekee asiye wa kawaida ambaye amepelekwa mahakamani . Mnamo 1971, mfungwa wa Pennsylvania, Gerald Mayo , alimshtaki " Shetani na watumishi wake . " Alidai kwamba " walimwekea vikwazo na kusababisha anguko lake . " Haishangazi kwamba kesi ya Mayo pia ilifutwa . Jaji alisema mlalamikaji alishindwa kutoa anwani ya Shetani , kwa hivyo kesi hiyo haikuweza kuendelea .
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Yah inawezekana
 
Nchi hii watu wamekuwa machawa kiasi cha kumuona Rais kama untouchable aka Mungu
Ni aibu sana tena kufuru kubwa sana

Hao ukiwaambia katiba mpya wanakuambia haileti ugali.

Trump ingawa ni Rais amehudhuria mahakani kwa kesi binafsi. Na Rais wa Marekani pia ana kinga kama alivyo wa Tanzania ..... sasa kama Trump kahudhuria kesi yake iweje huyu wa kwetu ashindwe kutokea kutoa ushahidi wa kesi ambayo adhabu yake ni KIFO .... na yeye ndiye SHAHIDI muhimu na wa Kwanza na ndiye atakayesaini hiyo adhabu ambayo anadai tangu apate madaraka hajatia sahihi kwa ajili ya kifo ya yeoyote. Sasa badala ya kusubiri ana nafai ya kwenda kutoa ushahidi kuzuia barua isifike mezani kwake.
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Mfano tumwambie Katuga athibitishe uwepo wa Mungu unafikiri mahakama itasemaje?
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Kwa maana kwama Mungu wa Katuga ni Samia Suluhu Hassan?
Haistaajibishi hata kidogo.
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Kwanza athibitishe Mungu yupo.

Kama hayupo ataletwaje mahakamani?
 
GOD IS THE WITNESS
Kwani halijui hilo?
Basi atakuwa anaamini mengine
 
Hao ukiwaambia katiba mpya wanakuambia haileti ugali.

Trump ingawa ni Rais amehudhuria mahakani kwa kesi binafsi. Na Rais wa Marekani pia ana kinga kama alivyo wa Tanzania ..... sasa kama Trump kahudhuria kesi yake iweje huyu wa kwetu ashindwe kutokea kutoa ushahidi wa kesi ambayo adhabu yake ni KIFO .... na yeye ndiye SHAHIDI muhimu na wa Kwanza na ndiye atakayesaini hiyo adhabu ambayo anadai tangu apate madaraka hajatia sahihi kwa ajili ya kifo ya yeoyote. Sasa badala ya kusubiri ana nafai ya kwenda kutoa ushahidi kuzuia barua isifike mezani kwake.
Nchi hii inajielekeza pabaya sana. Tumefika mahala oa kuchaguliwa nani awe shahidi wako😳😳😳😳
Ukiachana na Rais vipi hao wengine nao hawatakiwa kutoa ushahidi simply ni wakuu wa vitengo sijui kwa katiba gani maana hata hii na ubovu wake bado haiwatambui kuwa na kibga ya aina ya Katuga.
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Kenya mtu alishinda kesi baada ya ku demand waliomshitaki wathibitishe kuwa yeye sio Yesu.
 
Back
Top Bottom