Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

mawakili wa jamuhuri waliomba kuwasilisha ushahidi mpya, lakini sheria ilizuia jambo hilo. Kamwe haitawezekana pia kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa kujiamulia tu kuita mashahidi kadiri ya mapenzi yake, bali inapaswa iwe ni kwa kuzingatia sheria inasemaje.

wakili Nassoro Katuga ameeleza vizuri sana jambo hilo kwa kifupi 🐒
wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
 
wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
Kwenye Ushahidi hiko unachokisema kipo??Kimeandikwa??
 
wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
records ziko wazi gentleman,
hakuna haja ya kuweweseka:1Head:
 
Lissu Kesi imemkalia vibaya tumuombee pia nimeona ameshadata tayari
Yaani yule asitoke,na Heche pia maana alisema uchaguzi hautofanyika,najua baada ya tume ya kijaji kumaliza kazi yake,wengi watakua pamoja na lissu
 
Hii kesi inazalisha chuki sana na inajenga uhasama kila kona ya nchi
 
Back
Top Bottom