Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

Hao ukiwaambia katiba mpya wanakuambia haileti ugali.

Trump ingawa ni Rais amehudhuria mahakani kwa kesi binafsi. Na Rais wa Marekani pia ana kinga kama alivyo wa Tanzania ..... sasa kama Trump kahudhuria kesi yake iweje huyu wa kwetu ashindwe kutokea kutoa ushahidi wa kesi ambayo adhabu yake ni KIFO .... na yeye ndiye SHAHIDI muhimu na wa Kwanza na ndiye atakayesaini hiyo adhabu ambayo anadai tangu apate madaraka hajatia sahihi kwa ajili ya kifo ya yeoyote. Sasa badala ya kusubiri ana nafai ya kwenda kutoa ushahidi kuzuia barua isifike mezani kwake.
Mkapa alitoa ushahidi akiwa raisi.
 
Back
Top Bottom