Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
 
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Kufananisha Muuaji Samia na Mungu ni kujitakia laana
 
wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
Kwenye Ushahidi hiko unachokisema kipo??Kimeandikwa??
 
wakati unamsikiliza katuga kilaza mwenzako, amekumbushwa tangu shauri lina anza TL alisha wataja mashahidi wake

sasa wap? kajiamulia mkuu
records ziko wazi gentleman,
hakuna haja ya kuweweseka
 
Lissu Kesi imemkalia vibaya tumuombee pia nimeona ameshadata tayari
Yaani yule asitoke,na Heche pia maana alisema uchaguzi hautofanyika,najua baada ya tume ya kijaji kumaliza kazi yake,wengi watakua pamoja na lissu
 
Hii kesi inazalisha chuki sana na inajenga uhasama kila kona ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…