Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

Hii ni nchi yetu sote,haijalishi una wadhifa gani muhimu wote ni waTanzania.

Nimekuwa nikifiatilia kesi ya ugaidi inayoendelea katika mahakama chini ya majaji watu katika nyakati tofauti tofauti na sababu mbali mbal...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili kubwa
 
Mechi ikiendelea ivi kuna kujinyea au kujikojolea kwa mtu mahakamani....

Mbowe sio Gaidi
Free Freeman
 
Mechi ikiendelea ivi kuna kujinyea au kujikojolea kwa mtu mahakamani....

Mbowe sio Gaidi
Free Freeman

Sasa wewe mtu mzima tena afisa mkubwa wa Police 👮 yakimtokea hayo urafurahi.
 
Ha ha ha! Nilistuka vibaya sana nikivyoona title ya hii thread; baada ya kujiridhisha aliyeianzisha ni Ngongo, nikajua "fumbo mfumbie pumbavu".
 
Hii ni project ya muda mrefu aliyoifanya Mbowe kurecruit vijana wasomi akianza na lissu km mentor wa Hawa kina kibatala naona wanazidi kuongezeka kina nashon nkungu,dickson matata etc wanavutia kuwasikiliza hd unatamani kuwasomesha wanao law
 
Hii ni nchi yetu sote,haijalishi una wadhifa gani muhimu wote ni waTanzania.

Nimekuwa nikifiatilia kesi ya ugaidi inayoendelea katika mahakama chini ya majaji watu katika nyakati tofauti tofauti na sababu mbali mbali...
Badala ya kulazimisha mamlaka za tunzi bambikizi, unatuleta kiwango chako cha chuki na roho mbaya kwa watetezi wa kweli wa haki? Lazime iwe wewe ni sehemu ya timu bambikizi🤔
 
Hii ni nchi yetu sote,haijalishi una wadhifa gani muhimu wote ni waTanzania.

Nimekuwa nikifiatilia kesi ya ugaidi inayoendelea katika mahakama chini ya majaji watu katika nyakati tofauti tofauti na sababu mbali mbali...
Hayo maswali ya kawaida sana, labda kama hujui nini maana ya cross examination.
 
Kibatala amefanikiwa kuuonesha umma kuwa huko Polisi hakuna hata mwenye average IQ. Shahidi huyu wa mwisho, ni kituko - kila baada ya masaa mawili chooni. Huyu siyo wa kuishi naye. Anaweza kukufanya uwe unachimba choo kila baada ya wiki moja.
 
Ila hapo umeuwa
 
Back
Top Bottom