Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona alipokuwa anakula alikuwa hatuambii? Braza K aache vituko apambane na kesi yake.
 
Nimecheka hapo kwenye kutumia kingereza 🤣🤣🤣🤣
Yaan jamaa walokuwa wanawazuiya wakili asiongee na Lisu kwa faragha (wakili na Lisu wakaona watumie kingereza) Ina maana waligundua jamaa hamna kitu kichwani(hawaelewi kingereza hivyo kutumia hiyo lugha tayari ni kama hawasikiki.🤣)
 
Hivi akifa inakuaje?

View: https://www.instagram.com/reel/DJL-2mnypwh/?igsh=bDdibnM1dTByZm04
 
Akiwa jela tutapataje uhakika kuwa hali?
 
Lissu kugomea chakula naona ni sahihi kabisa. Hili litaingia kwenye historia mpya ya kupigania haki mahakamani bongo hii.
"Kadiri upepo unapozidi kuvuma,,ndipo nyeti za kuku (serekale) huonekana"
 
Kugoma kula ni njia mojawapo ya kushinikiza haki katika kesi pale mfungwa anapohisi hapati haki inavyostahili.
Wao wanachotaka sio tu agome kula wao wanataka afe maana kifo ni kifo tu kauli ya muuaji mmoja kutoka kule kwenye jengo jeupe
 
Kwa ubinafsi na unafki walionao labda kije kizazi kipya..!!
Unataka nani akupambanie wewe ukiwa ndani ya shuka ikiwa wewe ni mtanzania mwenyewe unawaongelea wakina nani kama sio wewe mwenyewe hamna mtu mjinga amwage damu yake Kwa ajili Yako
 
Tundu Lissu anajulikana alipo na hakuna baya litakalomkuta , vipi kuhusu Mdude Nyagali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…