Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa Tanzania hii akigoma kula watamuacha afe itakua ameshairahisishia kazi SIRI KALI.
Hamaki za mkizi neema kwa mvúvi
Mwache afe njaa kabisa; si anajifanya amekuwa Mandela?😁
Halafu watu wengine hawajui, wenzao wakisikia wamegoma kula wasidhani totally. Maji na juice wanakunywa kama Kawa. Sasa wewe Muafrika IGA ufe ukidhani wanaogoma kula hatii chochote tumboni.
Kuna mfungwa mmoja miaka Ile 80 mwanzoni kabisa alifikisha hadi siku 60+ nikawa najiuliza njaa ya kutwa Moja tu balaa lake Si la kitoto jee siku zote hizi usiku na mchana? Baada kugundua kumbe wanadusa a nikaona kama ni hivyo hata Mimi naweza pamoja na udogo wangu wa wakati huo.
 
Wakaanza kuongea Kiingereza ili kutengeneza mazingira ya faragha,Aisee kumbe kwenye fani Ile wasomi ni wachache?
 
Unataka nani akupambanie wewe ukiwa ndani ya shuka ikiwa wewe ni mtanzania mwenyewe unawaongelea wakina nani kama sio wewe mwenyewe hamna mtu mjinga amwage damu yake Kwa ajili Yako
Kwanza sihitaji kupambaniwa, halafu wewe km nani unataka kupangia wengine maisha??

Km wewe unaona uko upande sahihi kwa vipande vya sarafu endelea kushenyetwa mkuu..!! 😏
 
Yeye mara ya mwisho ameonana naye lini? Maana hizi taarifa alizisema pia siku ile ya PH
 
Katika hali ya kushangaza Wakili anayemsimamia Tundu Lissu, Peter Kibatala ameumbua mpango wa mteja wake wa kutaka kujizuru akiwa gerezani Ukonga kwa kugomea kula na kunywa dawa zake za matibabu.

Kibatala anakiri kuwa anapambana kuzungumza na Tundu Lissu akimshawishi kuacha mpango huo kwani ni kosa kisheria maana anaweza funguliwa kesi nyingine ya kutaka kujiua kwa kukiuka masharti ya kidaktari.

Kibatala amemalizia kwa kusema kuwa Jumatatu anatarajia kwenda Gereza la Ukonga kwa ajili ya kuendelea kumshauri Tundu Lissu aachane na huo mpango wa kususia kunywa dawa na kula chakula kwani kisheria itamuingiza matatani.

Inaonekana Tundu Lissu baada ya kuona hatoboi kwenye kesi yake ameamua kufanya vituko vya kuishinikiza Mahakama itoe maamuzi upande wake, kama yeye ni muumini wa sheria basi atumie taratibu za Kimahakama.
 
analia nini sasa yeye kabla ya kesi si alitoa maneno ya kejeli kwa mawakili wa serikali na polisi sasa kilio kwa mtoto wa kime kinatoka wapi? Mbona mapema sana wapunguze mdomo na dharau
 
Kwanza sihitaji kupambaniwa, halafu wewe km nani unataka kupangia wengine maisha??

Km wewe unaona uko upande sahihi kwa vipande vya sarafu endelea kushenyetwa mkuu..!! 😏
Sasa unasemaje watu wanaubinafsi kwani ulikuj nao duniani
 
Sawa Waheshimiwa Ninyi mtaishi milele.
 
Amekuambia nani LISSU anatafuta huruma??


Unakuta Nawewe ni Kijana unayetegemewa na CCM pamoja na Dola
 
Akigomea kula lazima atalazimishwa.
Kula chakula ni haki yake, akigoma atalazimishwa kula. atakula tu hata kwa mjeledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…