Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

Walizoea vya kinyonga hahahah akajambie mbele uko nyuma pametanuka
 
Anapoteza muda. Mwambukusi kashinda
 
Amesha fail mission huyo, apewe ukuu wa Wilaya akapumzike
 
Ni uamuzi mzuri. Tunachotaka ni kuona haki ionekane ikitendeka'. Kama Nkuba ndiye kashinda basi ionekane alivyoshinda au kama Mwabukusi ndiye kashinda kama alivyotangazwa basi ionekane hivyo.
 
M
Mwacheni atembeze homa juani
 
tupeni shule shule walizoma Primary na secondary tuone
Pamoja na kusoma shule fulani, cha muhimu kwetu, jamii au taifa ni akili na weledi mtu alionao.
Kupinga matokeo ya uchaguzi ni haki yake, tunachotakiwa kufanya ni kupima uzito wa hoja zake;

1. Matokeo kujulikana kabla ya tangazo rasmi haina uzito kama ni matokeo ya kweli na haki. Taarifa sahihi mitandaoni husaidia kuzuia wizi na hujuma. Uwazi, ukweli na haki huenda pamoja, wakati huo huo usiri, giza, uovu, na dhuluma vikiwa pamoja.

2. Kupungua karatasi za kura ina uzito. Waliofanya kwa makusudi au uzembe wawajibishwe.
 
Mbona hakutetea Mwabukusi kuenguliwa??!Aacha kujichora.
 
mwambieni apunguze uzwazwa!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…