Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Bongo nyoso..asee kwaio mtu anaweza kuwa na skills kama hizi akose hata kasubari kakutesea kitaa ... daah
 
Nimezielewa kazi zako sanaaa

Nasubscribe for future use

Unahitaji mtaji kiasi gani kwa kuanzia na kwa ajili nini to be specific
Anaweza kuwepo mdau humu wa kukupa au kukukopesha
Nachohitaji ni vifaa, vinakost Million 2 to up for printing tu, kwa mabango ya kuweka juu ya maduka au frem sina uzoefu so nimelenga design na printing.

Kwa sasa nipo na hali ngumu nahitaji kazi tu ili niwe na uhakika wa pango na mlo huku nikisaka hata anayeweza wekeza mtaji wa vifaa tukiwa tunagawana faida.

Ahsante sana mkuu kwa mchango wako. Nitaendelea kuweka kazi hapa.
 
Bongo nyoso..asee kwaio mtu anaweza kuwa na skills kama hizi akose hata kasubari kakutesea kitaa ... daah
Acha tu, nimetoka kuoga baharini juzi nilifikiri nina nuksi.

May be sijifanyii promo vya kutosha.
 
Na brand yake anaiita Jospy Brand you can check it on Instagram
 
Hongera sana kamanda buffalo44 kazi zako si mchezo yaani siyo poa !!
Nami ni deaf person najifunza graphic design ila sijafikia level yako hata kiduchu maaana hapo unatimua mbio mitri ya Usain Bolt ,mimi hata kutambaa bado!1
Nimesoma wadau humu wanasema hujafika anga za maexpert (advaanced level) bado sijui sie makapuku inakuwaje?
 
Ahsante sana, kuna picha nyingine nimeupdate, huenda wakaona kwa jicho jipya.

Nashukuru sana. Ukiwa na muda na pesa huenda nikakufundisha.

Karibu sana.
 
Mu

Mchawi ni pesa kamanda,kutenga muda si tatizo kwa sie makapuku
Nikipata wateja wa kutosha kunistabilize naweza kufundisha bure mkuu. Sema sasa naitegemea sana in any way kusukuma siku.
 
Nipo Boss
 
Umenipa moyo wa kupambana.
Ila idea yako ya Photoshop na Illustrator endeleza utafika tu. Chukua namba yangu kwenye poster nilizopost au chini ya post uwe unaniulizia hapa na pale kuhusu Photoshop na Illustrator
Sawa mkuu ntakuchek ndugu yangu si ndo unayotumia what's up hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…