Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

Hongera sana me pia ni graphics designer kama wewe .nina cheti ila naendelea kujifunza kwa yeyote ninaye ona anakitu cha ziada ambacho mimi sina ..nitakutafuta nikikuhitaji mkuu [emoji120]
 
Hongera sana me pia ni graphics designer kama wewe .nina cheti ila naendelea kujifunza kwa yeyote ninaye ona anakitu cha ziada ambacho mimi sina ..nitakutafuta nikikuhitaji mkuu [emoji120]
Karibu sana
 
Umejitahidi sana na hongera,
Fanyia kazi mapungufu madogo madogo
Ukiomba kazi ukaambatanisha na hii design yako kuna changamoto.
Huyu baba hicho kichwa kinakushusha sana
View attachment 2270372
Umenisaidia, nitaendelea kufanyia kazi ushauri wako. Kama nilivyofanyia kazi wa wote. Nashukuru sana
 
WAZO.
Nafikiri kungeanzishwa Thread maalumu kwa ajili ya Graphic Design. Wale wote wenye interest ya kujifunza na kuongeza maarifa tuwe tunakutana hapo.

Mfano, mtu anaweza akatengeneza kazi yake akaiweka hapa ili kupata ushauri au mawazo mapya kuhusiana na kazi hiyo. Pia wenye maswali, changamoto na mawazo mapya tukawa tuna share hapo.
 
Ahsante Boss, ila nipo kitaa nachakaa nipate hata kazi ndio nafikiria, anyway uzi unakimbia ngoja nijaribu kufungua thread maalumu.
 
Picha namba 17 umefanya vizuri.
 
Kazi zuri hongera sana, nimekutumia ujumbe kwenye whatsapp yako namba yangu inaishia na 21.
 
Hongera Mkuu, je waweza nifundisha na Mimi kutumia Adobe Photoshop kwa malipo Fulani , hata online ?
 
Umejibu kiungwana
 
Www.linkedin.com

Www.upwork.com

Www.fiverr.com

Www.guru.com

Www.google.com/ how to sell my graphics designs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…