Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wewe una amini nini?Tuelezee the concept of God in Christianity
Na una amini huyo Mungu ukiwa kwenye dini ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una amini nini?Tuelezee the concept of God in Christianity
Yesu ni Mungu by nature kwasababu Baba yake ni Mungu."YESU ni mfano wa MUNGU yule asiyeonekana" kwahiyo YESU ni Mungu au sio Mungu?
NB: Mkuu mimi sio mjuzi sana wa dini siko deep kihivyo lakini ni muumini wa dini yangu
Tuwaachie mada yao, sisi tupite kimyakimyaWao wenyewe hawana wanacho elewa.
Mungu ni mmoja baba yake YesuMungu ni mmoja ambae ni YESU, ROHO au ROHO MTAKATIFU?
Ila hayupo sawa na baba yakeYesu ni Mungu by nature kwasababu Baba yake ni Mungu.
Ana uungu ndani yake so kumuita Yesu Mungu si kosa.
Swala la kuwepo kwa mungu ni swala la lenye yakini ya kimaumbileMungu hajawahi kuwepo, Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Ni upumbavu wa SGR kumkataa Mungu halafu ukiulizwa mbingj na ardhi kaziumba nani?Mungu hajawahi kuwepo, Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Acha ujinga wa kutumia maandiko ya uongo,Yesu ni Mungu by nature kwasababu Baba yake ni Mungu.
Ana uungu ndani yake so kumuita Yesu Mungu si kosa.
Mtoto wa simba ni simba,mtoto wa binadamu ni binadamu na mtoto wa Mungu ni Mungu.
Mtume Muhammad(PBH) anasema"kama Mungu angelikuwa na mtoto mimi ningelikuwa wa kwanza kumuabudu mtoto huyo maana ni Mungu.
Ila yeye kuitwa Mungu haina maana yeye ndiye yule ambaye hakuna mtu aliyewai muona.
Yohana 1:18 “Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua”.
Nani mkuu kati ya hao?Yesu mwana wa Mungu.
Mtoto wa nyoka ni nyoka. Mtoto wa Mungu ni Mungu.
Mungu Ni Mmoja ila sio alahkwahiyo Mungu ni mmoja?
Lazima uelewe Mungu wa Biblia sio yule mungu wa kuruani..Acha ujinga wa kutumia maandiko ya uongo,
Hakuna andiko la hivyo katika vitabu vya kiislamu.
Halafu haiwezekani mtume(saw) aseme hivyo maana msingi makuu wa uislamu ni kumuambudu mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha na yoyote
Ujinga hauachwi,ujiondoa wenyewe kadili unavyopata Nuru.Acha ujinga wa kutumia maandiko ya uongo,
Hakuna andiko la hivyo katika vitabu vya kiislamu.
Halafu haiwezekani mtume(saw) aseme hivyo maana msingi makuu wa uislamu ni kumuambudu mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha na yoyote
Wengi tulifundishwa tumegawanyika katika roho,nafsi na mwili ila hatukufundishwa kuwa tulikuwa moyo pia.Hii nayo ni concept mpya mkuu
Kwahiyo christians imani yenu katika concept ya MUNGU ni ipi hasa?
Hahaha haya maandiko yanahusu nini?Wengi tulifundishwa tumegawanyika katika roho,nafsi na mwili ila hatukufundishwa kuwa tulikuwa moyo pia.
Ndipo unasoma katika warumi kwa kuwa tulikuwa roho ikawa ni kuugua na kwakuwa tulikuwa mwili ikawa ni uadui na Muumba na nafsi ikawa ni kubeba uchafu tu.
Warumi 8:23
Wala si hivyo tu; ila na sisi wenyewe tulio na malimbuko ya Roho, sisi pia tunaugua katika nafsi zetu, tukikutazamia kufanywa wana, yaani, ukombozi wa mwili wetu.
Warumi 8:7
Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.
Yaani mtu alikuwa anaokoka roho mauti inaenda kujificha kwenye nafsi, Ndo maana Isaya akasema hakufanyika wokovu wowote duniani ilikuwa nikuzaa upepo tu.
Isaya 26:18
Tumekuwa na mimba, tumekuwa na utungu, tumekuwa kana kwamba tumezaa upepo; hatukufanya wokovu wo wote duniani, wala hawakuanguka wakaao duniani.
Soma utaelewaHahaha haya maandiko yanahusu nini?
Naona unajichanganya tuSoma utaelewa
Utatu mtakatifu ni Siri ambayo hapana mwanadamu atakaye kuja kujua kwa asilimia 100, isipokuwa Roho mtakatifu pekee. Trinity ni asili yake Mungu, ukiondoa mmoja hapana Mungu, asili yake ya utatu inajidhihirisha kwenye uumbaji wa mwanadamu ana miwili, nafasi na roho, vyote vinategemeana, ukitoa kimoja hapana mwanadamu. Hivyo basi kila nafasi ni Mungu na siyo Mungu wa tatu. Imekuwa Siri ksb nyingi, mojawapo ni muweze kumheshimu ksbu anakuwa haeleweki alivyo na ametoka wapi.Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba
Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu
Shukrani
Kabisa.Ila hayuko sawa na baba yake
Kama vile mtoto hawezi kuwa sawa na baba yake