This is another confusion! kwahiyo mtu akiwa hajabatizwa ni makosa ya nani? yake yeye au wazazi wake? either way unachosema kinamaanisha bila ubatizo huyu mtu bado hana roho mtakatifu ndani yake. Sasa kama mtoto hakubatizwa atakae adhibiwa ni nani? yeye mwenyewe au wazazi wake? na yeye kwa kukosa roho mtakatifu ndani yako kutokana na kutobatizwa akaendelea kutobatiza kizazi chake, nani ataadhiwa kwa upotovu wa hiki kizazi pia?Nafsi ni ile sehemu ambayo ina ufahamu wamtu mwenyewe au kiini cha ubinafsi wa mtu. Kazi yake ni:
- Kufikiri – Kutafakari, kuona
-Hisia – Kujisikia kuwa na tamaa na Upendo
-Utashi – Nia, Kuamua.
Roho ni ile sehemu ya mtu yenye ufahamu wa Mungu, ambayo hufanywa hai na hutiwa nguvu na Roho wa Mungu wakati wa Wokovu. Kabla ya mtu Kuokoka, sehemu hii, haifanyi kazi kwa utimilifu kabisa kwa sababu ya dhambi. Dhambi huifanya kuondolewa nguvu ya kutenda kazi sawa sawa, kwa Amani na Roho ya Mungu. Lakini kupitia Ubatizo wa Roho Mtakatifu, mwanadamu hupokea nguvu ya kiroho, inayomwezesha kuishi maisha ya Kristo. Roho inahusika na:-
-Maombi na Ibada na Mungu,-Ushirika na Mungu, -Mapokezi ya karama za Roho,
-Vita vya kiroho,-Kuunda Mawazo na Ndoto,-Dhamira, Kupambanua,-Udadisi, Kuuliza,-Ufahamu, Kutafsiri.
Isipokuwa Yesu tu ni mwana kwake yeye mwenyewe na ni Baba kwake yeye mwenyewe, au sio?Fikiri hili, wewe mleta mada ni mtoto (mbele ya mzazi wako), ni mume (mbele ya mkeo), ni baba (mbele ya watoto wako), mfanyabiashara (mbele ya wateja wako). Je, wewe ni mtu yule yule au mtu tofauti?
Ni upumbavu wa SGR kusema na kulazimisha Kwamba kila kitu kiliumbwa halafu ukiulizwa uthibitisho wa Mungu huyo kuumba dunia huna.Ni upumbavu wa SGR kumkataa Mungu halafu ukiulizwa mbingj na ardhi kaziumba nani?
Unaanza kuleta theories ambazo hata chizi hawezi kukubali
Neno lako si niwewe au? Maneno ya mtu yeyote ni nafsi ya mtu. Ndiyo maana tunaweza kuhukumiwa na maneno yetu Wenyewe. Kwa hiyo neno LA Mungu ni nafsi ya Mungu Mwenyewe au ni Mungu MwenyeweSawa mkuu
Swali neno la MUNGU ni MUNGU pia au linabaki kuwa neno la MUNGU?
Hicho kitabu ukikiweka humu jukwaani unishtue....
Yesu ni 'Neno' la Mungu ila alifanyika mwili tu (yaani alivaa mwili wa kibinadamu).... huwezi kumtenganisha Mungu na 'Neno' lake maana hata Dunia iliumbwa kwa 'Neno'..
Yohana 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
Hilo fungu la maandiko kutoka Yohana 1:1-4 limejieleza vizuri Sana.
Hili fungu jingine kutoka Yohana 17 limemueleza Yesu ni nani na ana mamlaka Gani ila ni vizuri kusoma Yohana 17 yote Ili uelewe vizuri zaidi.
Yohana 17
5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
21 Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
22 Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.
Mungu ni mmoja tukwahiyo Mungu ni mmoja?
Yohana 14:28Ila hayupo sawa na baba yake
Kama vile mtoto hawezi kuwa sawa na baba yake
Kama unataka kujua ukristu basi wewe mwenyewe anza kwa kuwa mkiristuHabari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba
Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu
Shukrani
Huu ndio ukweli ambao Wakristo tunaupindishaYohana 14:28
Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Muumba ni mmoja Yesu ni kati ya walitumwa.
Caged bird, huongei na kuandika kimamlaka Kama unavyodai. (Binafsi naona unyenyekevu mwingi ndani yako)Nafurahia uandishi wako na jinsi unavyo-reason kwa kupatana na facts zilizopo kwenye kitabu tunachoamini kinamfafanua Mungu.Nina shida kidogo na ongea yangu na andika yangu.. uwa ninaongea na kuandika kimamlaka zaidi ndiyo maana mtu asiyenijua anaweza hisi nafoka kumbe sio.
Nichukulie poa.
Chief,hizo verse ulizotoa hazimsemi Yesu kama ulivyoeleza hapo juu.
Yesu ni mwana wa Mungu hivyo ana uungu. kuna verse nimeisahu Mungu anamuita Yesu Mungu lakini hiyo haina maana kuwa Yesu ndiye yule Mung ambaye biblia inamsema hakuna aliyewai muona akaishi.
Maisha yake yote hapa Duniani yesu alisema Yeye ni mwana wa Mungu na ilo likafanya wayahudi wakataka kumpiga.
Katika biblia tuna Mungu Baba,mwanae Yesu Kristo na Roho wa Mungu.
Roho wa Mungu si Mungu nafsi.
Yesu Kristo si Mungu nafsi.
1Petro 3:22
"ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, wakuu na wenye enzi".
Yesu amakee upande wa kulia wa Mungu,sasa kwanini wewe useme Yesu ni Mungu?.
Kuna kitabu nikikumbuka nitakutumia jina.
Kinasema " Jesus is God infinitely but not in personality.
Kusema Yesu ni Mungu,na roho wa Mungu ni Mungu na Baba ni Mungu automatically wanakuwa ni mungu 3 kitu ambacho kwenye biblia hakipo.
Kwahiyo nafsi ni neno la mtu? BUbu hana nafsi?Neno lako si niwewe au? Maneno ya mtu yeyote ni nafsi ya mtu. Ndiyo maana tunaweza kuhukumiwa na maneno yetu Wenyewe. Kwa hiyo neno LA Mungu ni nafsi ya Mungu Mwenyewe au ni Mungu Mwenyewe
Unapenda leagueKwahiyo nafsi ni neno la mtu? BUbu hana nafsi?
Dhana ya Miungu unasema ni upagani kwa sababu huelewi maana yake.Hapo tayar unakua ushatengeneza dhana ya miungu kitu ambacho ni upagani
Hmmm,Nafsi ni ile sehemu ambayo ina ufahamu wamtu mwenyewe au kiini cha ubinafsi wa mtu. Kazi yake ni:
- Kufikiri – Kutafakari, kuona
-Hisia – Kujisikia kuwa na tamaa na Upendo
-Utashi – Nia, Kuamua.
Roho ni ile sehemu ya mtu yenye ufahamu wa Mungu, ambayo hufanywa hai na hutiwa nguvu na Roho wa Mungu wakati wa Wokovu. Kabla ya mtu Kuokoka, sehemu hii, haifanyi kazi kwa utimilifu kabisa kwa sababu ya dhambi. Dhambi huifanya kuondolewa nguvu ya kutenda kazi sawa sawa, kwa Amani na Roho ya Mungu. Lakini kupitia Ubatizo wa Roho Mtakatifu, mwanadamu hupokea nguvu ya kiroho, inayomwezesha kuishi maisha ya Kristo. Roho inahusika na:-
-Maombi na Ibada na Mungu,-Ushirika na Mungu, -Mapokezi ya karama za Roho,
-Vita vya kiroho,-Kuunda Mawazo na Ndoto,-Dhamira, Kupambanua,-Udadisi, Kuuliza,-Ufahamu, Kutafsiri.
huwezi kulewa dini kama sio yako utaona mazaifu tu na makosa hasa kwenye vitabu.! kwenye hilo la wakristo maandiko yao yamekaa kimafumbo mafumbo kwaio kama hutaki kufundishwa unasoma mwenyew basi utaishia kutoelewa tu.!Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba
Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana juu ya concept ya Mungu
Shukrani