Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Hapa ndio unapokosea sasa. Kuwa smart mtaratibu sio mhuni mhuni. Alafu kuwa na hela yako ili usinuke shida.

Vaa pendeza, nukia, jipende. Kuwa kijana wa haiba ya mtu makini.

Mishangazi inapenda vijana wahuni wakujificha, smart wasio na mbwembwe.

Ukimwi upo Mkuu japo hautishi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…