Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Kifuatacho ni kiscroll contact list πŸ˜‚
Wapi mshangaziiiiii
Shangazi la mwisho kuwa nalo, ni kama lilikuwa na mapepo. Yani asione scene yoyote ya faragha kwenye movie, lazima anipigie simu "Uko wapi kijana wangu, mwenzio nimebanwa". Sasa ole wake niseme nipo mbali au sitoenda, itafata mvua ya matusi na kejeli πŸ˜…
 
Ushazoea mishangazi, we pigo za vibinti hautaziweza kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baadhi ya wanaume kweli tena wazima wa afya wenye mikono miwili na miguu miwili mmefikia hatua ya kutafta mishangazi ili wawahudumie kipesa, mnatoa hio mada huku wanaume wengine wengi wakisapoti, sijui tunakuja jenga jamii ya namna gani
Every man deserves happiness bruhdaπŸ˜‚ ndio maana wanaojua raha ya mishangazi wanasapoti mada. Kuna kijana namfahamu anaishi makazi yanayoeleweka jijini hapa na kashajengea familia yake mkoani huko sababu amejiattach kwa jishangazi lenye mipango na mipunga. Yeye anabadili mipira tu kwa sasa mara tako la nyani mara alphard kiufupi kajipata japo naye sio kwamba ni sifuri ni muajiriwa wa serikalini ila kwa kipato chake asinge afford hizo butters.
 
Asili ya sisi wanaume ni kufanya kazi na ku-provide for mdada/mke unaempenda, sasa kama mtu unalelewa na jimama usievutiwa nae hiyo ni feminine trait in a man, I think u-marioo ni Moja ya steji ya mwanaume kuelekea kuwa shoga Extrovert
 
Ukitafuta mishangazi utasota sana inabamba kama utakutana nayo kwenye shughul za kila siku, yy akikuelewa utakula mema ya dunia... Asiwepo kati yenu anaemtegemea mwenzake kwenye πŸ’ΈπŸ’Έ mahusiano yafocus kwenye kupiga miti
Ofcourse hii ndio key ili usipelekeshwe kama mbuzi, japo certified shangazi lazma awe na advantage ya mpunga na mipango mzee baba.

You are risking your life and killing alot of energy sababu ya kumridhisha kimapenzi lazma kuwe na rewards. Otherwise ni heri kustick na watoto wadogo tu au agemates.
 
Salute mkufunzi
 
Asili ya sisi wanaume ni kufanya kazi na ku-provide for mdada/mke unaempenda, sasa kama mtu unalelewa na jimama usievutiwa nae hiyo ni feminine trait in a man, I think u-marioo ni Moja ya steji ya mwanaume kuelekea kuwa shoga
Marioo ni mtu ambaye hawezi kujitegema na hana pa kushika kabisa. He plays dumb completely while expecting favours.

Sasa si wanaume wote wanao freak na mishangazi ni marioo. Unaweza ukawa na mishe yako unapiga unaishi kwako kabla hujakutana na lishangazi. Kwahio kwako anakuja ku add value tu.
 
Ila wanaume kiwango chenu cha ubinafsi kipo kileleni, hapo angekua ndo mdada na kibabu chake anakula maisha yangewatokaaaa mngepondaaa....kumbe nanyie mnapenda na kuinjoi.πŸ₯Ή
 
Kwenye hili sikupingi, tukubaliane tu kuwa butters na kijana ni vitu ambavyo haviachani. Tunaishi maisha kipindi kifupi sana ila sehemu kubwa ya maisha huwa tunasota kama sio na maradhi basi ni umaskini. Tukipata fursa ni ngumu kuacha kuitumia.

Tofauti inakuja kwamba Men tuko composed. Huwezi kumsumbua mke au mpenzi wako hata ukiwa una affairs nje. Still mke utampenda na familia yako utaijali.

Ila mke akishapata babu mwenye maokoto anaweza akakutesa balaa dharau kibao hadi utamsanukia tu.
Ila wanaume kiwango chenu cha ubinafsi kipo kileleni, hapo angekua ndo mdada na kibabu chake anakula maisha yangewatokaaaa mngepondaaa....kumbe nanyie mnapenda na kuinjoi.
 
Hizo ni uongooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…