Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyie si mlete hoja yenye mantikiti, siyo kusema tuoe ili tuje kusaidiwa kuchambaHuyu hakusema umri wake ila obviously ni chini ya 30s sasa hakuna bachela wa umri huo verified bachela ni kuanzia 40 na kibaya zaidi wanadanganyana wote watoto humu hajatokea bado aliyeonja maisha hayo akasema kitu.
Wasome katikati ya mistari utagundua they don't know nothing about life,mifano yao wanaitoa kwa Elon musk,Christiano Ronaldo na daiomond unaweza kuona jinsi walivyo weupe,waulize baba zao na mama zao wapo pamoja watakwambia ndiyo sasa hoja zao ziko wapi?
uzi ulihusu mwanaume kutooa. anzisha kuhusu mwanamke asiyetaka kuolewa, utajibiwakwanini hujasema mwanamke akizeeka?
siku ukikua utajua nilimaanisha nini. bado utoto umekutawala kichwaniHuzun gan bwana ww??? Acha kutulisha matango pori,,, eti relationship ndo kila ktu duuuuh yan we uwe mzee una familia afu huna raman zozote za kuingiza pesa afu eti useme relationship ndo kla ktu mtakula relationship? Bili za maji na umeme mtalila na hyo relationship??
pesa inasolve payment...taking care is another issue. Na hata ukiajiri mtu wa kukutake care, hawezi kuwa kama wa damu yakoMi naona hapo tatzo kubwa n umaskin. Angekua na hela hayo yote ange ya solve.
Watu wanapenda tu kukumbatia ujinga.Eti ooh Yaan unaoa kisa ukiumwa uhudumiwe utafikiri hawajui kuwa mtu ukifikisha miaka 50 magonjwa yanaanza kukunyemelea wachache sana wanakuwa hawapati magonjwa ila wengi huumwa presha,kisukari,miguu,moyo na mengine
Tukiangalia hapa tz viongozi wote wameoa vijana wenye uwezo wameoa hata maskin wengi wameoa tu,eti ooh wanawake wanapenda kuolewana matajiri jamani mbona wanawake wengi tu wameolewa na maskini
Mmejawa ubinafsi tu hamna lolote na uchoyo umewajaaPoint ni kuwa " kataa ndoa " ...
Yule mwanamke anayeishi nae Ronaldo hajafunga nae ndoa ....
Sisi tuaonasema kataa ndoa sio kwamba hatuna wanawake,ila Hao wanawake hatutaki kufunga nao ndoa kwani ndoa ukiitafakali Kwa ukaribu ni jumba la kumteketeza mwanaume na kumnufaisha mwanamke ...
Na ndio maana familia zote anayewahi kufaa ni mwanaume ,Nyerere kafaa mke yupo ,magufuli kafa mke yupo ,....
Mbaya zaidi nature haidanganyi ,binadamu wanachokana na kutafuta namna nyingine ya kuishi ,hivyo basi huwezi kusema utakuja kuishi na mtoto wa mtu mwili mmoja never ever ....
Unaoa hili ukizeeka uhudumiwe na mke wako, fasta wahi Milembesiku mwili ukianza kunyauka kwa sababu ya uzee na huna mke wa kukutegemeza utakumbuka majigambo yako kwa majuto makali sana. waulize waliozeeka bila kuoa wanavyoteseka.
nimehoji mkuu maana kila unachokiandika kwenye hoja kikawa na mapungufu basi ujue pia kuna ambao watahitaji ufafanuzi zaidi kutokana na maswali watakayokuwa nayo kichwani... huwezi ukamuambia mtu aoe eti kwa sababu nguvu zitamuishia uzeeni we unajuaje kama atafika uzee, okay lets say atafika kwani huyo mwanamke yeye hatoishiwa nguvu? Tukiachana na hayo hata huyo mwanamke anaweza kutangulia mbele za haki kabla yako vp utaoa au hutooa, utaoa si ndiyo na hutojali una umri gani basi this mean kwamba kama tunaoa ili uzeeni tuwe na usaidizi basi cha muhimu tutafute hela maana hata ukiwa 60+ unaweza kuoa tu maana wanawake wenyewe wanaangalia mfuko tu mzee wangu.uzi ulihusu mwanaume kutooa. anzisha kuhusu mwanamke asiyetaka kuolewa, utajibiwa
Unaoaje mwanamke mwwnye mdomo kama choo mkuu? Yani mtu anakutukana tusi kubwa hivyo anafaaje kuwa mke anayelea watoto wako?Mleta mada wasitkutishe. Watu wameoa still wanatukanwa na wake zao eti "Wee msenge nini"
Yaani mke wako anakutukana wewe ni msenge!!!
Waliooa Wana mazito sana vifuani mwao. Hawana amani ya nafsi 😂
Mwanume huna hela,sauti ya kumkemea mwanamke unaitoa wapi [emoji3][emoji3][emoji3] yey anakuchana live wewe mi falaaa ,na huwezi mfanga kitu .....chezea wanawake wa saiziUnaoaje mwanamke mwwnye mdomo kama choo mkuu? Yani mtu anakutukana tusi kubwa hivyo anafaaje kuwa mke anayelea watoto wako?
Ni watanzania wangapi ikitangazwa wenye hela wasimame watasimama bwana? Wengi wetu ni waganga njaa tu hatuna pesa za kusimama na kujionyesha. Ndio nikasema, kama umeoa mwanamke mwenye matusi mda wotw analeaje hao watoto wenu?Mwanume huna hela,sauti ya kumkemea mwanamke unaitoa wapi [emoji3][emoji3][emoji3] yey anakuchana live wewe mi falaaa ,na huwezi mfanga kitu .....chezea wanawake wa saizi
Jinsi wanavyoitaja taja hiyo pesa kwa manjonjo utafikiri sio hawa hawa wanaolia lia huko mitandaoni kuhusu ukata unavyowakatilia mbali.Ni watanzania wangapi ikitangazwa wenye hela wasimame watasimama bwana? Wengi wetu ni waganga njaa tu hatuna pesa za kusimama na kujionyesha. Ndio nikasema, kama umeoa mwanamke mwenye matusi mda wotw analeaje hao watoto wenu?
Sasa kama ni mganga njaa ,huwezi kuhudumia mwanamke,ni miongoni mwa watu mnaotukanwa na wake zunu " wewe ni msenge nin" .....Hilo halikwepekiNi watanzania wangapi ikitangazwa wenye hela wasimame watasimama bwana? Wengi wetu ni waganga njaa tu hatuna pesa za kusimama na kujionyesha. Ndio nikasema, kama umeoa mwanamke mwenye matusi mda wotw analeaje hao watoto wenu?
Post #266 nimeweka sababu chache ktk nyingi za kuwa na mahusiano ya ndoa ila zaidi kama hukunielewa muulize baba yako atakuwa atakuwa na nafasi nzuri ya kukuelewesha.Kwani nyie si mlete hoja yenye mantikiti, siyo kusema tuoe ili tuje kusaidiwa kuchamba
Kwani kuwa na pesa ni shilingi ngapi mnazosemea mkuu, jf siku hizi imekuwa ya hovyo tu, ni pesa ngapi hizo mnazosemea? Nasema hivi, wengi wetu ni waganga njaa, tunaishi poa sana tu na wake zetu, wamefunzwa adabu na hawana matusi ya kipuuzi.Sasa kama ni mganga njaa ,huwezi kuhudumia mwanamke,ni miongoni mwa watu mnaotukanwa na wake zunu " wewe ni msenge nin" .....Hilo halikwepeki