Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Kua nagubu Nikua MTU wanamna gani mkuu
 
Unaelezea vizuri Sana,hope Ur were good at school,je naomba msaada kuhusu Kua na chemistry namwenzio nikuaje,nakwann inaonekana nimuhimu snaa kua nachemistry ktk long life relationship,msaada tafadhali
 
We endelea kumuita strong man wako[emoji2]

Wakati unamleta pigo za kibeijing

Somewhere atakuwa yuko treated like a king and anakuacha na agenda zako za kibeijing like kama ha-feel kitu.
 
Huo niukoloni mkuu, mwanamke sio mtumwa wako mkuu,nirafikiyako,ishi nae Kwa kumjali naakiri ww upo kulinda utu wake pia
 
Hahhh pole mkuu ifact ndio wale wale huwa wanafanana sana wachache sana wako tofauti
 
Dingi ako alikuwa mvivu kutafuta [emoji2][emoji3577](no offense) usitumie hio kama point kutafuta leverage

Dingi ako alikuwa sio mfano mzuri ndio maza ako aka mu outshine unless mzee wako alikuwa mlemavu .
 
Ukweli ni kwamba mama yako alikuwa mpiga gap mzee wako

Dingi ako alikuwa mvivu labda kama hakuwa vizuri kiafya
 
Hahhahah
 
Bila shaka unyago urudishe wanawake wa siku viburi na vichefuchefu
 
Duuu,mbona mnatutisha mkuu,watoto utaleaje pekeyako mkuu,mfano unawatoto wakike utawafundishaje,juu Yamaisha Yao
Wanalelewa vizuri tu, malezi ni misingi mtoto hatotoka kwenye misingi uliyoiweka mzazi. Wanaume wangapi shababi kabisa wamelelewa na mama zao pekee we utashindwa nini kumlea mwanao wa kike??
 
Ushauri wa bure huu

Fact tupu
 
Anapaswa kujua kuwa wanaume tunadili na mambo makubwa makubwa kwenye familia ishu ndogo ndogo wamalize wenyewe huko kati
 
Huwa wanajikuta sijui nani vile[emoji2][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…