Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Kua nagubu Nikua MTU wanamna gani mkuu
 
Someone who is insecure in every thing, hana jema yeye ni malaika anakosewa yeye tu, pia anaji feel less a man Kwa vile mwanamke ana vitu flani flani kiasi hata wakitofautiana yeye anaona mkewe kamdharau kisa kamzidi vitu flani, kumbe kutofautiana kupo tu, au wengine wanaamini forinstance mkewe kumfulia kwa mikono instead ya machine anaona ni dharau flani.
Unaelezea vizuri Sana,hope Ur were good at school,je naomba msaada kuhusu Kua na chemistry namwenzio nikuaje,nakwann inaonekana nimuhimu snaa kua nachemistry ktk long life relationship,msaada tafadhali
 
Hawezi kuwa Lofa. He is a strong man anaesimama kama mwanaume.

Wouldn't mislead anyone. I practise what I preach.

My Dear marriage is about balance, its about communication, kurekebishana kupo through communication.

Huwezi kulazimisha ego itawale ndoa yako because ndoa haina nafasi hiyo. Marriage us really complex... ukiruhusu vitu vidogo vitawale hamfiki kokote.
We endelea kumuita strong man wako[emoji2]

Wakati unamleta pigo za kibeijing

Somewhere atakuwa yuko treated like a king and anakuacha na agenda zako za kibeijing like kama ha-feel kitu.
 
I second you. Wanawake sikuhizi wanaweka dada wa kazi training ya maana ya kupika plus usafi kila kitu. Kuingia jikoni mara moja moja especially weekend mume akiwa nyumbani. Hawafui kitu labda nguo za baba za ndani na za kwake. Bado hapo mwanaume atasema ukitoka kazini nataka kula chakula chako na maji unipelekee bafuni wakati kila kitu nyumbani kipo perfect
Huo niukoloni mkuu, mwanamke sio mtumwa wako mkuu,nirafikiyako,ishi nae Kwa kumjali naakiri ww upo kulinda utu wake pia
 
Hamna cha ubinafsi mama zetu walifanya mambo yote kwenye familia bila kulalamika. They did the needful usafi wa mazingira na upishi bila kusahau kulea na still kazini walienda.

Nimeishi na mama wa kambo nikaona wanawake wajinga jinsi walivyo hovyo. Mama ni mchafu, usafi anaojua ni kuamka kupiga mswaki na kuoga tu. Kudeki mpaka mzee amkodishe mtu aje kufanya usafi jumba lina mavumbi pazia toka maza afariki 20 yrs ago mpaka last year mzee ndo kafanya renovation ya nyumba akaweka pazia mpya [emoji28] on top of all mama ni msomiless na mshirikina sana. Kupika anataka apike ila vyombo aoshewe hahahah atalalamika balaa completely useless woman ni vile mzee ndio alijichanganya tu tunaheshimu uamuzi wake ila umetugharimu sana.

Sasa unapoongea unayoongea unazidi kuntia nyongo tu sababu naona ndio wale wale tu.
Hahhh pole mkuu ifact ndio wale wale huwa wanafanana sana wachache sana wako tofauti
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umetoa povu mno.
Muheshimu mama yako huyo licha ya mapungufu yake yote.



Mimi nimekulia maisha ambayo wazazi wote wawili wanatafuta na mama anacontribute kwa kiwango kikubwa..yaani kuna muda unakuta mzee hana basi mama ndiye anaendesha familia na kusomesha watoto.
Alitoa kwa moyo na hakuwahi kuona kama anaonewa.

Kazi zilifanywa kwa kusaidiana...baba anaamka anakamua maziwa na kufagia uwanja,mama anafanya usafi wa ndani,anaandaa chai na chakula.
Wote wanaenda kazini.

Hata ikifika jioni mzee akiwahi,basi mtakuta amewasha moto,mama anakuja kuendelea.
Baba alifanya kwa moyo na hakuwahi kuona kama ni adhabu.

Kipindi mama amesafiri tukiwa wadogo basi mzee alikuwa anatupikia.

Sasa ninashangaa huu utaratibu ambao watu wamejiwekea wa kutaka kukaa tu kama walemavu.
Kiufupi sikuwa na wazazi wavivu.
Dingi ako alikuwa mvivu kutafuta [emoji2][emoji3577](no offense) usitumie hio kama point kutafuta leverage

Dingi ako alikuwa sio mfano mzuri ndio maza ako aka mu outshine unless mzee wako alikuwa mlemavu .
 
Wanaotoa hiyo sifa acha watoe tu..ila wana greencity wenyewe wameridhika na maisha yao.
Imagine mwanamke anakusomeshea watoto wako kwa moyo wote bila malalamiko..kuna muda mfukoni upo mkavu basi anakuepusha na hiyo kadhia kwa kukuboost kidogo angalau ukitoka huko nje uwe mtu.

Halafu kazi ndogondogo hizo mtu akifanya mbona hapungukiwi chochote,na anafanya kwa upendo tu.

Kila kitu kinachofanywa kifanywe kwa upendo.
Itakuwa maeneo mengine wanaishi wa kukomoana.



Huyo mama yako ni mzembe aisee.
Mimi mama yangu muda wote yupo busy,yaani hadi ukikuta anasaidiwa basi ujue ametingwa.
Kule kwetu nyumba ikiwa chafu anayenyooshewa mikono kuwa ni mchafu ni mama fulani .
Ukweli ni kwamba mama yako alikuwa mpiga gap mzee wako

Dingi ako alikuwa mvivu labda kama hakuwa vizuri kiafya
 
Kufanywa kwa upendo sio swala kabisa hata mie nikiguswa nakupiga tuff ila ikishageuka malumbano ya hoja tabu inaanzia hapo!

Mfano tuna mtt mdogo nafanya kumbeba nambembeleza wewe unafanya majukumu mengine nini mbaya hapo? If i do it kwa mguso binafsi sio swala ila ondoeni ile notion eti kama mie nakusaidia hela ukikwama kwanini usikoke kuni upike?

Huo ni upumbavu na ukosefu wa adabu na kwangu makofi utakula.
Hahhahah
 
Hivi kwanini huwa mnapenda kuwatolea mifano bibi zetu je mnajua walivyokuwa wanajisikia mioyoni mwao kufanyishwa kazi zote hizo na kubeba majukumu yote hayo mnafikiri walikuwa wanapenda? Ni vile tu hawakuwa na sauti kwa sababu mila na desturi zetu zote zilikuwa zinatungwa na wanaume hivyo waliamua kujipendelea kwenye masuala ya majukumu!

Kwahiyo kumbe ninyi hamjali mwanamke anajisikiaje mnachotaka ninyi ni mambo yaende tu yaani kwamba kwenye ndoa furaha ya mwanamke haina umuhimu akifurahi mwanaume inatosha? Huo kama siyo ubinafsi ni nini?
Bila shaka unyago urudishe wanawake wa siku viburi na vichefuchefu
 
Duuu,mbona mnatutisha mkuu,watoto utaleaje pekeyako mkuu,mfano unawatoto wakike utawafundishaje,juu Yamaisha Yao
Wanalelewa vizuri tu, malezi ni misingi mtoto hatotoka kwenye misingi uliyoiweka mzazi. Wanaume wangapi shababi kabisa wamelelewa na mama zao pekee we utashindwa nini kumlea mwanao wa kike??
 
Heheheheh nikwambie kitu karma, naomba don’t ever think of getting married please wala kuzaa naomba usizae sio kwa ubaya bali tu itakusaidia sana. Una mentality ngumu sana sababu hutakaa kwenye ndoa for more than a year hata ukiamua tu kuolewa incase utapata mwanaume shababi! Unless una joke ila kama haya unayoandika yanatoka rohoni nakuonea imani sana.

Ndoa itakayodumu kwako ni ya kumlea mwanaume kama ben 10 au kama shilole anavyolelea wanaume vile. I doubt kama hilo utaliweza ndio maana nasema bora usihangaike na mambo ya ndoa.

Just nenda kwa vituo vya watoto yatima fata taratibu get a child anza kumtunza kama mwanao don’t waste nguvu zako ama mayai ya mwanaume kuzaa mtoto ambaye mtakuja kumpa shida tu.
Ushauri wa bure huu

Fact tupu
 
Negotiation za jinsi utakavyo handle majukumu yako na housegirl hazi involve mume! Mie najua mke wangu lazma anipikie, ahakikishe usafi wa mazingira, afue na kunyoosha na mengineyo. Kama mtagawana kazi na housegirl kwangu sio ishu ila nataka kila kitu kiwe sawa.

Mie kazi yangu kuhakikisha familia imekula na utilities zinapatikana maji, umeme, ving’amuzi na kadhalika.
Anapaswa kujua kuwa wanaume tunadili na mambo makubwa makubwa kwenye familia ishu ndogo ndogo wamalize wenyewe huko kati
 
Sasa mke ambaye kama wewe humsaidii mume kiuchumi unatofauti gani na mchepuko unayemkandia? Kwamba wewe kuspend kwa mpenzi wako hutaki mpaka uhakikishe anakupigiw deki nakukuoshea vyombo [emoji28]!

Maana mume anakutunza in the same manner anavyomtunza mchepuko ila tofauti ni kuwa mchepuko ana add value kwa mahaba moto moto! Aliekwambia tunapewa mara moja moja ni nani? Mchepuko unafumua tani yako yani wala hupimiwi kama kwa mke mjinga pale nyumbani.

Unakirimiwa kwa upendo yani acha tu. Mke mpuuzi dawa yake kumuignore tu abaki na ujinga wake. Raha zipo kwa bi mdogo.

Unasema mke ana majukumu mengi kama yapi? Kwamba mchepuko yeye haoshi vyombo na kudeki kama wewe[emoji28] ama unahisi michepuko wanaagizaga vyakula hotelini? Na tena mchepuko ndio hana dada wa kazi kabisa we unaye ila still unalalamika.
Huwa wanajikuta sijui nani vile[emoji2][emoji1787]
 
Back
Top Bottom