Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Na mchumba mbona hutokei mama weeeh Nishachoka kuchoreshana nambieeee [emoji445][emoji445][emoji444]

Na mchumba mbona hutokei mama weeeh
Namchumba mbona hutokei nakusubiri Mi nshafika niko hapa Toka alfajiri[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Nimefika, nipo nje [emoji4][emoji4]
 
Huyo mwanamke wa kuniharibia maisha hajazaliwa bado. Iwe kwa nguvu za giza au za mchana HAYUPO.
 
Wanawake wengi hatupendi kuambiwa ukweli na ndio kushindwa kwetu

Vulimia umelelewa wapi Mkuu..?? mbona wanawake type yako huku mtaani hawapo kabisa.... au na wewe ni maandishi tu...

Ki-ukweli kama unayaishi unayozungumza basi kuna Mwanaume huko amepata kitu chema sana...

Endelea kuwaangalia Wanawake wenzako huku michango yao,, utaelewa kwanini nimekuweka kundi tofauti nao.
 
Kesi yake nyepesi sana hiyo. Mwanamke mapishi unamfundisha. Mm namwambiaga mama watoto andaa mchele na kila kitu narudi kupika mwenyewe maana sipendi kuunguziwa vitunguu mimi. Mwisho wa siku ameiga skills zangu mwenyewe.
 
Wapo sema hujakutana nao tu..... [emoji23][emoji23] Ila michango ya wadada wa humu ni kiboko. Labda ni maandishi tu hatuwez jua.
 
Siwezi kuandika maandishi tu halafu nisiishi hayo nayoandika nitakua ni mtu niliyechanganyikiwa

Muda mwingine huwa natamani niwabadilishe mawazo wanawake wenzangu ....sema ndio vile wanaona wanachoamini ni sahihi .......


Wanawake tuache kurahisisha vitu.......na tuache uvivu
 
Kwahiyo we binti unaona ni sawa mwanamke akifanya majukumu mengi kuliko mwanaume? Unaelewa maana ya msaidizi?
 
Kwahiyo we binti unaona ni sawa mwanamke akifanya majukumu mengi kuliko mwanaume? Unaelewa maana ya msaidizi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinguni Kuna taji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo we binti unaona ni sawa mwanamke akifanya majukumu mengi kuliko mwanaume? Unaelewa maana ya msaidizi?
Wewe slay queen unaonaje kati ya haya??

Mwanaume aoshe vyombo na wewe mwanamke upo umekaa tu..

Housegirl afue boxer za mumeo na wewe umekaa tu

Housegirl amuandalie mmeo maji ya kuoga sasa kukuolea nn wewe ??

Kwani kumfanyia mumeo kazi ndogo kama hizo tena kwa jioni tu ukiwa umerudi na ni kazi hazichukui masaa hata 2 utapungukiwa nn??
 
Teh eti slay queen! Nitoe kwenye hilo kundi kwanza madam!

Okay kwahiyo mwanamke anapotoka huko kazini anakuwa hachoki? Stress anazokutana nazo mwanaume huko kazini mwanamke hakutani nazo siyo?

Kama mwanaume hataki housegirl afanye hizo kazi kwanini yeye mwenyewe asimsaidie mke wake? Na nani aliyekuambia kwamba mume akifanya basi mke anakuwa amekaa tu?

Inatakiwa wakitoka kazini wote wasaidiane usiongee as if hayo majukumu ni mawili matatu tu! Kumbuka kuna kupika kuosha vyombo kufua kusafisha nyumba kuangalia watoto!

Kwahiyo unataka kusema wakirudi kutoka kazini mwanamke afanye hayo yote huku mume amekaa tu asimsaidie? Na bado chumbani mke atoe unyumba kwa ushirikiano mkubwa?

Wengi mnatuigizia huku mitandaoni kujifanya wife materials ili msifiwe wakati ukweli tunaujua! Kwenye hizo ndoa zenu kila siku waume zenu wanalalamika kunyimwa unyumba sababu mnachoka na majukumu!

Kusema mnachoka kwa sababu majukumu yamewazidia mnashindwa kwa kuogopa mtaachika au mtatafutiwa michepuko! Utafikiri mmeambiwa mkitimiza majukumu yenu yote ndiyo hao wanaume hawachepuki!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ajabu hata hayapo

Unateseka duniani na huko peponi huambulii popote
Si ndiyo hapo sasa unajihangaisha ili kumfurahisha mume halafu mume mwenyewe shukurani hana kuchepuka anachepuka tena bila aibu! Haya unafika mbengone nako unapigwa na kitu kizito unaikosa mbengo kwa dhambi nyingine!
 
Si ndiyo hapo sasa unajihangaisha ili kumfurahisha mume halafu mume mwenyewe shukurani hana kuchepuka anachepuka tena bila aibu! Haya unafika mbengone nako unapigwa na kitu kizito unaikosa mbengo kwa dhambi nyingine!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh mm nishagomba mpaka nimechoka wife haingii jikon, nguo zangu anaxofua ni boxer tu tena nlikuaga nazifua mwenyewe nlifanya kumfosi, hapa najipanga nioe mke mdogo coz tuendako uzeeni atanitesa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…