Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126][emoji126]

Kujitoa ufahamu tu
 
Ukioa mwanamke mwenye degree umechomwa na kitu chenye ncha kali.
 
Kama naweza kupata mwanamke kama wewe
Ulimwengu utakuwa wangu wallah!
 
Ukioa mwanamke mwenye degree umechomwa na kitu chenye ncha kali.
Siyo kweli mkuu. Sema tu tatizo la wanawake wasomi ni ule umalaya wanaotoka nao vyuoni huko. Kwa vitu vingine wako vizuri sana.

Kadhalika, kama hujawa financially stable usioe mama wa nyumbani mkuu. Kufanya hivyo utahaso sana mpaka utoboe.
 
Huo ndio ukweli, siku ukipata muda kaa na viongozi waliokuwa kwenye kamati za usuluhishi makanisani then watakupa ukweli wa changamoto za mabinti wa siku hizi.

Baba paroko msaidizi Singano wa kanisa moja lipo karibia na Tbt Bima, alisikitika sababu kuna kesi nyingi zimeletwa pale mme analalamika mke wake hafanyi kazi za nyumbani na hajui chochote kuhusu majukumu ya nyumbani kabisa na akasema wengine mpaka wamepeana likizo za mda.

Humu wanaongea kuchangamsha genge ila hali mbaya, kuna wengine wanajua kupika chai na chemsha maji basi, vyingine hawajui.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti njoo unipige[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Siyo kweli mkuu. Sema tu tatizo la wanawake wasomi ni ule umalaya wanaotoka nao vyuoni huko. Kwa vitu vingine wako vizuri sana.

Kadhalika, kama hujawa financially stable usioe mama wa nyumbani mkuu. Kufanya hivyo utahaso sana mpaka utoboe.
Kuna jamaa tulisoma naye akaoa mke pale pale udom miaka hiyo,

Wakaajiriwa 2014 ualimu wakavuta mikopo wakajenga kwa kuchangia.

Saivi mke amejaza kijiji chao ndani jamaa akiongea kidogo anakumbushwa nyumba wamechangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…