Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti ni ngumu kutokea sherehe za hivi[emoji119]
Kreti 2 na hawayumbi[emoji1][emoji23][emoji119]
 
Ili tulishasema kwenye kikao msioe nakumbuka mpka mwenyekiti siku hiyo alikuwa Liverpool VPN siku hiyo alikuwa amevaa shati refu la uvurungi limefika mpka kwenye magoti la kitenge

Bado hamskii nyie endeleeni kulia tu
Kunguru ni hudhurungi wajameni.. [emoji23][emoji23] namupenda lkn kichaa wangu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Unataka maneno magumu?

"Nakupenda sana mwanamke wa ndoto zangu. Wewe ndiyo unanipa sababu ya kuishi hapa Duniani"

Nikutumie muamala kwa namba ipi maana umekuwa ni sehemu ya furaha katika maisha yangu.
 
Ili tulishasema kwenye kikao msioe nakumbuka mpka mwenyekiti siku hiyo alikuwa Liverpool VPN siku hiyo alikuwa amevaa shati refu la uvurungi limefika mpka kwenye magoti la kitenge

Bado hamskii nyie endeleeni kulia tu
Uvurungi hii ni rangi ya wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio uroho jamani mama Pablo tatizo ukame ukizubaa utajikuta unakunywa hata mbili halafu shughuli nyengine mwakani [emoji2][emoji2]

Usishangae ma kreti mawili wenzako wana mafuko mawili Wana fuko la uzazi na fuko la pombe
 
Unataka maneno magumu?

"Nakupenda sana mwanamke wa ndoto zangu. Wewe ndiyo unanipa sababu ya kuishi hapa Duniani"

Nikutumie muamala kwa namba ipi maana umekuwa ni sehemu ya furaha katika maisha yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah.wewe siyo hipapu kbs. Ila haua maneno ni ya kitapeli sana.

Asante barafu wa moyo wNgu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sio uroho jamani mama Pablo tatizo ukame ukizubaa utajikuta unakunywa hata mbili halafu shughuli nyengine mwakani [emoji2][emoji2]

Usishangae ma kreti mawili wenzako wana mafuko mawili Wana fuko la uzazi na fuko la pombe
[emoji23][emoji23] heeh... mademu zenu hao aisee. Wanaogopeshaa. Wanatisha ukiwaangalia. Wanaume wana roho ngumu sana haloo[emoji23][emoji23][emoji23] bulldoza zile

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…